Search results

 1. lifecoded

  FORM SIX(6) KITABU CHA TCU guide book 2019-2020 kimetoka pakua hapa usome vyuo uaanze kujua cut off point admission.

  pakueni hapa muangalie vyuo na kozi zake ikiwa ni pamoja na kujua cut off point muhimu.
 2. lifecoded

  Je, tuanze safari kwenda Galaxy zingine kimakazi zaidi..?

  Hivi ndo itakavyokuwa baada na miaka ya mbeleni huko kuhusiana na Milky way galaxy yetu na Andromeda galaxy kuhusiana na mgongano unaotajwa kuja kutokea .. Galaxy hizi mbili hazitakuwa na mfumo mmoja tena ( constellation) uliokuwepo hivyo kushindwa kusapoti tena maisha kwa viumbe wake. Je...
 3. lifecoded

  Nafasi ya Artificial creation ( uumbaji bandia)kama kazi ya Mungu.

  Habari za mida hii wajuzi wa mambo katika jukwaa pendwa la Jamii Intelligence :' Leo napenda kutoa mchango kidogo sana, inaenda kuhususiha Artificial creaation( uumbaji bandia) unavyochukua nafasi kama sehemu ya kazi ya mwenyezi Mungu katika uumbaji,, Kwanza kabsa artificial creation of...
 4. lifecoded

  Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

  Natumai humu nyote ni wazima wa afya njema kabisa ,pole kwa yote lakini leo napenda kutoa mchango wangu kidogo kulingana na nilichopata kukiona au kujidhihilisha juu ya swali gumu ambalo limekosa majibu miaka nenda rudi juu ya binadamu alitoka wapi... Sio lazima ukomaee na mealezo yangu lakini...
 5. lifecoded

  Laini mpya za TTCL

  habarini wana jamvi,!!! bila kupoteza muda niende kwenye maada... Nimesajili laini mpya TTCL aina ya 4G lakini nimeset kila kitu kwenye mobile network inaandika H+ lakini baada ya dakika 4 au 5 inaandika E tena mpkaa urudi kule kwenye option ya 4G,3G,au 2G option unajaribu kucounter change 4G...
 6. lifecoded

  The Hidden Power of the Universal Laws

  Natumai wote humu ndani mu wazima wa afya njema,mliofunga poleni kwa swaumu kali na wale wakristo poleni kwa Artificial swaumu kutokana na mfumo wa maisha ulivyo,, Leo nitagusia kidogo juu ya sheria na kanuni [universal laws] KWANI KUNA WATU WALIOMBA KUTOLEWA UFAFANUZI AU ZIELEZEWE KIDOGO...
 7. lifecoded

  Kabla hujalala

  ha ha ha
 8. lifecoded

  Divine matrix under entangled reality

  Hellow guys, I hope kila mmoja wetu humu ndani ni mzima wa afya njema kabisa,,,,,mara nyingi ni msomaji wa nakara nyingi zinazoelezea uhalisia [nature] ya ulimwengu under its forces operating within .Huwa siyo mpenzi wa kuandika makara nyingi sana kwa sababu pengine siyo mwandishi mzuri but i...
Top Bottom