Search results

 1. huku kwetu

  Naomba ushauri, nashindwa kubajeti fedha yangu

  Habarini wakuu, Samahani mimi ni mwajiriwa wa serikalini ivi karibuni, shida yangu jmn siwezi kabisa kubajeti hela. Sawa mwanzoni mwa mwezi nanunua kila kitu. Ambacho nakuwa sina labda mboga mboga hizi. Na nikasema labda nitumiage 10 per wiki kutokana na mazingira ya kijijini. Sasa yani...
 2. huku kwetu

  Ushauri: Baba yangu katafuna hela yangu ya kujengea

  Kama kichwa kinavyojieleza, mimi ni mtu wa kipato cha chini sana tu so nikawa nimejidunduliza nikanunua kiwanja nikafyatua tofari. Baada ya muda kupita kidogo nikapata hela tena sasa siko huko kiliko kiwanja (nyumbani) kwa hiyo nikaamua nimtumie baba kusimamia ujenzi nikamtumia hela halafu...
 3. huku kwetu

  Msaada dawa ya visunzua usoni

  Habari wapendwa, tafadhari anayejua namna ya kuondoa visunzua usoni vile vinyama vinavyoota usoni vyeusi real vinakela Sana. Pia ningefurahi endapo ningepata chanzo chake. Shukrani kwenu
 4. huku kwetu

  Nimeachwa, najikuta natamani kila mwanaume

  Habari wana JF, Mimi ni msichana wa miaka 24, nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tumedumu kwa miaka mitatu, bahati mbaya mwenzangu akawa ananichit kwa kuanzisha uhusiano na ex wake, na mpaka nilipokuja kugundua ikabidi tubroke na mimi. Kwa hiyo kutokana na hali hiyo nimekuwa single kwa muda...
Top Bottom