Search results

 1. the_forum

  DLL FILE FIXER

  Wakuu kama heading inavosomeka! Mwenye hii kitu au hata link yake plz naomba msaada! Ninazopata naona zinazingua ... isiwe demo
 2. the_forum

  Ajax FC (AFC) Special Thread

  Amsterdamsche Football Club Ajax , also known as AFC Ajax, Ajax Amsterdam or simply Ajax, is a Dutch professional football club based in Amsterdam, that plays in the Eredivisie, the top tier in Dutch football. Historically, Ajax has been the most successful club in the Netherlands, with 33...
 3. the_forum

  Je, Wazazi mnayajua wanayofanya mabinti zenu wawapo vyuoni?

  Habari zenu wana JF, Leo nimeona nilete bandiko lenye kichwa hiko cha habari hapo juu... Kwa kuanza napenda kueleza kuwa binafsi nimebahatika kusoma katika taasisi tofauti za elimu ya juu na katika mikoa tofauti... nikimaanisha College kwa ajili ya diploma na University kwa ajili ya bachelor...
 4. the_forum

  WADAU WA JF NAOMBA MSAADA TUTANI KUHUSU EMS.

  Habari wadau...kama title inavojieleza,naomba kujua EMS wanasafirisha vp documemts zilizo ktk hard copy? Nachohitaji kujua ni haya yafuatayo? *muda unaoweza kutumika kusafirisha... (Mwanza to dsm) -je inaweza tokea parcel ikasafirishwa within few hours na ukaipata haraka? *gharama inahusu...
 5. the_forum

  WAPI NAPATA 3D WALLPAPERS?

  Habari wanajamvi,kama heading inavyojieleza...naomba wahusika wa hii kitu washushe nondo zao hapa! Napendelea zaidi kuona mmetoa maelezo muhimu kama vile:- 1) Bei ya bidhaa. 2) Size au kipimo (per piece/roll). 3) Material ilotumika kutengeneza hyo bidhaa. 4) Ubora wa material mfano( water...
 6. the_forum

  NIIJUA HATUA YA KWANZA NI HOSPITAL?

  Hv mtu kapotea wiki zima,amaerudi hata kuwaza kumpeleka hosp akafanyiwe uchunguzi wa kiafya hamna? Tunaambiwa ni mzima kwa 100% mnajuaje? Anaenda kupumzika home moja kwa moja,ilihali alitakiwa aanzie kufanya check up! Wengne wanakurudisha wakiwa wamekupiga sindano,vp zikileta madhara kabla...
 7. the_forum

  Bsc in insurance and tax management!

  Wadau naweka bandiko hili kuomba mawazo ya kujitosheleza kuhusu course hii hasa inayotolewa ktk taasisi ya usimamizi wa fedha (IFM) iliyopo jijini Dar es salaam! Ili nami niweze kutoa ushauri sahihi huku nilipo ...msaada unahitajika *nini hasa dhumuni la course, taaluma yake inatumikaje? *nini...
 8. the_forum

  Kero katika saluni za kiume

  Kama kichwa cha habari kinavojieleza...kwakweli kuna tabia za vinyozi hua zina kera sana unapokua umeenda kupunguza nywele... 1; Unakuta kinyozi .anapokea simu anaanza kuongea huku anaendelea na kazi ya kukata nywele au anaweza akastop kazi husika na akaendelea kuongea na simu,na unakuta...
 9. the_forum

  HP LAPTOP ENVY -ALMINIUM CASE FOR SALE

  Computer ipo sokoni...serious buyers check me...whatsapp only 0713062706 SPECIFICATIONS HDD 1TB RAM 4GB PROCESSOR Core I5 GRAPHIC CARD NVIDIA 740 BATTERY LIFE NOT LESS THAN 5HRS BACKLIGHT KEYBOARD Graphics *NVIDIA 4GB *INTEL 2GB #Total 6GB COLOR - SILVER computer haina tatzo lolote...
 10. the_forum

  MSAADA TATZO KTK WINDOWS 10

  Wadau naomba msaada...ktk windows 10 yangu nlikua na App ya UTORRENT...sasa baada ya kurestart computer imeondoka kweny desktop na sehem nyingine kama vile star menyu... Kibaya zaidi kulikua na dwnloads zinaendelea! Nifanye nn kuirudisha ikiwa na downloads zangu zikiendelea?
 11. the_forum

  GAMING PC , PROGRAMING PC

  Wadau habar zenu! Naomba kwenda moja kwa moja kwenye mada! Ni hivi nahitaji kupata PC yenye specs nzuri ktk affordable price... nkiwa na maana PC yenye uwezo wa ku run heavy duty softwares and Programs bila kusuasua. *RAM: 4/6GB and above *PROCESSOR: 2.5GHz and above *HDD: 1 TB *GRAPHIC...
 12. the_forum

  Galaxy note 5 vs galaxy s7

  Wadau naomba msaada nn hasa cha kununua kati ya hizi bidhaa mbili za samsung! Kuzingatia hasa... *Hardware :-storage,ram,processor,case,size,muonekano Na pia naomba kujua gharama ya NOTE 5 iliyo mpya kabisa...sihitaji promo za bihashara naomba tu kufahamishwa bei halisi ya hyo bidhaa!
 13. the_forum

  Bongo Movie bado sana! Wasanii hawajaweza kuvaa ualisia

  Nipo katika basi moja la kampuni fulani nkisafiri kuelekea mkoa fulani, nimejikuta chuki yangu juu ya bongo muvi ikizidi kuimarika... . . Kuna muvi sijui inaitwaje lakini kuna huyu jamaa anajiita nabii mswahili ndani ya hii muvi! Sasa amejikuta amejaa maneno na misemo ta kiswahili...lakini kwa...
 14. the_forum

  Hivi mtu akishahukumiwa kifungo jela, pingu anafungwa katika mazingira gani au muda gani?

  Habari wanajamvi... Naona ndugu Elizabeth Michael maharufu kama Lulu katika video za Youtube akipelekwa gerezani baada ya hukumu akiwa hajafungwa hata kamba mikononi... Je hii ni sawa au kujisahau kwa wahusika? Sina ufaham sana juu ya hili japo ninavyofaham ni baada ya hukumu basi mshitakiwa...
 15. the_forum

  Kwa wenyeji wa Dodoma na wapenzi wa bidhaa za HS HARMONY...naomba msaada wa haraka tafadhari.

  Habari wanajamvi,naombeni msaada kufahamishwa kua ni wapi haya maduka ya HS HARMONY yanapatikana DODOMA... nmeambiwa wamefungua branches mpya DODOMA ambapo mwanzoni hazikuepo. Msaada tutani...
 16. the_forum

  Msaada wa haraka tutani

  Kwa wazoefu wa benki.hiv CRDB leo ofisi zitafunguliwa au ? Maana leo ni nyerere day...
 17. the_forum

  Leta link ya uzi unaokuchekesha au unaokukera

  Recently kumekua na kajitabia cha watu kuleta thread zenye hoja laini au vituko tu! Naamini pia bado kuna nyuzi ambazo ni Nondo bado zipo.... Basi kwa kutambua hilo,kwa sababu sio rahisi kuweza kuona kila uzi unaoanzishwa ktk forum hii...hivo tuleteane hapa link za Nyuzi mbali mbali zenye...
 18. the_forum

  Kina dada ni nani aliwakataza kuwasalimia wanaume pindi mkikaa nao siti moja safarini?

  Katika uzoefu wangu wa kusafiri hasa katika routes za DOM, DAR, ARUSHA, KILIMANJARO, MBEYA. Lakini pia hata routes ndefu ndefu za ndani ya mji! Mfano; SIMU2000 -MNAZI MOJA MBEZI - BUGURUNI SIMU2000- MBAGALA, G. MBOTO Ikitokea mwanaume umekaa na mdada seat moja? Ni mara chache mdada kutoa...
Top Bottom