Search results

 1. roservelt

  Nyumbani tuna amani

  Nyumbani tuna amani. Tuna furaha isiyo kifani kwa sababu yule mbwa mbwekaji aliyekata usingizi wetu tumemuua! Hatutaki kelele. Wezi waje au wasije- hilo halituhusu. Raha ya familia ni pana kweli kweli. Kile kioo cha ukutani walichotumia watoto kujitazama kamasi zao kimeondolewa. Mama ambaye kwa...
 2. roservelt

  Swali la Kipima Joto. Mwitikio mdogo zoezi la uandikishaji wapiga kura. Je, wananchi hawajui umuhimu wake?

  Ni wazi mwamko wa wananchi kujitokeza katika vituo ili kuweza kujiandikisha na kupata nafasi ya kuchagua viongozi wa serikali za mitaa umekua hafifu mnoo. Hali hii imeilazimu serikali kuongeza siku tatu za uandikishaji. Je wewe kama mtanzania una maoni gani juu ya swala hili?
 3. roservelt

  Msaada: Tanzania ina Matoleo mangapi ya Katiba tangu kupata Uhuru

  Habarini. Tanzania has how many constitution edition since independence? Kwa mwenye kujua hili swali naomba anijuze..
 4. roservelt

  Le Band ft Suzziah- Number 1

  Le band kutoka 254 Kenya wamerelease ngoma yao mpya inayokwenda kwa jina la "Number 1" na kumshirikisha msanii Suzziah. Ni bonge la ngoma lenye kichupa kikali, melody imesimama na ujumbe mzuri hasa kwa wale wapendanao. Enjoy it then drop your comments!!!
 5. roservelt

  Yajayo yanafurahisha. Je, uko tayari?

  Heri ya mwaka mpya wana JF… Niende moja kwa moja kwenye mada, Ni wazi dunia ya sasa (karne ya 21) ni tofauti kabisa na dunia ya karne zilizopita katika Nyanja za Kiuchumi, Kisiasa, Kijamii na Kiteknolojia. Mafanikio ya sasa ni matokeo ya juhudi, uwajibikaji uliofanywa na watu mbalimbali kipindi...
 6. roservelt

  Ajira mpya za ualimu November 2018

  Serikali imetangaza majina ya walimu wa secondary na wa primary kujaza nafasi za walimu ambao hawakuripoti kwenye vituo katika ajira za mwezi July 2018.
 7. roservelt

  You are the reason ( Calum Scott)

  You Are the Reason Calum Scott YOU ARE THE REASON LYRICS [Verse 1] There goes my heart beating 'Cause you are the reason I'm losing my sleep Please come back now And there goes my mind racing And you are the reason That I'm still breathing I'm hopeless now [Chorus] I'd climb every mountain...
 8. roservelt

  Pagamisa- professor Jay ft Mr. T Touch!!

  Habarini wakuu!!! Mbunge wa Mikumi na msanii mkongwe Professor Jay kaachia ngoma mpya inayoitwa "Pagamisa" ikiwa na maana pambana/endelea kupambana. Kwa kifupi ngoma ni Kali na hizi ni baadhi ya line zinazopatikana ktk nyimbo hioo... Tokea magetoni uoga nishakataa.. Tuchape hata risasi...
 9. roservelt

  Mkanganyiko kwenye mfumo wa utoaji wa ajira kwenye ujenzi wa reli(standard gauge railway)

  Habarini wanabodi!!! Poleni na majukumu ya kutafuta ugali wa kila siku. Ni takribani mwez sasa umepita tangu serikali itangaze ajira kwenye ujenzi wa reli mpya(standard gauge railway) inayojengwa na kampuni ya Waturiki. Watanzania wengi wenye fani mbalimbali kama..Drivers, Mechanics, Welding...
 10. roservelt

  Kuvunjika kwa U.S.S.R chini ya Mikhail Gorbachev.

  Kuvujika kwa U.S.S.R chini ya Mikhail Gorbachev. Habarini wanabodi!! Mwaka 1922 umoja wa nchi za kijamaa uliundwa (Union of Soviet Socialist Republics). Umoja huo uliundwa na nchi kama Romania, Poland, Czechoslovakia, Russia, Serbia, Yugoslavia na Ujerumani Mashariki.Marekani alikataa kuunga...
 11. roservelt

  Majina ya walioitwa kwenye usahili ofisi za Takwimu Taifa (NBS)

  Majina ya walioitwa kwenye usahili ofisi za Takwimu Taifa Kujua majina ya walioitwa kwenye usaili ofisi za Takwimu taifa (mikoa yote) na tarehe ya usaili. Bofya link chini hapa MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAHILI OFISI ZA TAKWIMU TAIFA
 12. roservelt

  Tofauti kati ya Caldera na Crater

  Habarini..poleni na shughuli za kila siku. Naombeni tofauti kati ya caldera na crater. Je ngorongoro ni crater or Caldera????
 13. roservelt

  Mark Angel Comedy!!!

  Kwa wale wapenzi wa comedy..kuna hili kundi la mark angel comedy from Nigeria. Ndani ya kundi utakutana na wakali kama uncle Mark, Emanuella, Chikwamecka.. na wengine.... Kwa kweli vijana wako vizuri na creative, mi emanuella hua ananikosha..kama hujafanikiwa kuziona comedy zao zitafute YouTube...
 14. roservelt

  Msaada kuipata hii movie!!

 15. roservelt

  Ifahamu Michoro ya mwamba (Igeleke), kivutio kikubwa cha utalii Iringa

  Habarini wadau? Kama mgeni katika mkoa wa Iringa nimejaribu kutembelea vivutio vya utalii ndani ya mkoa huu. Ndani ya mkoa huu kuna vivutio vingi vya utalii kama makumbusho ya chief Mkwawa, mabaki ya zama za mawe za kale (Ismila) jiwe lililokuwa linazungumza kipindi cha utawala wa Mkwawa...
 16. roservelt

  UNIVERSITY OF IRINGA SECOND SELLECTION

  Kwa walio omba university of iringa, second sellection imetoka. Wapitie website ya chuo kucheki majina yao. www.uoi.ac.tz
 17. roservelt

  Tukicheza na elimu taifa litaangamia

  TUKICHEZA NA ELIMU TAIFA LITAANGAMIA Kama tutaendelea kuwa na elimu ya kusubiri kuajiriwa badala ya kujiajiri,basi tutegemee siku zijazo tutegemee wasomi wetu kuendelea kuwa mafisadi watakaowanyonya walala hoi. Kuendelea kuwa na elimu yenye mfumo ule ule wa kikoloni hautausaidia taifa...
 18. roservelt

  University of Iringa

  Selected Students for 2016-2017 Academic Year
Top Bottom