Search results

 1. Zawadini

  Dalili zinaonesha kwamba Dkt. Tulia anaenda kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano

  Sasa dalili zinaonesha kwamba Dr. Tulia Ackson anaenda kuwa spika wa bunge jipya. Kwani? Mshirika wa Spika Ndugai - Ali Kessy - ameshaadhibiwa kwa kupokwa ubunge wa Nkasi. Sasa ni zamu ya Ndugai kunyimwa uspika. Hii itafanywa kutuzuga sisi wananchi kwamba kule juu hawapendi msimamo wao lakini...
 2. Zawadini

  Haya ya Uingereza kuzuia bunge ikoje?

  Tuliona na kusikia wakati ule Waingereza walipopiga kura kwa hiari yao kuamua kujitoa uanachama wa Umoja wa Ulaya baada ya Serikali kuridhia jambo hilo chini ya uwaziri Mkuu wa wakati ule. Hili la kuridhia kura ya maoni ipigwe wakati ule huenda lilitokana na uzoefu uliotangulia ambapo nchini...
 3. Zawadini

  Vituko ubadilishaji wa vitambulisho vya ukaazi Zanzibar

  Zanzibar hivi sasa imo kwenye harakati za kubadilisha vitambulisho vya ukaazi. Vitambulisho hivi ni muhimu sana kwa Wazanzibari wakaazi, kwani ndio nyenzo kuu ya kuendesha shughuli za kijamii na kisiasa kule visiwani. Bila kuwa na kitambulisho hicho maisha yanakuwa vigumu kuyaendea. Nimesema...
 4. Zawadini

  Bei ya petroli katika soko la dunia imepanda. Tujitayarishe

  Bei ya petrol katika soko la dunia imepanda. Kwa mujibu wa gazeti la The East African bei hiyo ilikaribia dola mia moja (100) kwa pipa. Hii inamaanisha kuna uwezekano wa bei ya petroli kupanda katika nchi zetu. Kama hivyo ndivyo tunapaswa kujitayarisha na kufunga mikanda kwani ikitokea hivyo...
 5. Zawadini

  Tanzania na mfumo wa unadhimu wa vyama bungeni

  Mwaka 1992 tulipoingia kwenye mfumo wa vyama vingi Serikali iliona kuna haja ya kubadili mfumo wa kufanya maamuzi bungeni ili uendane na huo mfumo wa vyama vingi. Mfumo huo ukabadilishwa nasi tukaingia katika mfumo wa unadhimu wa vyama. Lengo la mfumo huu ni kuhakikisha kwamba vyama vinapata...
 6. Zawadini

  Wimbi la wapinzani kuhamia CCM: Ushauri wangu kwa viongozi wa CCM

  Kuna wakati nilikuwa nasoma maandiko ya mwanazuoni mmoja aitwaye Nnoli. Alikuwa anatoa fasiri/fasili ya neno siasa na moja kati ya fasiri zake aliandika “siasa ni kufanya maamuzi kuhusu nani apate nini, wakati gani na kwa nini.” Baada ya kutafakari nadhani alikuwa na maanisha kuongoza/kutawala...
Top Bottom