Search results

 1. huku kwetu

  Kero za (nyumba za kupanga) mama/baba wenye nyumba

  Mm kinanikela mwenye nyumba wangu hata kama kuna marekebisho wee utaona tu kesho fundi huyu hapa anagonga gonga, hamna taarifa wala nn nakerekaga basi tu
 2. huku kwetu

  New couple in town

  Bila video au picha umbea haunogi
 3. huku kwetu

  Nimeachwa, najikuta natamani kila mwanaume

  Nimeandika lini tumeoana hapo?
 4. huku kwetu

  Nimeachwa, najikuta natamani kila mwanaume

  Jmn , mm saiz tulisha sameheana na yule jamaa tukaanza upya, tukaona, saizi tuna mtt ana mwaka.
 5. huku kwetu

  Usomaji wa chuo kikuu

  Yan chuo disc inasaidia sanaaaaa, pia usiwecho kushare unachokijua na wenzako. Hasa kwenye disc
 6. huku kwetu

  Kwa yeyote anayefahamu tiba ya P.I.D

  Pole sana, najua adha ya ugojwa huo. Kama hutajari njoo pm tujadili. Sio biashara, na mm nilikuwa mgojwa wa iyo kitu
 7. huku kwetu

  Wanyaturu wamemkosea nini huyu DJ anayetafsiri filamu na series za nje? Haoni kama anatengeneza chuki ya ukabila?

  Mbona alishawahi sema kwamba wanyaturu ni watani zake, na anafanya kazi na mnyaturu ao ni jokes tu, dont panic men life its so short
 8. huku kwetu

  UZALO special thread...

  Zulu amempenda ayanda mbona mm sijaona kukutana toka arudi
 9. huku kwetu

  UZALO special thread...

  Toka afe nambuso, naona kama uzalo imepoa haina mishemishe
 10. huku kwetu

  Tatizo la maumbile ya kiume madogo sana linanitesa sana

  Kweli kabisa, tunaenjoy nje pale ndani huwa namwachia baba na yy ainjoy
 11. huku kwetu

  Naomba ushauri, nashindwa kubajeti fedha yangu

  Nilipo nimepanga kwa hizo biashara haiwezekan icecream umeme tupo wapangaji wawili, kuku hamna sehemu ya kufugia
 12. huku kwetu

  Naomba ushauri, nashindwa kubajeti fedha yangu

  Asante ntafuata ushauri
 13. huku kwetu

  Naomba ushauri, nashindwa kubajeti fedha yangu

  Nashukuru kwa kunipa aida hiyo mpendwa
 14. huku kwetu

  Naomba ushauri, nashindwa kubajeti fedha yangu

  Asante kwa pongezi, pili sijui nina pepo gan hata niweke tustrategy utakuta ela matumia tu.
 15. huku kwetu

  Naomba ushauri, nashindwa kubajeti fedha yangu

  Mi ni mwanamke na nina familia
 16. huku kwetu

  Naomba ushauri, nashindwa kubajeti fedha yangu

  Habarini wakuu, Samahani mimi ni mwajiriwa wa serikalini ivi karibuni, shida yangu jmn siwezi kabisa kubajeti hela. Sawa mwanzoni mwa mwezi nanunua kila kitu. Ambacho nakuwa sina labda mboga mboga hizi. Na nikasema labda nitumiage 10 per wiki kutokana na mazingira ya kijijini. Sasa yani...
Top Bottom