Search results

 1. Rijali jandoni

  JE KUNA FUNDI SIMU ANAETUMIA LCD SEPARATING FREEZER KWA DAR ES SALAAM

  Nimekuwa nikitafuta ni fundi gani mzuri anaeweza kufanya hiyo kazi ya detach hasa kwa hizi smartphones matoleo kuanzia 2018 maana kwa kariakoo bado sijaona fundi mzuri kwa mafundi nilio wafikia Maana kuweza kutoa lcd tuu wanachukua hela nyingi sana kwa mwenye hiyo mashine Tanzania na ana...
 2. Rijali jandoni

  Kuingia kwa vyama pinzani Afrika kutaleta maendeleo kwa haraka (ndani miaka 2 au 3) kama wananchi tunavyotarajia

  Mimi nadhani ifike wakati na kukubali kwamba sisi wa africa bado hatujui tunapo kwenda na tulipotoka siku zote hakuna mtu au familia ambayo itaendelea kuwa na mambo makubwa pasipo kuwa na umoja hasa kwa upande wangu nadhani:- Uwepo wa kitu kinacho itwa demokrasia na vyama vingi ilikuwa ni...
 3. Rijali jandoni

  Kilakitu tutakiacha hapahapa duniani

  Leo nimeamka tokea asubuhi nimekuwa nikisiliza nyimbo zilizo tamba enzi hizo napata masomo mengi sana na nyingine hata zina lenga maisha ya sasa tunayoishi kikubwa tusikilize ujumbe pamoja. Tuishi kwa upendo na umakini sana samehe ishi kwa furaha tajiri heshimu masikini maana kesho yako yeye...
 4. Rijali jandoni

  WAFUASI WA MAN U TUKUTANE HAPA KIKAONI

  Nadhani mnaona timu yetu na yenu inavyofanya tuache maneno mtaani na mtandaoni kwa sasa umefika wakati wa Man u isitulete hadithi za esopo,ekaya za abuasi,karume alikataa kwenda shule lukaku......fyeeeeka pogba.......fyekaaa fellaini......fyekaaa de gea......fyekaaa mourinho......fyekeleeeaa...
Top Bottom