Search results

 1. Ndugu yangu

  Baada ya kuweka koma kwenye orodha ya kwanza ya Mawaziri, Rais Samia asema atatangaza orodha mpya karibuni

  Laa hatari sana, yuko tamisemi tangu lini, pia utendaji kazi wake unaupimaje mkuu?
 2. Ndugu yangu

  James Mbatia: Viongozi wengi wa Serikali wamekumbwa na upunguani wa uelewa wa mambo

  Chuma kizito chenye ncha Kali juu ya utosi wa mtoto
 3. Ndugu yangu

  EWURA: Taarifa kwa umma kuhusu bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kuanzia 1 Desemba 2021

  Kwetu huku is shapanda siku nyingi Lita moja ya petrol shilingi 3500
 4. Ndugu yangu

  Rais Samia: Askari mnalalamikiwa kushikilia leseni za madereva muda mrefu

  Kiongozi katika biashara huwezi kubagua wateja, akija CCM, CHADEMA, ACT, CUF et all amekupa mkwanja unachukua, sidhani kwa mfano dukani utakuwa unabagua wateja huyu ni adui yangu nisimuuzie hiyo siyo biashara
 5. Ndugu yangu

  Rais Samia: Askari mnalalamikiwa kushikilia leseni za madereva muda mrefu

  Ikiwa hivi faini n rushwa zitapungua, kwa sasa kila baada ya umbali mfupi kuna geti na kila geti lazima utoe si chini ya 3000 madam tu unafanya biashara ya abilia, hawajali mafuta yamepanda yaani taabu sana
 6. Ndugu yangu

  Rais Samia: Askari mnalalamikiwa kushikilia leseni za madereva muda mrefu

  Kwa sasa kufanya biashara ya usafirishaji TZ ni shida sana hasa kwa gari hiace, wanaomba leseni wakidai wanakagua ukimpa tuu kinachofata ni faini bila sababu za msingi, nchi yetu kama tutafika tuendako.
 7. Ndugu yangu

  Uhaba wa Maji Dar es Salaam: Harufu zimeanza kuwa kali maofisini na Majumbani

  Mungu ni pendo, yeye siyo Roho mbaya kila siku anatuwazia mema
 8. Ndugu yangu

  Barua ya wazi kwa Waziri Mkuu Majaliwa, kutoka kwa baadhi ya madereva wa Hiace Sumbawanga

  Serikali iliangalie suala hili kwa jicho la kipekee vinginevyo hawa watu watapoteza ajira zao kutokana na kuengezeka kwa gharama za uendeshaji kama mtoa mada alivyosema
 9. Ndugu yangu

  Treni za kizamani zina umuhimu sana bado kwenye uchumi

  Umenena vyema, shida nchi yetu ni kila kitu siasa, wananchi wanavamia misitu halafu wanasiasa wanaanza kupigania msitu umegwe ili wananchi wapate pa kuchungia
 10. Ndugu yangu

  Kupaka rangi nyumba kunahitaji kibali. Nani wanatunga Sheria hizi?

  Wananchi tunapaswa tujitoe mhanga ifike mahali tuwe tunaamua tujiongoze vip na si genge la wezi kwa mgongo wa madiwani na wabunge wanaojinemesha, wanatunga sheria kwa kutafuta posho huku mwananchi wa chini anaendelea kuwa fukara
 11. Ndugu yangu

  Kupaka rangi nyumba kunahitaji kibali. Nani wanatunga Sheria hizi?

  Nchii ukiambia wananchi tuna ubinafsi ambao umesababishwa na upungufu wa akili mtu atakataa, watanzania hatuna akili, sheria zinatungwa kuendelea kumfanya maskini aendelee kuwa maskini. Sheria zinatungwa kwa kuangalia ulaya na si nchi ikoje
 12. Ndugu yangu

  Zanzibar kupo hovyo sana, kweli au nahitaji kueleweshwa?

  Kwa akili hizi wabara wanashida ndio maana matumizi ya serikali ni makubwa sana na maendeleo ni sifuri
 13. Ndugu yangu

  Hawa wote hawalipi KODI hapa Tanzania

  Huyo jamaa anaongea tu hajui chochote, hakuna mmiliki wa dadadala asiyekuwa na TIN namba, pia kwenye mafuta ndio usipime wanalipa hadi ujenzi wa reli na REA
 14. Ndugu yangu

  Story of Change Kwanini Wabunge hushangaa bajeti na sheria za ajabu walizopitisha wao wenyewe Bungeni?

  Mbunge ni mjumbe wa baraza la madiwani linalounda Halmashauri, unaposema ubunge uwe taasisi na uwe na watalaam mbalimbali wa kumshauri unamanisha nini? Halmashauri ni taasisi iliyosheheni watalaamu mbalimbali, kwa hiyo mbunge amezungukwa na watalaam wote kwa mjibu wa mtizamo wako.
 15. Ndugu yangu

  Rais Samia hili la makato mapya ni kaa la moto, linaenda kukupotezea umaarufu

  Bajeti ilipokuwa inadomwa kuwa kutakuwa na makato mbona hukulalamika? Baada ya bajeti kupita kama hukusema sasa ni utekelezaji.
 16. Ndugu yangu

  Kwanini mbunge Musukuma anapenda kuwadharau wasomi wetu?

  Na wewe lakini ni miongoni mwa hao wasomi wa nchi hii
 17. Ndugu yangu

  TBS bila rushwa gari lako halitoki bandarini

  Nchi yetu kila sheria inapotungwa jua kuwa ulaji unafunguliwa, hili la kukagua magari nchini kwa akili ya kawaida lazima inamuumiza muagizaji, fikiria gari imeagizwa na inashida ya marekebisho makubwa badala ya mmikiki kutengeneza anatengeneza muagizaji tabu sana
 18. Ndugu yangu

  USHUHUDA: Nilivyokutana na ushirikina kazini

  Hiyo kali, kwamba mashine inakuwa na nguvu kuzidi mwanzo baada ya kuzika kuku mzima eneo la mgodi. Hatari sana African chemistry
Top Bottom