Search results

 1. lifecoded

  Mji wa Ifakara ni mzuri kuliko Njombe mjini

  Kinachoufanya mji wa IFAKARA kuwa juu ni uwepo wa vitu vifuatvyo 1) Hospital kubwa ya Rufaa ya St.Francis Referral hospital 2) Chuo kikuu cha Afya St.Francis University College of Health and Alied science(SFUCHAS) kwa ngazi ya Udaktari na kozi zingine za Afya. 3) Taasisi ya utafiti (IHI)...
 2. lifecoded

  Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

  Ha ha mkuu hiyo kitu achana nayo kabisa broo..mlengwa ya hiyo kitu ni mzungu mwenyewe bana..kumbe kuna nchi zometagetiwa alooo...ni kutokana na kukataaa millenium mpya ya makubaliano ya kumove kutoka civilization hii kwenye nyingine zaidi..ila kuna mabwana kama 3 walikataa ..ndo utengenezaji wa...
 3. lifecoded

  Baadhi ya namna za upasuaji za Leornado Da Vinci

  inasemekana lakini kuwa jamaaa alipewa diri na wenye kanisa kuandika the trinity and central dogma ya jesus geneology... mkuu da vinci ulishawahi sikia hii fununu...? And inasemekana kuwa jamaa aliandika dogma katika codes ambapo maaskofu huwa wanaenda kupitia kuupdates the secret hidden...
 4. lifecoded

  Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

  Hapana mkuu...unajua sometimes unakaa pembeni unacheki jinsi movie inavyotambaaaa...
 5. lifecoded

  Baadhi ya namna za upasuaji za Leornado Da Vinci

  daaaah sema Vinci nae sio mtu poa sana ...juzi nilikuwa napitia documentary flan inasemekana kwenye ule mchoro wa The last super ,ile picha wamegundua ina particle ndogo ndogo za Viral plus bacterial as well as Fungal DNA( RNA) ..manake huyu jamaa alikuwa anachanganya material ambayo mpaka leo...
 6. lifecoded

  Baadhi ya namna za upasuaji za Leornado Da Vinci

  namba yangu moja ,my mentor wa muda wote hapa duniani ni Nikola Tesla....[emoji4][emoji4]nipeni maji ninywe kidgo
 7. lifecoded

  Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

  Soon nitarejea mkuu
 8. lifecoded

  Lengo la sisi kuwa hapa duniani ni nini?

  Kuna kitu watu huwa hawawezi elewa kwa sababu they cant think outside the box.. Wea re living in a simulated world( universe) .. Ni somo pana sana hili kiasi kwamba ukimweleza mtu hawezi kukuelewa na zaidi utaishia kuzinguana nae kwa sababu atakuona unapotoka sijui umemdharau muumba aliyekuumba...
 9. lifecoded

  Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

  welcome tesla [emoji4]
 10. lifecoded

  Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

  Karibu...
 11. lifecoded

  The Inner voice: Sauti ndogo iliyo ndani mwetu ikitueleza kusudi la maisha yetu

  Hakuna kutu kitakachokuja kuja kuonekana maishani mwako kama subconscious mind yako itakuwa haijavibrate na kurespond kwa idea yake... Meaning kwamba maisha yoyote yataonekana kwako kama uliihusisha mind yako before... mind yako ndo yenye kuamua kije au kisije .. kila kitu kipo na hakipo at the...
 12. lifecoded

  The Hidden Power of the Universal Laws

  [emoji23][emoji23][emoji23] citation au sio[emoji23][emoji23] poa mkuu , karibu sana
 13. lifecoded

  The Inner voice: Sauti ndogo iliyo ndani mwetu ikitueleza kusudi la maisha yetu

  ufahamu mkubwa na wa kiwango cha juu kwa mwanadamu ni pale atakapogundua kuwa hapa duniani anaishi peke yake.. Unaishi wewe mwenyewe...hapa duniani ninaishi mimi mwenyewe na sio wengine hao ninaowaona(unaowaona). Sikuja duniani kwa bahati mbaya na ndo mana mpaka sasa hivi hujafa au sijafa...
 14. lifecoded

  Mwafrika ndio kiumbe wa kwanza ulimwenguni

  [emoji23][emoji23][emoji23]movie ilishatoka na watu waliangalia mzee.. ilizuiliwa ili iweje then what changed the movie and the contents ??? Sijawahi kuwa indoctrinated na western things kama unavyodhani ila ni mtu ninaweza kuhoji kitu kwa faida yangu.. Mimi nimekwambia kitu simple kuwa quote...
 15. lifecoded

  Mwafrika ndio kiumbe wa kwanza ulimwenguni

  Imagine mpaka leo hata kufanya ground mineral extraction hatujui sasa tutajua matumizi ya hayo madini mkuu?? Halafu watu wanafanganywa eti ni kutengenezea pete!!!! serius?? Yani makampuni yakawekeze mabilioni ya pesa kitafuta madini ili yatengeneze pete na mikufu?? cant be seriuz aisee...
 16. lifecoded

  Mwafrika ndio kiumbe wa kwanza ulimwenguni

  Hapo ndo unazidi kupotea kabisa...ukiulizwa swali na layman kuwa wazungu waliwahadaaa aancestors wetu utamjibuje sasa if at all una claim kuwa they had advanced civilization?? Hivi unaelewa maana ya neno civilization lakini au unachanganya na cultural believe?? [emoji116][emoji116][emoji116]...
 17. lifecoded

  Mwafrika ndio kiumbe wa kwanza ulimwenguni

  The problem is watu hawataki kureason deeply na kujiuliza ilikuwaje sisi tukawa viumbe wa mwisho kabisa kwenye civilization ya ulimwengu huu.. Ila wachache wanaandika vitabu kutujaza ujinga mara sisi tulikuwa more advanced zaidi kuliko wazungu then so what!!!? what happened hawawez kuaccess...
 18. lifecoded

  Mwafrika ndio kiumbe wa kwanza ulimwenguni

  mkuu, sio kwamba sijawahi soma hizo documentaries au pdf books xplaining kuhusu civilization ila the problem inakuja how comes the most civilized iwe controlled na waliokuwa chini ?? sijui kama unanielewa hapa... kuna kitu kinafichwa why we felt down if at all you believe kuwa we had advanced...
Top Bottom