Search results

  1. whiteskunk

    Kwa waliojaribu Windows 11

    Tangu tarehe 5 walipoachia .iso ya win11 ambayo wengi tulikuwa tunaisubiri kwa hamu nilifanikiwa kui install. Baada ya siku mbili zakufanya majaribio ilibidi niitoe nirudishe win21H1 sababu ikiwa ni kuongezwa kwa vitu visivyo na msingi pia kuna watu wanalalamika hakuna options ya small taskbar...
  2. whiteskunk

    Jamani NIDA Kuna shida gani?

    Nilijiandikisha tangu 2019 mpaka leo sijapata kitambulisho. Cha ajabu kuna walijiandikisha baada yangu wana vitambulisho. Juzi nimeenda kuulizia tena wananiambia subiri. Yaani mpaka nimechoka.
Top Bottom