Search results

 1. davetz28

  Hivi nyie watu wa Dar mnaishije na hali hii ya joto?

  Habarini Nilikuja kutoa matongotongo kidogo Dar na leo ninapoandika ujumbe huu natoka Kariakoo narudi zangu huko ambako hasa ndio tunazalisha chakula. Nimefika Kariakoo nikasema ngoja nitafute chochote cha kuwabebea watoto,lahaulaaa la kwata!!, Nimeshindwa kuendelea kuzunguka njia zimejaa watu...
 2. davetz28

  Msaada kwa wanaojua masuala ya computer

  Habari za asubuhi wanajamii wenzangu,poleni na hongereni kwa kazi za kujitafutia ridhiki za kila siku. Nipo hapa leo kuomba msaada kwenu kama mada nilivyoitambulisha hapo juu. Laptop yangu ilizima ghafla na baada ya kumpelekea fundi aliniambia tatizo lipo kwenye mother body ya laptop hiyo na...
 3. davetz28

  Msaada wa mawazo kuhusu computer development courses

  Nawasalimu nyote kwenye ukumbi huu kuhimu sana wa kupashana habari,matukio na ujuzi kutoka kwa wadau waliomo humu ndani. Mimi ni mwanachama mwenzenu japo si wa muda mrefu sana. Mimi ni mwajiriwa wa serikali wa muda kiasi ninaomba mchango wa mawazo na ushauri wenu kuhusu kujifunza fani au...
 4. davetz28

  Hivi siku hizi vifurushi vya internet ni anasa pia?

  Kichwa kinajieleza labda wahusika wa makampuni ya simu wapo humo watuambie. Hivi karibuni kampuni kadhaa ikiwemo kampuni ya simu ya Tigo wameongeza bei za vifurushi vya internet. Changamoto hiyo ipo kwenye muda wa kutumia bundle hizo. Kwanza bundle zinaisha haraka sana, nawauliza tatizo nini...
 5. davetz28

  Msaada kuhusu gharama za fundi kujenga nyumba ya vyumba vitatu kuanzia msingi hadi kwenye beam

  Nawasalimu wanajamvi wote,hongereni kwa majukumu ya kujenga taifa. Leo nimekuja kwenu kuomba ushauri ni kipino gani kinatumika kupata bei ya ujenzi wa nyumba? Nimempata fundi aniinulie boma kuanzia msingi hadi kwenye hatua ya lenta,mahesabu yake aliyopiga ni shs 500 KWA tofari moja gharama...
 6. davetz28

  Msaada wa kuzuia harufu inayoingia ndani kutoka kwenye tanki la maji machafu

  Habari Wana jamvi, nimekuja kwenu kupata suluhisho la tatizo linalosumbua nyumbani kwangu. Kuna lile tanki la maji taka linalokusunya uchafu kutoka chooni na bafuni ambalo sasa limekuwa kero. Siku za nyuma niliweka bomba fupi tu na bado bomba halikuwa linatoa harufu lakini kwa siku za usoni...
 7. davetz28

  Kujenga au kupata nyumba kwa mortgage

  Niliwahi kuja na hoja ya ujenzi wa nyumba kwa shilingi 25000000/ milioni ishirini na tano kwa Dar na ikaonekana kuwa siwezi kupata nyumba ya kisasa. Leo nimekuja na wazo la kujenga au kupata nyumba kwa mortgage, utaratibu wa kununua nyumba au kukopa pesa ya nyumba kwa mfumo huohuo na marejesho...
 8. davetz28

  Uliwahi kumwacha mkeo/mume halafu ukaja kujuta baadaye?

  Tafadhali naomba TUPEANE uzoefu kwa wale waliokuwa kwenye mahusiano , lakini mahusiano yao hayakwenda kama walivyotarajia. Je, mlio vunja uhuano mlikuja KUJUTA baadae? Nini kilikufanya umrudie kama ulimrudia? Je, kwa ambao waliendelea na maisha na kuoa na kuolewa na wengine changamoto gani...
 9. davetz28

  Wenye uzoefu wa ujenzi wa nyumba tafadhali ushauri wenu

  Tafadhali naomba mchango wa mawazo kwa wale wenye uzoefu wa ujenzi wa nyumba za makazi. Ninataka kujenga nyumba ya vyumba vitatu vyenye sitting, dinning, store na kitchen pamoja na public toilets je gharama ya ujenzi inafika shilingi ngapi kwa nyumba ya kawaida? Nataka nijenge nyumba walau...
 10. davetz28

  Wajuzi wa magari, ushauri wenu

  Mimi ni mwanajukwaa mwenzenu japo si wa muda mrefu ila naheshimu Sana jukwaa hili kuwa ni mahali pa kupata maarifa mapya, ushauri kutoka kwa wabobezi. Kwa kufupisha tu ni kwamba nimekuwa nikijiwekea akiba kidogo kidogo ili walau na mimi muda ukifika nipate japo ka usafiri ka kutembelea...
 11. davetz28

  Naomba kufahamu movie bora ambazo ukizitama huwezi jutia muda na pesa yako

  Habari wanajambo, mimi ni mpenzi kiasi wa kuangalia movie lakini kutokana na majukumu ya hapa na pale sikuwa na muda wa kuangalia. Kipindi hiki ni cha kukaa nyumbani kutokana na hali halisi ya dunia. Natamani walau kutumia muda huo kukaa na familia kuangalia movie ili walau kupunguza muda wa...
 12. davetz28

  Naomba ushauri kuhusu jambo hili la Mke wa mtu kuvaa nguo zinazobana

  Mada imefungwa, asante kwenu mliochangia
 13. davetz28

  Nataka niende Singida kwa mara ya kwanza

  Wadau, naomba msaada wenu kwa wenye uzoefu wa kwenda Singida. Sijawahi kusafiri kwenda mkoa huo na ninataka kusafiri mwanzoni mwa mwezi wa Machi mwaka huu. Ninaomba kuelekezwa mambo yafuatayo ili niweze kupanga bajeti yangu vizuri. 1. Nauli kutoka Dar hadi Singida Igunga 2. Gharama za malazi...
 14. davetz28

  Makampuni ya simu mengine yanakosa uaminifu?

  Wadau naomba kuuliza maana naona Kama makampuni haya yanawaibia wateja.Mimi natumia mtandao was tigo lakini kwa wiki Sasa wamekuwa wakipunguza data Mara baada ya kujiunga hata vifurushi vya internet.Nawaza kuitupa line yangu kwa kuwa waliwahi kuwa na hii tabia na wakaacha na Sasa wameanza tena...
 15. davetz28

  Tazama Azam Tv kipindi cha mahojiano ya Tundu Lisu

  Kipindi kinarushwa muda huu
 16. davetz28

  Gharama za kutengenezewa website

  Wakuu naomba kufahamu kutengeneza website inaweza kughalimu shilingi ngapi? Asanteni
 17. davetz28

  Kununua mtandaoni na kununua Kariakoo ipi ina unafuu?

  Naomba kufahamu kuhusu kununua bidhaa mtandaoni na kwenda kununua vitu kariakoo ipi ina unafua wa bei na faida inayoridhisha? Hapa namaanisha kununua mzigo mkubwa. Asanteni kwa muda wenu
Top Bottom