Search results

 1. William Mshumbusi

  Jenista Mhagama ni mkakati wa kwenda kuvunja mahusiano ya watumishi wa Umma na Rais Samia. Nakumbuka alivyokitetea kikokotoo kilichokuwa mwiba

  Kwenye utawala wa Magufuli wakati wote Jenista Alitoa kauli za kuvunja na kukatisha moyo na pengine kebehi kwa watumishi. Kuna washauri waliokusudia kabisa kumfanya mama Akose mvuto kwa kundi la watumishi na wakulima linalomsapoti baada ya kumshughulikia kero zao kwa wakati. Mfano kwenye swala...
 2. William Mshumbusi

  Nchi inakumbwa na hofu kubwa ya njaa na kupanda sana kwa bei za vyakula. Rais aandae wananchi kukabiliana na hali hii na ashugulikie kwa udharura

  Hali ni mbaya. Kuna maeneo watu wamechanganyikiwa hawajui walime nini. Naona Serikali na viongozi wako bize na uchaguzi 2025. Natamani Serikali itoke adharani kufanya Mambo yafuatayo: 1. Kuhamasisha ulimaji wa mazao ya muda mfupi na yanayostaimili ukame kama mtama, mahindi na maharage. 2...
 3. William Mshumbusi

  Kuna uwezekano Hayati Magufuli alikopa ili kulipa Mishahara? Dkt. Mpango afafanue Mikopo ya Trilioni 29 kwa miaka 5 ilifanya nini

  Kwa mujibu wa Takwimu zinazotolewa Sasa na makada, Mawaziri waliopita na watu tofauti Magufuli ndio Raisi aliyekopa fedha nyingi kuliko Rais yoyote Tanzania ingawa kaongoza muda mfupi. Je, fedha zake alifanyia Nini? Takwimu hazidanganyi. Inasemekana alikopa trilion 29 kwa fedha hizo zilitosha...
 4. William Mshumbusi

  Uongo wa Serikali juu ya Miradi ya kitaifa Nani ashugulikiwe

  Machi 26 mtendaji mkuu tanload alisema Daraja la Wami litakamilika Sept 2021. Kwa mujibu wa Mwananchi, Leo Serikali inakuja na Lugha nyingine. Kwanini tunafanywa watoto Miaka miwili nyuma tuliambiwa kipande Cha reli dar to Moro kuzinduliwa Novemba 2019. Leo 2022. Miaka 3 baadae hakuna kitu Kama...
 5. William Mshumbusi

  Mbowe Ata mwaka jela hajamaliza CHADEMA inamaana hajui gharama za Democrasia. Ajifunze kuvumilia Kama Mugabe, Mandela au Mosood Abiora.

  Kupata Democrasia kamili lazma watu wapitie katika suluba na Motto. Zitoke damu au Jasho la damu mateso na vurugu za kila Aina. Mbowe avumilie mateso yote. Kama anafanya yote kwa wema Mungu atakuwa upande wake. Atampa tuzo kupitia mateso anayopata Kama lengo lake NI Democrasia ya kweli na sio...
 6. William Mshumbusi

  Huenda Polepole ni changa la macho. Huenda ni upinzani feki unaojengwa na CCM yenyewe

  Sielewi anapambana na nani, kwanini na kwa sapoti ya nani? Na vipi anaweza kutumia vyombo vya habari vya CCM kujenga falsafa binafsi za siasa. Kama ni mpinga utawala uliopo anangoja Nini kujiondoa CCM. Kila nikitafakari namuaona ni uvimbe ndani ya CCM.
 7. William Mshumbusi

  Ubovu wa Sheria zetu: Mbowe sasa anatumikia kifungo kisichopungua miezi 6 jela. Hukumu ilikamilika siku ya kukamatwa

  Mbowe alisema wamepanga kumpa kesi isiyodhaminika mapema kabisa. Yani mchongo aliujua. Na msimamo wake NI kuwa wakifikishwa mahakamani hataongea chochote wakitaka wamfunge. Sasa sijui wanasheria wanasumbuka Nini. Wanachokifanya mahakamani NI kuhalalisha kushikiliwa mahabusu mwezi wa nne...
 8. William Mshumbusi

  Kuingia na note book Kizimbani haikuwa ishu. Jaji Alikuwa ameishaifunika akaendelea na mambo mengine. Kibatala atabwaga tena

  Pamoja na kuwa inshu ya shaidi kuingia na note book Kizimbani ijumaa wiki iliyopita Jaji alihaidi kuwa mahakama itaifanyia maamuzi Jumatatu hii. Yani ataanzia na objection ya kina kibatala. Jumatatu mahakama haikukumbuka ata si kuianzia tu maana ndipo walipoishia. Pia nikiamini pingamizi Hilo...
 9. William Mshumbusi

  Suala la Notebook na Simu mahakamani: Kuna uwezekano Mawakili wa Serikali waliamua kuharibu ushahidi kwa makusudi?

  Hivi kwanini hawakumkagua na kujirisha kabla kuwa shaidi kwa namna yoyote asifanye kitu kitakachoharibu ushaidi. Kwasababu. 1. Mawakili wanajua NI kosa kupanda Kizimbani na simu. Na wanajua kabisa kwa Sasa kila mtu lazima anasimu ya mikononi. Kwanini wasingemuuliza alipoiacha simu au kumuomba...
 10. William Mshumbusi

  Kuna sababu gani Tundu Lissu kukaa kimya kabisa kwenye kesi ya Ugaidi ya Mbowe?

  Je ndio ameamua kuwa kimya ili Mbowe akifungwa aje Kama Mwenyekiti mpya wa chama?!!. Je ameamua kufuata mkondo wa Swahiba wake Zitto Zuberi Kabwe aliyekaribia kumsajili ACT-Wazalendo kuwa tusitegemee kuona akikosoa Kama Awamu iliyopita. Nilimsikia kuwa alishawahi kupigiwa simu kwamba Mama...
 11. William Mshumbusi

  Serikali yenye akili lazima iache kabisa kuingilia kusambaza bidhaa hasa kwenye miradi hii ya COVID-19. Inaweka mzigo na mwanya wa rushwa

  Kuna baadhi ya halmashauri zilijaribu kununua na kusambaza cement kwenye hii miradi kilichotokea NI kuwa bidhaa hizo waliwauzia taasisi kwa Bei kubwa kuliko Bei ya soko. Sioni mantiki ya Serikali kuingilia biashara hizo kwa visingizio vyovyote vile huko ni kuturudisha kwenye ujima na ujamaa wa...
 12. William Mshumbusi

  Shaidi wa Jamhuri kuingia na simu na notebook Kizimbani kwenye kesi ya Mbowe; umakini unaitajika kulinda taswira ya Mahakama

  Huu NI mtego mkubwa Sana kwa Jamuhuli na Serikali na mihimili yake. Nachojua kesi hii inatumika kuionesha dunia Jinsi Mahakama zetu zilivyo huru au hovyo. Sijui kwanini Jaji hakutaka pande zote zijiridhishe kilichopo kwenye note book palepale. Na kuchengesha kuikagua cm kuwa NI privace ya...
 13. William Mshumbusi

  Hizi kesi ndogo ndani ya kesi kubwa ya Ugaidi kuhusu nyaraka mawakili wa CHADEMA kwanini wanazing'ang'ania wakati wanajua hawawezi kuzishinda?

  Kwanza nimeona kabisa Mara tatu mfululizo akinakibatala wanadondokea pia kwenye maamuzi hayo. Kuna mazingira ambayo lazma wayasome. Kwenye mapingamizi yao ikitokea upungufu ata punje lazma wapigwe chini. Lakini jamuhuri makosa yao huweza tu kuchukuliwa NI ya kawaida kabisa. Kesi ya kwanza...
 14. William Mshumbusi

  Kesi ya Mbowe: Wapelelezi wanatakiwa kumsaidia Rais kuithibitishia dunia Mbowe ni Gaidi na sio kucheza na majaji wetu pekee itatuweka kubaya

  Ukweli mchungu NI kuwa toka mama arudi ameingia kwenye dira za kimataifa za diplomasia. Ameenda ughaibuni na amekuja na Zawadi kibao. Inchi inarudi kwenye furaha. Mama anajaribu kuonesha kuwa nchi inarudi kwenye utawala wa sheria. Tena Sheria zinazotenda haki. Sio Sheria hizi za juzi juzi za...
 15. William Mshumbusi

  CHADEMA hii kesi ya Mbowe wasiichukulie mzaha, ni muda muafaka wa Tundu Lissu kurudi kuongeza nguvu upande wa utetezi

  Lazima kila vita ujiandae vizuri. Wakurya wanasema Vita ni vita. Hakuna Vita ndogo. Simba akikamata hata kaswala kadogo lazima ashike shingo hana masihara kabisa. Yasije kuwakuta ya Simba. Ukweli Wakili wenye maswali na anayeenda vizuri ni Kibatala. Wengine leo wana maswali mazuri kesho tena...
 16. William Mshumbusi

  Mbowe angefungwa zamani sasa hivi Upinzani Ungekuwa Umeshakufa. Na hii ndio namna Bora ya kutumia Akili kuzuia Jambo kuliko nguvu

  Kama Mbowe angekuwa nje huo Moto wa Katiba Ungekuwa mkubwa sana na sijui nani angeuzima. Mbowe ndie kiongozi pekee anayeweza kuubeba upinzani. Kwanza anabusara, Anaweza kuvumilia wanachama wake wanaokosea. Alishamtetea Zitto Mara kaadhaa. Kuongoza upinzani Afrika na ukasimama ni zaidi ya kuwa...
 17. William Mshumbusi

  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kukutana na kuongea na Vyama vya Siasa Oktoba 21 - 23

  Lengo la mkutano huo ni kuzungumzia namna ya kufanya shuguli za kisiasa. Bbc wamesema vyama vya upinzani kukutana na Waziri Mkuu. Kwenye mkutano wa awali ulioitishwa na msajili Mtungi, CHADEMA na ACT Wazalendo walikataa kufika wakidai Mtungi na polisi ndio wanaovibana vyama vyao. Walihitaji...
 18. William Mshumbusi

  Mradi wa SGR umeendeshwa vibaya na utalitia Taifa hasara kizazi hadi kizazi

  Mwaka 1970-1974 mchina alijenga reli ya Tazara ya kisasa kwa wakati huo na watanzania waliaminishwa makubwa Sana juu ya faida ya mradi husika. Miaka 25 tu baada ya mradi kukamilika reli ikachoka, ikakosa wateja, usimamizi mbovu. Zile hadithi na simulizi tamu za manufaa ya mradi huo...
 19. William Mshumbusi

  Wanayoichambua hukumu ya Sabaya kisheria wanakosea Sana. Akijua kuchezesha kete za kisiasa vizuri akakata rufaa anashinda kesi asubuhi.

  Si kweli eti utawala huu unatenda haki na kufata Misingi ya kisheria ndio maana Sabaya kafungwa. La hasha. Kuna Wabunge wapo bungeni Leo bila kuwa na chama. Na wameingia kimizengwe mizengwe. Serikali iko kimya akuna anayeshugulika na uvunjifu huo wa Katiba. Sheria na Katiba inatambua haki ya...
 20. William Mshumbusi

  Hukumu ya Sabaya inawasha taa nyekundu kwa Kesi ya Mbowe

  Ukweli NI kuwa hukumu na kesi ya sabaya ilivyoendeshwa inaonesha uhalisia wa utolewaji haki Tanzania. Ila hukumu ya sabaya inamaana kubwa Sana kwenye kesi ya Mbowe. NI taa nyekundu kwake kwasababu. 1. Wapo watakaolazmisha na Mbowe apatwe na hatia ili tu kujustify na kuwafariji sg. 2. NI ishara...
Top Bottom