Search results

 1. Tanayzer

  Wahitimu wa ualimu, chukua projects hapa zikusaidie kuombea kazi

  Habarini wakuu. Kama tunavyojua ualimu ni kada yenye ushindani sana katika upatikanaji wa ajira zake, leo naomba niwape projects (miradi) zenye kuvutia waajiri wakupe nafasi, i) Remidial classes: Hapa utaelezea kuwa utaanzisha program maalum ya kufanya kuanzia form 1 hadi form 4 wawe wanabaki...
 2. Tanayzer

  Baba amuua kijana aliyekuwa na uhusiano wa kimapenzi na binti yake

  Wakuu habarini.. Ni jana mapema, tuliitishiwa kikao cha dharura hapa ofisini baada ya Polisi kuja kumuulizia mmoja kati ya mzee mtu mzima aliekuwa katika kitengo fulani hapa ofisini. Tulichosimuliwa- Huyu mzee ana mtoto wake wa kike ana miaka kama 12 au 11 hivi, na anasoma hapa mkoani Iringa...
 3. Tanayzer

  Hygrometer Iringa mjini

  Wakuu habarini ningependa kuuliza waliopo Iringa na wanaoijua Iringa, vifaa vya hygrometer kwaajili ya kupima unyevu kwenye incubator vinapatikana sehemu gani hapa Iringa mjini? Mimi ni mgeni wa maeneo haya na nina uhitaji sana wa hygrometer... asanteni
 4. Tanayzer

  Washairi kutoka dodoma

  .
 5. Tanayzer

  Kipi bora kununua incubator au kuanza nae kuku wa kienyeji 40?

  Wakuu habarini na poleni na mihangaiko ya hapa na pale... Wakuu nilikuwa nakijimtaji cha laki 5 hapa , na mwaka huu nataka kufuga kuku wa kienyeji, na baadaye nije nichanganye na chotara au wengine huita wamalawi.... sasa Wakuu lipi ni wazo bora kati ya kununua incubator ya mayai 96...
 6. Tanayzer

  Ninachowaza kufanya suala la Mo dewji...

  Wakuu habarini za sahizi... Nimekaa siku nzima nawaza suala la tajiri mfanya biashara na mmiliki wa Club ya Simba bwana Mo dewji ukiachilia mbali dau hilo la bilioni moja...... Wakuu Kwanzaa issue ya CCTV footage ya siku ya tukio familia ya Mo isihangaike nazo Kabisa.... Kwanzaa binafsi...
 7. Tanayzer

  Barua yangu kwako

  To the beautiful flower.... Ninatumai umzima wa afya....Ni kipindi kirefu kimepita, toka uamue kwenda mbali na kuacha moyo nahisia kwenye majonzi, umeacha roho ndani ya moto pengine umeacha mwili umeondoka na roho yangu..... Najiuliza, nini kilifanya unikimbie??, na nadhani hali yangu haikuwa...
 8. Tanayzer

  Kusoma degree mbili kwa wakati tofauti

  Wakuu habarini.... Hivi inawezekana mtu kusoma degree course mbili tofauti kwa kipindi tofauti... mfano sahizi nasomea bachelor of science in education ila nataka nikimaliza niende nikasomee degree ya education in special needs...je inawezekana wakuu???
 9. Tanayzer

  Nikimpata......

  habarini wakuu..... Nimekuwa katika matatizo ya mahusiano kwa kipindi kirefu, kutokana na mambo mbali mbali tu.....kifupi nipo katika mapenzi na mwanamke ambae ninaona kabisa anakila quality ya kuwa kipenzi cha roho yangu...... Weekend hii naenda kuonfea nae wakuu...honestly naahidi endapo...
 10. Tanayzer

  Nahisi Mungu ananichapa kiboko

  .
 11. Tanayzer

  PC inapeleka chaji ikizimwa tu.

  Wakuu habarini sana... Wakuu nina kaPC kangu kaHP mwaka mmoja sasa...Kifupi hakajawahi kuwa na tatizo lolote zaidi mambo ya Window kucorrupt na mambo kama hayo..... Sasa wakuu kuanzia juzi nimegundua changes kidogo nikitaka kuiweka chaji ikiwa imewaka na inatumika basi haipeleki kabisa na...
 12. Tanayzer

  Nahitaji wimbo wa when i come back home

  Wakuu habarini... Naimani wazima wa afya tele.. Wakuu nina shida na nyimbo inaimbwa.. "when i come back home,everything gonna be alright, so mamy don't go,everything would be just fine" Sikumbuki muimbaji na jina la nyimbo ila kipindi ninachopitia sasa kinanifanya nihitaji sana kuusikiliza huu...
 13. Tanayzer

  Hello JF

  .
Top Bottom