Search results

 1. Tanzanite klm

  Lifahamu jeshi la Israel na MOSAD

  HISTORIA YA TAIFA LA ISRAEL TANGU 1948 NA VITA VITA KUU ILIZOPIGANA. UTANGULIZI Katika karne ya 19 idadi kubwa ya Wayahudi waliishi katika maeneo kadhaa ya Milki ya Urusi yaliyotwaliwa na milki hiyo mnamo 1800. Uadui dhidi ya Wayahudi ulitokea katika utawala wa Kirusi. Kuanzia mwaka 1880...
 2. Tanzanite klm

  Nanunua Vits au Porte

  Una Vits au Porte Bajeti isizidi milion tano. Siangaliii number. Engine na body viwe vimetulia. Vits iwe piston 4 Piga simu 0652733426
 3. Tanzanite klm

  Ushauri wangu kwa serikali kuhusu kupanda bei ya mafuta

  Nawasalimu nyote. Kwanza kabisa serikali mnafanya mengi mazuri. Kuhusu suala la kupanda kwa bei ya petroli imekuwa pigo kubwa kwa watumiaji wa vyombo vya usafiri kitu ambacho kinaumiza wengi. Tanzania tuligundua gas nyingi huko kusini mwa Tanzania. Nashauri serikali ianzishe na kuongeza...
 4. Tanzanite klm

  Je, ni kweli tunahitaji 'graduates' wengi?

  Habari za wasaa huu! Tanzania sasa imefikia kundi la mataifa yaliyo uchumi wa kati lakini sasa tunahitaji juhudi na mikakati mingi zaidi iliyo kabambe kuwea kufikia uchumi wa juu tuwe kundi moja na Singapore au Uingereza. Tumekua na kasumba kuwa lazima tuwe na watu wenye degree wengi sana...
 5. Tanzanite klm

  Women Invissible Power.waraka kwa wanawake.

  Invisible Power of Women* Utafiti unaonyesha 98% ya watoto wote huzaliwa ni ma genius; mama zetu wana nguvu za kuona kitu kilichopo ndani yetu kuliko mtu yeyote. -wanawake wana uwezo waliopewa na Mungu wa kumuibuwa mtu wa ndani, that genius aliyelala ndani yetu. -Katika bible mfano tumeona hata...
 6. Tanzanite klm

  Akikuacha mwache aende

  Katika maisha kila kitu hutokea kwa kusudi maalumu na majira maalumu; kama ilivyo production date kwenye bidhaa na expire date, hivyo kila kitu kina expire date yake; kuna muda katika maisha kuna watu wanaondoka kwetu, ndugu aumarafiki. Utakapolazimisha ni uadui utatengeneza; Huwa tunajisikia...
 7. Tanzanite klm

  Akili haikuwi kwa umri

  *Akili haikui kwa umri, bali kwa taarifa na maarifa sahihi unayoingiza akilini kwa wakati sahihi* Lakini pia kuwa na maarifa mengi kichwani usiyofanyia kazi inakua haina tofauti na punda aliyebeba vitabu vingi, . -Ni kama Nikola Tesla anadharaulika kwa kitu kimoja, alikua na maarifa mengi...
 8. Tanzanite klm

  Akili kubwa zinavyo handle migogoro

  Robert Schuller katika kitabu chake cha Tough Time never last but tough people do; akimaanisha nyakati ngumu hazidumu lakini lakini watu hodari hudumu ameelezea mambo ambayo huwafanya watu hodari kufanikiwa kupita katika nyakati ngumu na kufanikiwa zaidi na zaidi; Tunaeza ona -Donald Trump...
 9. Tanzanite klm

  Prosperity consciousness exercise

  PROSPERITY CONSCIOUSNESS EXERCISE Asalaam habari za siku hii njema na kubwa na ya mafanikio; Natumai mu wazima. Leo tuangazie namna ya kufanya zoezi la mafanikio katika akili yako. Hii ni kanuni rahisi ya kuvuta kiasi cha pesa au mafanikio unayotaka katika maisha yako. Jambo la kwanza hebu...
 10. Tanzanite klm

  Uhusiano wa ardhi na mafanikio

  *Uhusiano wa Ardhi na maisha*17* Asalaam ndugu zangu,Hii ni jumatatu nzuri kubwa. - Kuna siku moja katika andiko langu na pia katika kitabu changu kipya *Mgodi kati kati ya masikio* nilielezea juu ya miongoni mwa namna za kupunguza na kuondoa madhara ya negative forces katika mwili na nafsi...
 11. Tanzanite klm

  Mgodi wa dhahabu katikati ya masikio

  *MGODI WA DHAHABU KATIKATI YA MASIKIO* ni siku nyingine njema na kubwa mno, ni siku utafanya mambo makubwa sana na kuja na mawazo yenye thamani ya dollar milion moja.ungana nami tena Chochote unachofanya ndio ujuzi na utaalamu wako, hakunaga kitu kama fani bora zaidi ya nyingine, ndio...
 12. Tanzanite klm

  Ukoo wa haiwezekani

  *UKOO WA HAIWEZEKANI* Nianze kwa kumnukuu Henry Ford "The cheapest commodity in the world is opinion" -Alisema kuwa bidhaa rahisi kupata katika hii dunia ni ushauri, ujue siku zote kitu rahisi ni mawazo hakuna mtu utamuomba ushauri akunyime, tatizo ushauri upi unapewa? -Watu wengi...
 13. Tanzanite klm

  Secret law of repetition kufikia ndoto zako

  THE LAW OF REPETITION Hii ni kanuni nyingine muhimu kuweza kujibadilisha; wataalamu wa kale wa kufikiri waligundua hii kitu, mfano waumini wa dini zote from Tao, Budha, Catholic, Muslims ambao wanatumia viti kama rosari, tasbii kufanya recitation ya sala, kusema maneno yale yale kila siku huwa...
 14. Tanzanite klm

  Waraka kwa wanasiasa taraji (72 LAWS)

  Habari za saa hii wanajamvi,wataalamu wa kufikiri duniani kote,ni heshima kubwa sana kwa Tanzania kuwa na Jamii forum kuwa jukwaa kubwa Africa mashariki limekua chanzo cha taarifa na maarifa mengi, Big up to JF founders. Leo nazungumzia kunini kadhaa miongoni mwa kanuni 72 nilizofanyia kazi...
 15. Tanzanite klm

  Attitude is everything

  ATTITUDE IS EVERYTHING -Mawazo chanya ndio msingi wa mafanikio katika maisha yako. -Inahitajika mikakati na smart hardworking kufikia malengo yako. -Uwezo ulionao ndani huenda ni mkubwa zaidi kuliko unavyodahani, au pengine kuna mtu aliyewahi kukuambia una uwezo mkubwa ukachukulia poa, au kuna...
 16. Tanzanite klm

  Israel toka 1948 na Jeshi la IDF

  HISTORIA YA TAIFA LA ISRAEL TANGU 1948 NA VITA VITA KUU ILIZOPIGANA. UTANGULIZI (softcopy iliyokamilika ipo sasa 3000 tsh pekee) Katika karne ya 19 idadi kubwa ya Wayahudi waliishi katika maeneo kadhaa ya Milki ya Urusi yaliyotwaliwa na milki hiyo mnamo 1800. Uadui dhidi ya Wayahudi ulitokea...
 17. Tanzanite klm

  Incubators nzuri bei nafuu kutoka china

  Nimeamua kuwasaidia wakulima wadogo wadogo. Nimetafuta kampuni inayotengeneza incubator ambazo ni full automatic na bei zake ni nzuri huwezi linganisha na ubora wake. Kuanzia mayai 264 mpaka 12672 zinapatikana. Wakala wa usafirishaji tunaotumia ni silent ocean ambao ni wa uhakika na wako muda...
 18. Tanzanite klm

  Tanzania ya viwanda

  Kama wanasayansi wakubwa ,wana mahesabu, ma engeneer ndio hufanya taifa liwe taifa kubwa basi urusi mpaka leo ingekua taifa kubwa na tajiri, kama ni wanafalsafa basi ugiriki bado ingekuepo kwenye ramani ya dola kubwa duniani, sio kwamba hao watu hawaitajiki la hasha wanachukua nafasi ya pili...
 19. Tanzanite klm

  Cancer ni fangus na inaeza kuzuilika.

  Habarini za saa hizi wataalamu wa kufikiri, mada ninayotaka kuzungumzia leo ni kuhusu ugonjwa wa cancer ambao ndio unaoongoza kuuwa watu duniani sasa hivi mfano Marekani cancer ndio chanzo cha vifo vingi kuliko hata ajali za barabarani,. Cancer tafiti nyingi zilifanyika sana na kuangalia kama...
 20. Tanzanite klm

  Kusafirisha mizigo Tanzania kwenda BOTSWANA

  Hi wanajukwaa,nimekua nikituma mizigo Botswana kwa njia ya DHL ,ni garama sana hii njia kwa kweli, naombeni njia nyingine rahisi kwa wenye uzoefu kusafirisha mizigo kwenda Botswana kutoka Tanzania.
Top Bottom