Search results

 1. leonaldo

  CHADEMA mtandao huu sio wakati wa kupambana na Polepole

  Kinacho nishangaza Ni kuona wanaharakati kuungana na wanaoitwa wahuni kumshambulia Polepole! Wamesahau kwenye siasa au harakati hua hakuna adui wa kudumu. Hata adui Alie kupiga jiwe Jana akitoka Leo na hoja yenye manufaa kufikia malengo yako anamuunga mkono faster ilimradi unajua amekusaidia...
 2. leonaldo

  Kina Mbowe wakwama mahakamani - Novemba 29, 2021

  Kina Mbowe wakwama mahakamani MONDAY NOVEMBER 29 2021 Summary; Dar es Salaam. Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imekubali pingamizi la mawakili wa Serikali la kutopokea barua kama kielelezo cha ushahidi wa upande wa utetezi katika kesi ndogo ndani ya kesi kubwa ya...
 3. leonaldo

  Je, unafahamu ni kwa kipindi gani data zako zinaweza kutunzwa kabla ya kufutwa na mtoa huduma? Kesi ya Mbowe imetutoa usingizini

  Kimsingi watanzania tulio wengi hatufahamu ni kwa muda gani service provider anaweza kutunza data zako za(mawasiliano yako ya simu) kwa mujibu wa sheria,lakini pia ni wangapi tunafahamu haki zetu za kumuomba service provider kufuta data zetu pale mkataba wako wa matumizi ya akaunti unapo...
 4. leonaldo

  Sera ya faragha MIC Tanzania Public Limited Company - tiGo

  Tumebishana sana kuhusu alichokifanya bwana yule kule kwa pilato tuangalie sera ya faragha ya kampuni inasemaje kuhusu kutunza siri za wateja pitia hiyo sera halafu tujadiri kama sera ndio mbovu au yeye bwana wakili kakosea au hakufuata utaratibu wa kutoa data za mteja . MIC TANZANIA PUBLIC...
 5. leonaldo

  Siasa za Tanzania bwaana, hivi Bibi Titi Mohamed waliyekuwa wanamuenzi leo wakina mama wa CCM ndie huyu upande wa pili wa shilingi?

  Tuweke historia yetu vema,leo kulikuwa na maadhimisho ya siku ya wanawake wa CCM UWT na kumuenzi Bibi Titi Mohamed,Lakini mzee mmoja tukitizama nae mbashara sherehe hizi amenipa stori tofauti kabisa ambayo sikuijua hapo kabla kwa kuwa hainenwi,ndipo nikaamua kuchimbua makaburi nikakutana na hii...
 6. leonaldo

  Mkitaka kuwa waongo lazima muwe na kumbukumbu, makusanyo ya 1.9 trillion yalifikiwa desemba 2020

  33341 Kuna habari kuwa mama kavunja rekodi ya makusanyo ya Kodi tangu Tanzania ipate Uhuru kwa kufikia 1.9 T, zilizokusanywa kwa njia Bora kabisa bila kutumia nguvu. Watu wanarukaruka na kushangilia kwa pambio na ngonjera za kutosha huku wakijua Wanasema uongo, tofauti na ukweli huo tokeni...
 7. leonaldo

  Endapo 1985 Nchi yetu ilikuwa imeendelea kwa kiwango Cha kuruhusu vyombo vya habari kuripoti kesi ya uhaini kesi ya Mbowe ina nini?

  Kesi ya uhaini hukumu yake Ni kifo na Ugaidi hukumu zake Ni hafifu zaidi Ni kitu gani kinaipa serikali yetu hofu ya kutaka watu wasijue kinachoendelea mahakamani? Ingekuwa nchi za wenzetu kesi hii ingekuwa live luningani hapa kwetu Kuna shida gani? Kama mnabisha ushahidi upo hapa kesi...
 8. leonaldo

  Masikini Vodacom na Airtel mnaenda kubeba mzigo usiowahusu!

  Kwa tulio mdharau Armstem, tunaenda kushuhudia mambo ambayo hatujawahi kuyashudia huko nyuma, ameanza na kampuni ya Airtel na Vodacom yakihusishwa na kushiriki kadhia uvunjaji wa haki za binadam nchini Tanzania. Armstedam tuache tupumue hata kidogo waombe Mungu kuwa wanachotuhumiwa nacho kiwe...
 9. leonaldo

  Hongera CHADEMA kwa uwekezaji huu mkubwa

  Safi sana CHADEMA hamkuwekeza kwenye majumba,wala magari ya kifahari wala chochote cha starehe,kila mlichopata mlikitumia kuijenga taasisi yenu mioyoni mwa watu, hamkukaa bure richa ya kuwa mlikuwa kifungoni kwa miaka yote mitano. Chemichemi zenu zote za kuwaongezea kipato kwenye chama...
 10. leonaldo

  Mbowe na dhana ya vyama mamruki, Kweli Tanzania vipo?

  Kimantiki maelezo ya mh, Mbowe wakati akitoa msimamo wa chama cha CHADEMA kuhusiana na kusimamishwa kwa mgombea wa kiti cha urais wa chama hicho mh, Tundu Lisu na kamati ya maadiri ya tume ya taifa ya uchaguzi, Mbowe amevirushia dongo vyama ambavyo viliunga mkono kusimamishwa kwa mgombea wa...
 11. leonaldo

  Hayati Mkapa: Huwezi kukwea mnazi kwa mkono mmoja

  Rais Mstaafu wa awamu ya rtatu, Marehemu Benjamin William Mkapa alitanabahisha kuwapo kwa umuhimu wa kuheshimu mawazo mbadala na kuyafanyia kazi inapobidi, lakini ni kama tumepuuza busara hii sasa upinzani ni kama uadui, kushirikiana nao ni kama usaliti na wala hatuoni aibu kusema hivyo...
 12. leonaldo

  Kiburi hiki lazima kiondoke, kodi tunalipa wote

  Chakufanya tunacho mwaka huu,kiburi hiki lazima kikomeshwe maamuzi tunayo mkononi mwetu ni kuamua tu, watuombe msamaha kwa ujinga huu.
 13. leonaldo

  TBC, Wakati ni sasa chukueni dhima yenu

  Nianze kwa kuenda moja kwa moja kwenye hoja ya msingi. Nichukue fursa hii kuvipongeza vituo binafsi vya television kuona umuhimu wa kuanzisha vipindi vya masomo ya shule kwa ajili ya watoto wetu walioko majumbani kwa sasa, ingawa jukumu hili kimsingi ni la television ya taifa. TBC ni taasisi...
 14. leonaldo

  Pascal Mayalla ni moja wa waandishi wachache waliobaki Tanzania wanaozingatia weledi katika kazi

  Kati ya waandishi wa habari wachache waliobaki hapa nchini wanao amini mtu mjinga ni yule ameona ukweli, anajua ukweli, na amesikia ukweli na bado anaamini uongo. Pascal Mayalla si mmoja wao na si mnafiki panapostahili kuitwa jembe atasema jembe na si sururu. Tulio wengi tunataka awe mmoja...
 15. leonaldo

  Video: Magereza wajifunze, jinsi Nelson Mandela alipoachiwa kutoka gereza la Victor vester

  Hakuna aliyeumia Hakuna aliyeuawa, askari walisaidia kutoa ulinzi kwa raia pamoja na kuwa utawala WA makaburu ulikuwa ukimchukia Mandela, Hakuna raia alie ambiwa asubili km 1 kutoka fensi ya gereza walimpokea njema ya lango la gereza. Hakuna askari wa Miraba Minne alie warukia wanawake na...
 16. leonaldo

  Mzimu wa Lissu ndio tatizo kubwa kwa sasa kuliko mtu yeyote hapa Tanzania

  Kwa hali ya kisiasa ilivyo hapa Tanzania kwa sasa Tundu Lisu ni tatizo kubwa kwa CCM kuliko ilivyo kuwa kwa Lowasa kwenye uchaguzi wa mwaka 2015,lakini kuung'amua na kuukubari ukweli huu inahitaji jicho la tatu. Wapo wengi wanajiuliza kwa nini CCM inaonekana kuwa na wasiwasi mwingi mwaka huu wa...
 17. leonaldo

  Makonda: Kigamboni inaweza kuwa kama Visiwa vya Jessie. Nitaigeuza kuwa kama mji wa Manhattan Marekani

  Akiongea kwenye uzinduzi wa jengo la ofisi ya mkuu wa wilaya ya Kigamboni Makonda amesema Kigamoni inaweza kuwa Kama kisiwa cha Jessie USA, Mahoteli mazuri fukwe nzuri nk. Mimi naongeza sifa nyingine ya kisiwa hiki: Taasisi kubwa na bora kabisa za kibenki, abazo zimetumika kuficha fedha za...
 18. leonaldo

  Rais wangu Magufuli tumia hii fimbo kuwacharaza wapinzani wako

  Katika hii miaka ya karibuni nchi yako imezalisha watu wachache wanaoitwa PINGAPINGA. Hawa watu wamekuwa mzigo moyoni mwako kwa kipindi hiki chote cha utawala wako,wakijidhihirisha wazi kuwa ni watu wasio kuwa na SHUKURANI hata punje kwa mema yote uliyoliyendea taifa letu tena yasiyo kuwa na...
 19. leonaldo

  Nape awapa ushauri wa bure wenye roho mbaya!

  Ujumbe huo unasema: Nyani waliposikia kuwa aliyekuwa akiwafukuza wasile mahindi amekufa, walishangilia sana. Mwaka uliofuata walipata njaa kali maana hakukuwa na mahindi. Ndipo walipogundua kuwa mtu aliyekufa ndiye alikuwa mkulima. Ujumbe: Jifunze kuishi na adui yako maana anaweza akawa ndiye...
Top Bottom