Search results

 1. darubin ya mbao

  Swali: Hivi haiwezekani kupiga kura kwa kutumia simu zetu za mikononi

  Itifaki imezingatiwa, Niende moja kwa moja kwenye mada, nimekua nikijiuliza hili swali kwanini tusitumie simu zetu za mkononi kupiga kura, hii itaokoa muda , gharama na ile adha ya kuwataka watu wakapige kura kwenye vituo walivyojiandikishia. Nimepata wazo hili baada ya kuona mfumo fulani wa...
 2. darubin ya mbao

  Radio Free Africa mmefulia vibaya sana

  Moja kwa moja kwenye mada. Kuna kipindi nakiskiliza muda huu saa 2315 cha muziki, aisee hao watangazaji wenu sijui mmewatoa wapi yani inaonyesha ni ma newbie sana ni dizain kama ya wale watangazaji wa radio za mikoani yani sikuamini maskio yangu mpaka niliposikia "unaskiliza Radio Free Africa...
 3. darubin ya mbao

  Mwenye mtaji aje tulime mahindi

  Moja kwa moja kwenye mada Kama kichwa kinavojieleza mtu mwenye mtaji na anapenda kulima zao la mahindi namkaribisha tufanye kazi Aina ya mahindi tutayolima ni mahindi ya kuchoma maarufu kama GOBO size ya shamba kuanzia heka kumi mpaka hamsini Location :Iringa vijijini Gharama ya...
 4. darubin ya mbao

  Mabinti wa kazi ni rahisi sana kushika mimba

  Moja kwa moja kwenye mada nisiwachoshe ndugu zangu wa JamiiForums. Nimekuwa nikisoma mara kadhaa humu kuwa hawa mabinti wanaotusaidia kazi nyumbani mayai yao yapo karibu sana yani ukigusa tu imoo. Basi na mimi leo naleta ushuhuda kuwa ni kweli hawa mabinti suala la kushika mimba ni sawa na...
Top Bottom