Search results

 1. feysher

  Nakutamani moyoni, kidosho nakulilia

  Nakutamani moyoni, kidosho nakulilia, Nakupenda siutani, hakika hunivutia, Dumu nami maishani, pamoya tukasalia, Nipe ahadi mpenzi, daima hutoniacha. Huba ongeza mvuto, yawe laini ja pamba, Kwetu yawe motomoto, yawake kama maramba, Tuwe sawa kwa mpito, tufungane kwayo kamba, Nipe ahadi...
 2. feysher

  Bisha nione

  Japokua wanamapungufu mengi wanawake wanaongoza/kukubalika mambo makuu haya 1.Saving 2.Bargaining power
 3. feysher

  Msaada

  Sababu/tiba ya maumivu makali ziwa la kushoto ni yapi??
 4. feysher

  Weard

  Jana nilikua kituo flani hivi cha daladala jamaa wa Ukwaju akapitisha kideli chake kuna na watu wakanunua mmoja kati yao aliyonunua alikua Me akaifungua na kuanza kula ila style aliyokua anaila ile ice cream ilinifanya niwe unconfortable kumwangalia....kwako ikoje hii
 5. feysher

  Ni ngumu kutuelewa

  Mood swinguzi teyari
 6. feysher

  Je, hii ni sawa?

  Wakuu nisaidieni kunishauri nahitaji kujitegemea kutoka nyumbani na kwenda kupanga ila tangu niwashirikishe nyumbani kuhusu mpango wangu kila mtu amelichukulia kwa mtazamo negative kwamba ni mapema kwenda kupanga kwa mtoto wa kike,natakiwa niondoke mpaka niolewe,najiona nimekua,nimepata...
 7. feysher

  Nani alaumiwe

  Jamaa anamlaumu Demu wake amemtegeshe Mimba kwa kigezo aliuliza kama amwage ndani au nje demu akachagua ndani... Demu anajitetea wakati wa tendo asiaminiwe sababu hakua kwenye nafasi ya kufanya maamuzi sahihi labda angeulizwa kabla ya tendo...
 8. feysher

  Ulifanyaje

  Wakuu naomba kujua kwa mara ya kwanza mdada alipokwambia ni mjamzito nini uliwaza/nini ulifanya Kwa wanawake mara ya kwanza ulipogundua ni mjamzito nini uliwaza/ulifanyaje
 9. feysher

  Hataki ninyoe

  Thread closed
 10. feysher

  Ngumu kuwa na rafiki wa kiume

  Tumekutana mahali tukajadili mawili matatu tukabadilishana namba kiukweli interest zetu zikaendana na tukaendelea kuwasiliana/kusaidiana kimawazo kwa mda kidogo lakini urafiki umeisha gafla baada ya yeye kuingiza mambo ya mapenzi ambayo hayakua kwenye list ya urafiki wetu mbaya zaidi alinambia...
 11. feysher

  Chuchu kuuma

  Naombeni msaada/ushauri wa kitaalam mwenye kujua sababu za kuumwa chuchu za matiti ni zipi mzunguko wa hedhi umepita teyar wala sina mimba ila maumivu nayaskia
 12. feysher

  Funguka

  Baada ya kutenda tendo kwa mara ya kwanza na boyfriend wako kwanini unaumia asipokucheck siku inayofata
 13. feysher

  Sirudii kushika simu ya mwanaume

  Nilikuwa nabisha lakini kwa niliyoyaona kwenye simu ya mwenza wangu moyo umekufa ganzi. Sirudii tena
 14. feysher

  Wadada wapumzisheni kaka zetu

  Dah wanawake kabla hujaolewa unakua kondoo ukiolewa unakua chui,mnatupa shida sisi mawifi roho inauma ila tukiaema mnasema si wakorofi....wakaka kuweni makini na wanawake mnaochagua kuwa wake
 15. feysher

  Kitendawili....

  Wakubwa wanaililia watoto wanaichezea
 16. feysher

  Mume anapatikana wapi

  Wakuu hivi mwanaume aliyepevuka na tayari kuitwa mume anapatikana wapi? Kwenye kumbi za starehe or nyumba za ibada
 17. feysher

  Ni sahihi mwanamke kufika miaka 30 bila mtoto kwa kigezo cha kusubiri ndoa?

  Naomba tujadili kidogo je kufikisha miaka 30+ kwa binti bila kuwa na mtoto kwa misimamo ya kusubiri Ndoa ni sawa au si sawa
 18. feysher

  SOFTWARE NIPPOTEC STABILIZER

  Thread closed
Top Bottom