Search results

 1. ivunya

  10 biggest economies of africa 2018

  *FORBES AFRICA 2018* *10 BIGGEST ECONOMIES OF AFRICA 2018* (Rated in US$ Billions) 1. Nigeria :$172 2. South Africa :$166.735 3. Egypt :$78 4. Algeria :$66 5. Lybia :$65 6. Botswana :$22.675 7. Ghana :$20.458 8. Morroco :$18 9. Ivory Coast :$11 10. Madagascar :$6.766 *TOP 5 POOREST AFRICAN...
 2. ivunya

  Marekani yatupilia mbali vitisho vya Putin

  Marekani imepuuzia mbali mtiririko wa madai yaliotolewa na Rais wa Urusi Vladimir Putin kuwa ana mkusanyiko wa mkakati wa silaha mpya za nyuklia ambazo zinaweza kupiga eneo lolote duniani. Ikulu ya White House na Wizara ya Ulinzi zimetupilia mbali Alhamisi kauli hizo na kuziita ni za kisiasa...
 3. ivunya

  DANGOTE cement imekuwa adimu

  Tangu DANGOTE kasitisha uzalishaji wa cement Kuna uhaba mkubwa sana wa upatikani wa cement na kutatiza shughuli za maendeleo. Cement zingine zimepanda kwa Ghafla na kufikia 12000 kwa bei ya jana hapa lindi ya twiga cement. Na leo hii cement hakuna kabisa uko mjini, ujenzi umesimama. Tumesahau...
 4. ivunya

  Familia ya Donald Trump: Wake na watoto

  Donald Trump alisindikizwa na familia yake alipopanda jukwaani kutoa hotuba baada ya kushinda urais Marekani. Unawafahamu wake zake na watoto? 1. Barron Trump ndiye mwana wa pekee wa Donald na mke wake wa sasa Melania. Ingawa alijitokeza katika mikutano kadha ya kampeni, mvulana huyu wa miaka 10...
 5. ivunya

  Msaada kweli inawezekana kuchaguliwa mara 2 kwenye selection

  First selection nacte Kuna ndugu yangu kwenye profile yake Kuna chuo kachaguliwa certificate ya ualimu primary chuo kimoja kipo morogoro, baada ya Muda kapigiwa simu na chuo kingine kutoka dar kiliwepo katika orodha ya vyuo alivyochagua wao wakamwambia kuwa nacte walipeleka majina ya waombaji...
 6. ivunya

  SMS ya utapeli wa kuitwa kwenye interview, rafika yangu katumiwa tahadhari kwa waombao kazi

  Kuna rafika yangu alitumiwa sms kwenye simu ifuatayo HI! YOU HAVE BEEN SHORTLISTED FOR AN INTERVIEW. SEE YOUR EMAIL FOR MORE DETAILS! - RIFA CONSULTANTS- SEND YOUR EMAIL FOR THE INFO IF U FAIL TO GET THE DETAILS Jamaa kasubiria email kimya ikabidi atume email yake kwa Ile namba ya simu kusudi...
 7. ivunya

  Msaada simu yangu bar za network zimepotea

  Hii Leo ni Siku ya pili bar za network zimepotea ghafla , nashindwa kuelewa tatizo ni nini kila laini ninayo weka bar za network zinatokea kuashiria kuwa lain ipo kwenye simu ghafla zinatoweka ndo basi tena hazirudi naandikiwa NO SERVICE-HALOTEL. Nikawa nawaza Wenda imefungia lakin nikitumia...
 8. ivunya

  Msaada tablet aina ya Lenovo

  Tablet imepata tatizo hivi karibu kila nikifungua App ya YouTube tablet ina jizima na kujiwasha. Hili tatizo limeendelea siku 3 ghafla Jana nimefungua YOUTUBE ikasumbua na kujizima lakini kitu kinacho nishangaza Sasa hivi tatizo limekuwa kubwa tablet nawasha linatokea neno la Lenovo inaganda...
 9. ivunya

  Watu walioomba NACTE waendelee kusubiria kwani kuna uwezekano mkubwa wa kuchelewa kwa majina

  TCU wametoa sifa za kujiunga na chuo kikuu wastani wa D mbili, kitu kisichowezekana kwa wanafunzi wote wa kidato cha sita kujiunga chuo. Kuna kundi kubwa sana la wanafunzi watakao kosa sifa za kujiunga chuo. Je hili kundi kubwa unalipeleka wapi wakati NACTE wamefunga maombi ya kujiunga...
 10. ivunya

  Msaada kila nikifungua DATA kwenye tablet kuna ujumbe naletewa

  Rejea kichwa cha habari hapo juu , Tablet yangu internal storage ni 16 GB , Space niliyotumia kuhifadhi data ni 4 GB. Lakini kitu cha kushangazi kila nikifungua data naletewa Ujumbe kuwa "Data usage warning" touch to view usage and setting. kwa MTU mwenye utaalamu na ujuzi naomba anisaidie...
 11. ivunya

  Msaada: External yangu inanitaka ku-format

  Kwa wale wenye ujuzi na wataalamu wa external hard drives. Nina external aina ya Transcend 1TB inanisumbua kila nikichomeka kwenye laptop kuna dialogue box inatokea naambiwa inabidi niformat external ninashindwa kutekeleza kutokana uwingi wa vitu nilivyotunza ina data zaidi 600GB , naombeni...
 12. ivunya

  msaada wana jf my tablet

  Tablet yangu inatabia ya kuji format yenyewe mara ya pili inanitokea, inaniuma sana data zangu kufutika na sizipati tena. Kwa anayejuwa kama Kuna program maalumu itakayoweza kunisaidi kurejesha data zangu itakapo ji format tena anisaidia namna ya kuipata. Natanguliza shukran zenu wakubwa
 13. ivunya

  Dawa ya kuondoa jini mahaba ipi

  Jaman wana jf ebu tusaidiane dawa ya kuondoa jini mahaba ipi kwa anaye juwa atujuze kama ipo dawa za asili.
 14. ivunya

  Kuna mahusiano ya karibu sana vyuo vikuu kufungua mwezi wa 11 na siasa

  Mwaka huu wanafunz wengi watakosa mkopo, kuepusha watu kupiga kura kwa upinzani kutokana na watoto wa masikini kukosa mkopo ambao ni mtaji mkubwa sana kisiasa kundi hili la masikini badala yake itachelewesha kutoa majina ya wanafunz waliopata mkopo mpaka uchaguzi ufanyike. Ili swala lazima...
 15. ivunya

  Hodi wa kongwe kwenye game.

  Mi napita tu nilikuja kuwa salimia tutakutana siku nyingine nikijiandaa vizuri.
Top Bottom