Search results

 1. John4440

  Serikali iingilie kati wizi unaofanywa na Halotel

  Niende moja kwa moja kwenye mada. Halotel katika menu ya weekly mega bundle ambayo ulikuwa ukipatiwa dakika 30 mitandao yote dakika 30 halotel na mb 1000 waliamua kukipunguza mpaka kufikia mb 600 kwa wiki. Kama hiyo haitoshi jana jioni waliamua kudanganya watumiaji wake kwa kuandika kwamba kwa...
 2. John4440

  Ninashauri bajeti ya ujenzi wa sanamu ya Magufuli iongezwe

  Habari zenu Binafsi nimefurahishwa sana na kitendo cha Serikali kuamua kujenga sanamu ya Magufuli katika viwanja vya sabasaba.Hivyo ninashauri isiishie hapo tu bali sanamu hizo zijengwe maeneo mbalimbali nchini hususan katika maeneo ya roundabouts.Ni mengi mno huyu mwamba ameyafanya,Kila sekta...
 3. John4440

  Ushauri unahitajika, mpenzi wangu anawasiliana na wanaume wengine

  Habarini wandugu Kabla ya yote naomba nitangulize shukrani zangu kwa ukarimu upendo na undugu uliopo baina yetu japo wengi wetu hatufahamiani lakini tumekuwa tukisaidiana hususan kwa ushauri mzuri. Moja kwa moja niende kwenye kile kilichonileta hapa, nimekuwa nikiishi na mpenzi wangu ambaye...
 4. John4440

  Je,Unatafuta mtu wa masoko kwa malipo ya commission?

  Habari wakuu, Bila kupoteza muda, Nawasilisha ombi langu la ridhaa ya kutafuta masoko na kuuza bidhaa yoyote halali kama vile ardhi,magari, au bidhaa mbalimbali kutoka kwenye kampuni,taasisi au maduka binafsi kwa makubaliano maalum ya malipo kwa commission ya asilimia kadhaa kadri...
Top Bottom