Search results

 1. William Mshumbusi

  Jenista Mhagama ni mkakati wa kwenda kuvunja mahusiano ya watumishi wa Umma na Rais Samia. Nakumbuka alivyokitetea kikokotoo kilichokuwa mwiba

  Haihitaji darubini kuona. Alipambania Sana Tena Sana maslahi ya watumishi. Kama mama kamtoa kaona atamfilisi sawa. Ukizungumzia kupanda Madalaja alipambania Sana na kutaka heshima kwa watu wa chini
 2. William Mshumbusi

  Jenista Mhagama ni mkakati wa kwenda kuvunja mahusiano ya watumishi wa Umma na Rais Samia. Nakumbuka alivyokitetea kikokotoo kilichokuwa mwiba

  Kwenye utawala wa Magufuli wakati wote Jenista Alitoa kauli za kuvunja na kukatisha moyo na pengine kebehi kwa watumishi. Kuna washauri waliokusudia kabisa kumfanya mama Akose mvuto kwa kundi la watumishi na wakulima linalomsapoti baada ya kumshughulikia kero zao kwa wakati. Mfano kwenye swala...
 3. William Mshumbusi

  Nchi inakumbwa na hofu kubwa ya njaa na kupanda sana kwa bei za vyakula. Rais aandae wananchi kukabiliana na hali hii na ashugulikie kwa udharura

  Hali ni mbaya. Kuna maeneo watu wamechanganyikiwa hawajui walime nini. Naona Serikali na viongozi wako bize na uchaguzi 2025. Natamani Serikali itoke adharani kufanya Mambo yafuatayo: 1. Kuhamasisha ulimaji wa mazao ya muda mfupi na yanayostaimili ukame kama mtama, mahindi na maharage. 2...
 4. William Mshumbusi

  Msameheni bure Job Ndugai, amechanganyikiwa baada ya kuomba msamaha batilifu uliokataliwa! Barua yake ya Kujiuzulu nayo pia ni batilifu!

  Paschal wewe pia unatumika. Swala la mikopo Inasemekana Magufuli alikopa zaidi kwa vitu ambavyo havijafika kokote. Swala hapa ni kupigania kujua ukweli kuhusu Deni la taifa. Nani alikopa lini na kiasi gani. Sio kushiriki ushabiki ukiwa gizani. Hujui lolote na huu ni unafiki mkubwa
 5. William Mshumbusi

  Kuna uwezekano Hayati Magufuli alikopa ili kulipa Mishahara? Dkt. Mpango afafanue Mikopo ya Trilioni 29 kwa miaka 5 ilifanya nini

  Wev Na alizokusanya na kunyanganya wafanyabiashara zilifanya Nini? Alikopa kupitiliza tunataka vitu vinavyoonesha ziada ya Mkopo kuliko wenzake waliotangulia
 6. William Mshumbusi

  Kuna uwezekano Hayati Magufuli alikopa ili kulipa Mishahara? Dkt. Mpango afafanue Mikopo ya Trilioni 29 kwa miaka 5 ilifanya nini

  Kama unajua zilivyotumika shusha data acha longolongo. Uwenda hujui hesabu wewe. Na Kama mtanzania mzalendo lazma ujue nchi yako inavyooenda sio kuwa na ule uzalendo wa kijinga jinga. Upumbafu wa kutokuhoji au kukosoa mamlaka ndio uitwe uzalendo
 7. William Mshumbusi

  Kuna uwezekano Hayati Magufuli alikopa ili kulipa Mishahara? Dkt. Mpango afafanue Mikopo ya Trilioni 29 kwa miaka 5 ilifanya nini

  Na Rudi kwenye mada. Waliohoji wengi tu walipotezwa. Wengine walifukuzwa na wakabaki waimba nyimbo za mapambio na kuabudu. Kuna moja alihoji PhD yake tu Lakini hayupo leo. Tunajadili haya ili tujifunze na utawala uliopo uzuie makosa haya.
 8. William Mshumbusi

  Kuna uwezekano Hayati Magufuli alikopa ili kulipa Mishahara? Dkt. Mpango afafanue Mikopo ya Trilioni 29 kwa miaka 5 ilifanya nini

  Hapa hatuchafui Wala kusifu mtu. Hakutaka watu wamkosoe akiwa madarakani ndio maana tutahoji Sana Sasa. Alafu alilofanya Kazi nao wapo. Kama tulikosea lazima tujadili tujue tulikosea wapi tujirekebishe Kama taifa. Tusiposema Mama atarudia makosa yaleyale
 9. William Mshumbusi

  Uongo wa Serikali juu ya Miradi ya kitaifa Nani ashugulikiwe

  Rudi kwenye hoja. Haiwezekani wataalamu kukadilia isivyo sahihi. Kun shida kubwa mahali
 10. William Mshumbusi

  Kuna uwezekano Hayati Magufuli alikopa ili kulipa Mishahara? Dkt. Mpango afafanue Mikopo ya Trilioni 29 kwa miaka 5 ilifanya nini

  Jibu kwa Takwimu sio propaganda. Tuko na inshu siliasi. ELIMU bila m alipo bajeti yake NI billion 130 kwa mwaka kwa miaka 5ni bilion 650. Flyover hazifikishi ata bilion 50. Hajaunda meli ata moja amekarabati tu zilizopo kwa pesa madafu. Nazani huijui tillion wewe. Tilion isikie tu.
 11. William Mshumbusi

  Kuna uwezekano Hayati Magufuli alikopa ili kulipa Mishahara? Dkt. Mpango afafanue Mikopo ya Trilioni 29 kwa miaka 5 ilifanya nini

  Sasaivi tunauliza za Magufuli kwanza. Za Samia tunazojua NI 1.3. lazma tuanze kujifunza kuhoji.
 12. William Mshumbusi

  Kuna uwezekano Hayati Magufuli alikopa ili kulipa Mishahara? Dkt. Mpango afafanue Mikopo ya Trilioni 29 kwa miaka 5 ilifanya nini

  Kwa wasiojua takwimu sawa. Hayo miradi ya maji vijijini ilianza 2014 na yote iliachwa asilimia 80 mpaka 95. Acha upotoshaji
 13. William Mshumbusi

  Kuna uwezekano Hayati Magufuli alikopa ili kulipa Mishahara? Dkt. Mpango afafanue Mikopo ya Trilioni 29 kwa miaka 5 ilifanya nini

  Kwa mujibu wa Takwimu zinazotolewa Sasa na makada, Mawaziri waliopita na watu tofauti Magufuli ndio Raisi aliyekopa fedha nyingi kuliko Rais yoyote Tanzania ingawa kaongoza muda mfupi. Je, fedha zake alifanyia Nini? Takwimu hazidanganyi. Inasemekana alikopa trilion 29 kwa fedha hizo zilitosha...
 14. William Mshumbusi

  Uongo wa Serikali juu ya Miradi ya kitaifa Nani ashugulikiwe

  Machi 26 mtendaji mkuu tanload alisema Daraja la Wami litakamilika Sept 2021. Kwa mujibu wa Mwananchi, Leo Serikali inakuja na Lugha nyingine. Kwanini tunafanywa watoto Miaka miwili nyuma tuliambiwa kipande Cha reli dar to Moro kuzinduliwa Novemba 2019. Leo 2022. Miaka 3 baadae hakuna kitu Kama...
 15. William Mshumbusi

  Mbowe Ata mwaka jela hajamaliza CHADEMA inamaana hajui gharama za Democrasia. Ajifunze kuvumilia Kama Mugabe, Mandela au Mosood Abiora.

  Kupata Democrasia kamili lazma watu wapitie katika suluba na Motto. Zitoke damu au Jasho la damu mateso na vurugu za kila Aina. Mbowe avumilie mateso yote. Kama anafanya yote kwa wema Mungu atakuwa upande wake. Atampa tuzo kupitia mateso anayopata Kama lengo lake NI Democrasia ya kweli na sio...
Top Bottom