Search results

 1. Kbd

  .....kwa kosa la kutakatisha pesa chafu.........

  Heshima mbele wakuu wangu! Naomba msaada kwenye hili.....hivi mtu anaposhtakiwa kwa kosa la kutakatisha pesa chafu.....maana yake nini? Pesa chafu ndio zilizopatikanaje? Shukran.....nasubiri majibu yenu.:baby:
 2. Kbd

  Kumekucha wajameni

  Tunangoja usafiri wenzenu!! tukiwa tunasubiri usafiri wakina mama wafanya biashara ndogo ndogo wakikwa wanasubiri usafiri. haya tena!!
 3. Kbd

  Naomba tumshauri huyu kaka yangu!

  Habari za mchana wana MMU! Mchana huu nimeshirikishwa jamba na kaka yangu (tunafanya kazi wote) ili nimshauri na mimi nikaona kabla sijamshauri chochote ngoja nipate mawazo ya wapendwa wangu hapa MMU, maana palipo na wengi hapaharibiki neno. Alivyonisimulia ni kwamba, yeye enzi za ujana wake...
 4. Kbd

  Naomba ushauri

  Wanajukwaa nawasalimu wote kwa heshima na taadhima. Mimi Ninaishi kwenye nyumba ya kupanga mahali fulani na baba na mama mwenye nyumba wanaishi hapo hapo. Sasa huyu baba mwenye nyumba anatabia ya kumpiga mke wake sana esp anapolewa. Hiyo tabia imekuwa ikiniudhi sana sana na nilishawahi kuongea...
 5. Kbd

  Hivi jamani humu hamna wapenzi wa tamthiliya

  Hivi kweli JF yote imejaa wapenzi wa mpira tuuuu.......hamna hata mtu anapenda tamthiliya? Mi napenda na huwa naangaliaga chache, ningependa kufahamu kama kuna mtu anayependa na angependa tuwe tunashirikiana kuelezana na kusimuliana...............Asanteni.
 6. Kbd

  Sijui ndio hapa?

  Habari zenu za leo waungwana!!! Naomba kuuliza............nilikuwa naelekea JF, sijui ndio hapa? na kama wenyeji wangu nimewakuta?
Top Bottom