Search results

 1. C.T.U

  Taifa limesimama kwa muda kupisha ndoa ya taifa baina ya Gilsant Mlaseko na Mfanyabiashara mrembo Lucy

  Leo twitter kuna ndoa ya taifa ni baina ya Guru wa mauzo mitandaoni Gillsant Mlaseko na mwanadada mjasiliamali bibie Lucy Hii ni harusi ya kitaifa sababu kwa level ambazo Gilsant anazo ni wazi kuwa kutakuwa na ma top level CEOs na decision makers wa nchi hii Ni harusi ambayo utawakuta watu...
 2. C.T.U

  Lebanon wameweza. Tanzania na Africa tunafeli wapi?

  Habarini waungwana Okay iko hivi wiki hii story kubwa ni kuhusu kampuni ya Anghami kuweza kuingia kwenye soko la Hisa la Marekani la NASDAQ na kuwa kampuni pekee ya Lebanon kufanikisha kuingia kwenye soko la Hisa la NASDAQ sasa basi tuangalie Anghami ni nini? Anghami ni kampuni ambayo...
 3. C.T.U

  Waraka wa kwanza wa C.T.U kwenda kwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile

  Habari kiongozi Dr Faustine Ndugulile ndugu pole na majukumu ambayo umekuwa ukiyapitia naona umeanza vizuri katika utendaji kazi wako. Binafsi natamani nipate wasaa wa kukaa na wewe kukueleza machache ambayo sisi watu wa Startup tunapitia nchini. Kwanza kabisa napenda kupongeza jitihada za...
 4. C.T.U

  R.I.P brighter monday gone too soon? Tunalipi la kujifunza kwa kifo chake?

  Habarini wadau, Natumaini Mnaendelea vyema hivi karibuni mtandao wa ajira nchini wa BrighterMonday umetangaza kuwa utafunga shughuli zake nchini. Kwamba Shughuli ambazo zilikuwa zinafanywa na mtandao huo wa Brighter Monday zitasitishwa pamoja na hivyo matangazo yote yaliyotolewa katika mtandao...
 5. C.T.U

  Mada chokozi: Ni website gani nzuri ambayo inamilikiwa na Watanzania

  Habarini waungwana, Rejea mada hapo juu nimeamua kuanzisha huu uzi kuona namna ya kujua ni website ipi ambayo inamilikiwa na Watanzania kwa maana Tanzanian startups Duniani tumeona Luna website nyingi tu ambazo ni mfumo Mfano Homeaway.com Airbnb.com Zillow.com Ambazo zimepitia viwango vyote...
 6. C.T.U

  Angalia vijana Tanzania wa teknolojia wakiomba mtaji kuanzia milioni 100 hapa

  Habaaari Ijumaa vijana mbalimbali walikuwa wakitoa mawazo yao mbalimbali ya teknolojia kwa ajili ya kutengeneza Tanzania ya teknolojia Tafadhali pitia mawazo yao hapa na biashara zao, then tutajadili biashara gani ikifanywa kwa usahihi itazalisha billionaire ajaye Kila mtu hapo alikuwa...
 7. C.T.U

  PiKi na FoodSasa wafanye yafuatayo

  Kumekuwa na kuibuka kwa applications ambazo zinamfanya mtu kuweza kuagiza chakula online na kuletewa kwa delivery, ambazo ni piki na foodsasa, app hizi zinasaidia sana kwenye shughuli za kuagiza vyakula kutoka kwenye restaurants mbalimbali nchini Hivyo basi ninashauri piki na foodsasa wafanye...
 8. C.T.U

  Tanzanian developers, Software engineers tujadili hii multi billion dollar idea

  Habari za kwenu waungwana natumaini mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku ya kutafuta ubillionaire katika nyanja yetu pendwa ya Technology, sasa basi leo naomba nizungumze na software developers, mobile developers na engineers mbalimbali wa maswala ya Artificial Intellience, Cloud computing...
 9. C.T.U

  Silicon Dar: Je ni suluhisho la kweli au janja janja?

  Habari humu kumekuwa na uanzishwaji wa kitu kinachoitwa Silicon Dar Kwamba wamechukua jina la Silicon Valley, Califonia eneo maarufu kwa teknolojia wao wamekuja na Silicon Dar Eneo hilo la Silicon Dar lipo kuanzia Sayansi hadi Morocco Hapo Silicon Dar utakuta wapo vijana wengi ambao wana...
 10. C.T.U

  Wataalamu wa Business Registration na wataalamu wa kodi (TRA) msaada tutani

  Wakongwe habarini nina swali ambalo lina scenario mbili naomba ufafanuzi, ukingatia hapa ni Great Thinker forum Scenario ya kwanza Mimi naitwa Maduhu Wanduhu nimeanzisha kampuni yangu ya utengenezaji wa baiskeli za kutumia umeme E-bike ambapo baiskeli hizi mtu anaweza kuzikikuta maeneo maalumu...
 11. C.T.U

  Bar gani unapendelea kwenda na kwanini??

  Mie napendelea kwenda Tripple B Goba... Sababu kuu ni wahudumu wenye makalio makubwa Taja baa zingine zenye sifa kama hizo mjini hapa Sent using Jamii Forums mobile app
 12. C.T.U

  SWALI:Ninaweza kucheza Lottery za Kimataifa ilhali nikiwa Mbagala kiburugwa

  Wakongwe habari... Kama swali linavyoonekana hapo juu ni kwamba je? ninaweza kucheza lnternational lottery programs kama vile Mega billionaire ya kule Marekani na zingine za nchi nyingine?? Je kuna lottery program yeyote ambayo ni ya kimataifa mtu yeyete duniani anaweza kucheza ? vipi maswala...
 13. C.T.U

  Brilliant adventure ni ya nani?

  Naiona inatanganzwa sana kuwa wanapeleka watu Russia Je ni mali ya nani?
 14. C.T.U

  JamiiForums karate club

  Wakongwe habari zenu aisee wote tunajua kuwa maisha yamebadilika sana kutokana na pilika pilika za maisha utafutaji wa fedha watu tunakuwa busy sana kwani ukiangalia ratiba ya mtu ni nyumbani, kazini halafu nyumbani ratiba hii inatoa fursa ya magonjwa kuanza kutunyemelea kwa sababu hatuna fursa...
 15. C.T.U

  Naomba kuelimishwa kuhusu masuala ya salute kati ya Jeshi na Polisi

  Wana Jf habarini za kwenu poleni na majukumu ya kila siku wakongwe naomba kuuliza ... naamini kuwa hapa ndio mahali pekee ambapo naweza pata maarifa ya mambo kadhaa... na kwa upana wake Leo swali kubwa ni kuhusu vyeo vya jeshi la wananchi na jeshi la polisi na suala zima la salute wanajeshi...
 16. C.T.U

  Mada ya Kizushi: Kijiwe chenye Totoz Wikiend

  Ni sehemu gani naweza kwenda pata kinywaji moja moto moja baridi kipindi cha wikiend halafu mwisho nikaondoka na totoz kali high class ukiachana na totoz chafu chafu za la chaz na ambiance Sent using Jamii Forums mobile app
 17. C.T.U

  List ya Makampuni na NGOs zote zilizopo Tanzania

  Wakongwe habari zenu Nani anaweza nisaidia kupata database ya Makampuni pamoja na NGO s zote zilizopo Tanzania pamoja na contact zake Kama kuna link ambayo tunaweza kuingia na kukuta list ya Makampuni hayo nitashukuru sana Natanguliza shukrani...
 18. C.T.U

  Dar to Pretoria na gari private: Ushauri na changamoto zake plus gharama

  Wakongwe salaam, Nina mpango wa kuwasha ndinga kutoka Dar mpaka Pretoria South Africa hivi karibuni. Dhumuni hasa kuna mizigo miwili mitatu nataka nikafanye shopping kwa ajili ya biashara (mobile phones) Mizigo hiyo nina mpango wa kusafiri nayo kwenye gari kwa maana niweke kwenye buti. Lengo...
 19. C.T.U

  TCRA mkamateni Jovin Silayo ni tapeli

  Tcrl mkamateni jovin silayo anayetumia namba 0765696409 Ni tapeli sana anakupigia simu akijifanya ni mfanyakazi wa vodacom anakwambia masuala ya mpawa na mpesa Halafu anakwambia anataka kukupa bonus then anakwambia ufanye process Fulani iwapo ukifanya process hizo Jua kabisa Fedha za...
 20. C.T.U

  Njia rahisi ya kufika Pangani Tanga

  Wakuu, Kuna jamaa yangu kahamishiwa kikazi Pangani Tanga, sasa yeye ana gari ndogo aina ya Toyota Porte na alikuwa anataka ku drive na familia yake mpaka Pangani sasa anauliza the best way ya kwenda nalo hilo gari ni kupitia Tanga mjini then aitafute barabara ya Pangani au aende mpaka Mkata...
Top Bottom