Search results

 1. Mr.Thinker

  Things to Know about Vagina (Mambo ya kuyafahamu kuhusu Uke)

  Elimika! 1. Vaginal discharge is normal. 2. It is not necessary to wear underwear 24/7. 3. Vaginas are acidic enough, even like chlorine, hence the discoloration of underwear. . 4. Longer inner lips are more normal than smaller ones.. 5. Sperm can modify the ph and smell of your vagina. . 6...
 2. Mr.Thinker

  Acacia Buzwagi ichunguzwe namna inavyowahudumia Wafanyakazi waliopata ugonjwa wakiwa kazini! Wengi hawapati huduma stahiki

  Habari za humu wanajamvi, Naamini mu wazima wa Afya, leo naomba kuwashirikisha kuhusu kile ninachokiita unyanyasaji wa hawa Acacia ambao ni mshirika wa African Barrick Gold(ABG) ambao wanamiliki migodi ya dhahabu kama vile Buzwagi Gold Mining, Geita Gold Mining na Bulyanhulu Gold Mining huko...
 3. Mr.Thinker

  ACACIA-Buzwagi wanawatelekeza na kukataa kuwatibia wafanyakazi waloumia wakiwa kazini

  Habari za humu wanajamvi, naamin mu wazima wa Afya, leo naomba kuwashirikisha Kuhusu unyanyasaji wa hawa ACACIA ambaye ni mshirika wa AFRICAN BARICK GOLD(ABG) ambao wanamiliki migodi ya dhahabu kamavile Buzwagi Gold mining, Geita Gold mining na Bulyanhulu Gold mining huko Kakola,kutokana na kazi...
 4. Mr.Thinker

  Mwanamke wa namna hii hafai Kuolewa asilani

  Leo NIzungumzie wanawake ambao ni majanga na ukijichanganya ukaingia nao kwenye maisha ya ndoa, inakula kwako. Anaona unamsaliti kila mara Huku kunatokana na kutokujiamini tu. Ukioa mwanamke ambaye kila wakati unapokuwa mbali naye anahisi unamsaliti, huyo hakuamini na kamwe hamuwezi kudumu...
 5. Mr.Thinker

  Ukweli wa ile sayari ya NIBIRU au PLANET X ambayo inaielekea kugonga dunia kwa kasi ya ajabu

  Ile Sayari ya Nibiru au Planet X ambayo wanasayansi duniani wamedai inaielekea dunia kwa kasi ya ajabu na huenda ikaipiga, habari mpya ni kwamba imekaribia lakini pia tukio la kupatwa kwa jua, Septemba Mosi, mwaka huu inazidi kuwapa hofu MAKADIRIO YA WANASAYANSIKatika taarifa yao ya hivi...
 6. Mr.Thinker

  Aina 10 za wanawake zitakazofanya maisha yako kuwa magumu

  Ok. Katika kuangalia tabia za wanawake, nakuja na orodha ya wanawake ambao kama mwanamume unafaa kuwa chonjo nao kwani watayafanya maisha yako ya mahusiano kuwa ya balaa. Labda sahizi uko katika mahusiano ya muda mrefu na mpenzi wako ama sahizi uko mbioni unatafuta, kuwa macho na aina hii ya...
 7. Mr.Thinker

  je unampenda aliyependwa? fanya yafuatayo...!!!

  Habari zenu wakuu!! tuzungumzie kumpenda aliyependwa, Kupenda hakuna macho! Moyo ukishapenda hausikii wala kuambiwa. Katika hili ndiyo maana unaweza kumuona mwanaume kazimika kwa msichana ambaye hawaendani kabisa lakini moyo wake ndio umeshapenda. Hayo ndiyo mapenzi jamani!, mwanaume unaweza...
 8. Mr.Thinker

  Hizi ndizo sababu za wanaume kutoweka wazi mapato yao kwa wenzi wao

  Vijana na wanaume huwa wanaambizana kwamba ili uhusiano udumu, usimueleze kila kitu mwanamke. Wanasema mfiche asijue kila kitu. na Taswira hiyo pengine kadiri siku zilivyokuwa zinazidi kusonga mbele, sasa inakuwa kama sheria. Wanaume wanasambaziana mbinu hiyo ili kukabiliana na wanawake zao...
 9. Mr.Thinker

  (MUHUMU) Mbinu 4 bora za wanawake kudumisha usafi sehemu nyeti!!!

  Tangu utotoni, watoto wasichana hufunzwa jinsi ya kujiweka safi na nadhifu wakati wote.Usafi huu pia unahusu sehemu nyeti; hakuna mwanamume atakubali kuwa karibu na mwanamke anayetoa uvundoUke wa mwanamke ni moja ya maeneo muhimu sana yanayohitaji kutunzwa kwa kiwango cha hali ya juu Ni nyakati...
 10. Mr.Thinker

  Hizi ni Aina za wanawake WANAOPENDWA sana na wanaume

  Unaweza kuwa kila siku unajiuliza namna ya kujiweka ili uweze kupata mwanaume wa ndoto yako sasa leo kupitia jukwaa hili nakuletea aina za wanawake wanaopendwa na wanaume WANAOJUA MAPENZI Wanawake wajuzi wa mambo ya faragha wanapendwa sana. Sifa yao kubwa ni uwezo wa kutosheleza katika tendo la...
 11. Mr.Thinker

  Matibabu ya nguvu za kiume kwa waathirika wa punyeto

  Unatakiwa kufanya yafuatayo 1. Hakikisha umeacha punyeto kabisa Ili upone tatizo hili hutakiwi kuwa mtu wa kubadilika mawazo hovyo. Kama umeamua kuacha basi acha kabisa na futa kichwani kwako. Jisemee moyoni kwamba mimi fulani nimeacha tabia hii na sitarudi nyuma. Kama wewe ni mtu wa imani...
 12. Mr.Thinker

  Hizi ndizo Hasara 5 za ushauri wa rafiki kuhusu mapenzi yako!!!

  Wanajamvi naomba kuwasilisha hili: watu walio wengi hupenda kupewa ushauri na ndugu jamaa na mrafika na Kwa mtazamo wa haraka haraka unaweza kuishia kwenye ukomo huo wa fikra na kuamini juu ya ushauri wa mtu kukufikisha mahali sahihi kwenye mapenzi. Unapokerwa na mpenzi unakimbilia kushauriwa na...
 13. Mr.Thinker

  Kama wewe unataka kuepuka maumivu katika mapenzi hii inakuhusu

  Tuanze kama ifuatavyo JIFUNZE KUSAMEHE NA KUSAHAU: Hakuna jambo ambalo hutuliza fikra na hisia za mapenzi kama kukubali kumsamehe yule aliyekuudhi kabla hata hajakuomba msamaha na kuamua kusahau yote yaliyotokea. Yawezekana wengi mtasema haiwezekani. Marafiki, lazima kila mmoja aelewe kwamba...
 14. Mr.Thinker

  The 7 Habits of Highly Successful Intelligence Analysts

  What makes a good intelligence analyst? Are there certain skills, qualities and attributes that can make you better primed for success in your chosen field? If so, how can we transform these personal traits into enduring habits that help us succeed in what we do? Of course, the good news is...
 15. Mr.Thinker

  Ukiona dalili hizi basi jua huyo mama mkwe anakupenda

  Kwa kawaida mama wakwe wanachukuliwa kuwa na utofauti mkubwa utakuta wengine wana upendo anaweza kukufanya kama motto wake na wengine wanakuwa kinyume kabisa wanaweza kusho sumu ya ndoa yako. Wakati huo huo kuna wanawake ambao wanadai kuwa hawana uhusiano mzuri na wakwe zao, lakini kwa chini...
 16. Mr.Thinker

  Hivi ndivyo vitu 5 ambavyo wanawake hupenda sana kudanganya ktk mapenzi

  kuna baadhi ya wanawake ambao ni waongo sana, na hiyo inajulikana, hata kuwashinda wanaume ambao inajulikana wao ndo wajanja katika kudanganya kuliko wanawake, lakini leo tutaangalie vile vitu ambavyo wanawake wengi huwa wanadanganya sana. 1. Umri Wanawake wengi wanaamini wanaume wanavutiwa na...
 17. Mr.Thinker

  Msaada: Tanzania Pharmaceutical Handbook

  Habari zenu wakuu, naanza na salamu kwanza kwa sababu ni jadi yetu Watanzania kusalimiana, Wanajukwaa naomba msaada kwa yeyote aliye na softcopy ya hiki kitabu anisaidie "Tanzania Pharmaceutical Handbook". E-mail yangu ni: Madalali2007@yahoo.com
 18. Mr.Thinker

  Kidato cha sita 2014 kujiunga na JKT mwezi juni mwaka huu

  Habar wakuu, napenda kuwajuza kuwa form six 2014 kama kawaida watajiunga na JKT mwezi juni 2014. nawasilisha source; www.jkt.go.tz
 19. Mr.Thinker

  Msaada: kusomea Degree ya DOCTOR OF MEDICINE(MD)

  Habari zenu wakuu. naomba msaada kdogo juu ya hili,je nikiwa na qualifications kama hzi (1 na 2 apo chini)kwa TANZANIA naweza enda somea degree-doctor of medicine(MD) 1>Ufaulu mzuri wa chemistry,biology&geography(CBG)A-LEVEL STUDIES 2>Diploma in clinical medicine. msaada 2; ukitoa factor ya...
 20. Mr.Thinker

  Hodiiiii,hodiiiiiii

  Habari zenu wakuu,wanajamvi wa jf! ndo kwanza nakanyaga jf,naomben tuwe wamoja ktk hoja na mijadala mbalimbali itakayotuletea maendeleo! ni hayo tu wakuu!
Top Bottom