Search results

 1. kitokololoo

  Mshahara wa mwezi wa 10 umetoka?

  Mshahara wenyewe una vidonda tumekopa kila benki bado mtaani vimeo kila mahari. Tupeane taarifa ukitoka tu huu mshahara ili tupunguze ukali huu wa maisha tukalipe vimeo vya watu tukope tena maisha yaendelee.
 2. kitokololoo

  Nataka nimfungulie mke wangu Duka la dawa naombeni Ushauri

  Naombeni ushauri mzuri Gharama nyepesi za kurekebisha Chumba cha kawaida cha futi 10 kwa 10 yn furniture pamoja na kabati za kuwekea madawa. Pia Meza kubwa ya kioo milango ya kioo na Gharama zingine ndogo ndogo za kufanya duka liwe na mvuto inacost kiasi Gn? Budget yangu ni 2.5 matengezo cha...
 3. kitokololoo

  TANESCO tuleteeni umeme Mbeya Vijijini baadhi ya vitongoni tuko chini ya miguu yenu

  Kaya nyingi hapa mbalizi hazina Umeme tamko toka tanesco mkoa wa mbeya kupitia viongozi wa vitongoji walisema Tusuke umeme kaya zote ambazo hazina umeme na tukapewa na fomu kabisa na watendaji na wenyeviti wa vitongoji watu wakakopa mpk hela kusuka umeme haraka haraka ili umeme ukija uingizwe...
 4. kitokololoo

  Wakuu je kupata mkopo wa bodi ni bahati

  Nimemaliza form four 2010 nimesoma shule ya kata pia nina diploma yenye gpa ya 4.7 nimeomba mkopo kozi niliyochaguliwa degree ni business administration nimeambatanisha na vyeti vya vifo vya wazazi wote wawili. Bodi ndyo tegemeo langu kusoma Je, kwa wale waliobahatika kupata mkopo mimi naweza...
 5. kitokololoo

  Mshahara wa Mwezi wa 7 kimya

  Habari wakurungwa Kulikoni hali mbaya kwa mangi hakuendeki leo tarehe 24 hali tete mshahara kimya kunani huko jikoni au mpaka wiki ijayo?
 6. kitokololoo

  Naombeni ushauri

  Nina mtoto wa kaka yangu ambae kaka yangu ashakuwa marehem mda mrefu. Kijana huyu anaufauru mzuri form four. Biology...C Chemistry...C Mathematics...F History...B Kiswahili...B Civics...C Physics...F English...C alipata division two form four Akafaulu kwenda advance mchepuo wa HGL na kidato cha...
 7. kitokololoo

  Mwaka huu kuna kila dalili ya kutokuwepo Mei Mosi

  Ndugu zanguni poleni na majukum ya kitaifa pia poleni sana kwa wkt mgumu tunaopitia Katika Maisha haijawahi tokea. Maisha kwa sasa yamekuwa taiti yani ugumu wa maisha umekuwa ni kama wimbo wa taifa kila mtu na majanga yake ni kuvumilia tu si kwa wafanyabiashara wala wafanyakazi... Lile...
 8. kitokololoo

  Atletico Madrid ni chuo cha mpira

  Torres alipikwa akapikika Akitokea ATLETICO akaenda liver baadae Chelsea mpira ukamuishia kabisa aliporudi ATLETICO akawa mtamu vibaya Mnoooo hii ndyo atletico chuo cha mpira Kun aguero mnyama nae hyo alipikwa atletico akawa mnyama vby mnoo kwa kufumania nyavuuu mpk sasa anazidi kuwaka lkn...
 9. kitokololoo

  Mshahara wa mwezi Februari mbona umechelewa?

  Mshahara wa mwezi March mbona umechelewa??
 10. kitokololoo

  Kwa kauli ya Rais 'Hata mimi mshahara haunitoshi', watumishi tuandike tena maumivu mwaka huu

  Watumishi wa umma tupeane pole Yale matumaini kwamba huu ni mwaka wa uchaguzi hivyo mwaka huu utakuwa ni wa neema kwetu matumaini tuyafute. Jana mkulu siku ya sheria katamka bayana kwamba anatambua mishahara haitoshi hata yeye wa kwake hautoshi, kuna vipaumbele ambavo ni miradi ya maendeleo...
 11. kitokololoo

  Kuku kienyeji wanakunywa sana mayai

  Wakuu habari poleni na majukum ya kitaifa!!! Ase naombeni msaada nina kuku wa kienyeji matetei 30 na majogoo 4 tatizo hawa kuku nahisi kama kuna mtu ananichezea kwenye kuku wangu yani kuku wanakula chakula cha kutosha pia nawafungulia njee wanaokata wadudu na wanakula majani kifupi wanakula na...
 12. kitokololoo

  Jamani mbona vitu vimepanda ghafla

  Wakuu habari zenu poleni na majukum ya kitaifa Kuna jambo limenishangaza sana mbona maisha yanazidi kupanda sana toka tarehe moja nimeenda dukani kununua sukari kilo moja kwetu huku ilikuwa tsh 2600 sasa hivi imefika 2800 Bati pia hivyo hivyo bando moja hizi za rangi nimekuta bei imepanda toka...
 13. kitokololoo

  Wenye tecno samahani sana mtusamehe.

  Hahahahaha.
 14. kitokololoo

  Kumbe JamiiForums asilimia 99.9 ni watumishi wa Serikali

  Bisha ubishavyo ila huo ndyo ukweli hili limejidhihirisha baada ya mshahara wa watumishi wa serikali kuchelewa kuingia kila Uzi humu ilikuwa ni kilio cha mishahara... Kuna Uzi hapa wakuulizia mshahara umefikisha 35k viewers hahaha hii inaonyesha wengi hujifanya watu wenye pesa walojiajiri...
 15. kitokololoo

  Rais wetu mzalendo wewe ni mtukufu siku zote tutakuenzi

  Poleni na majukum ya kitaifa watanzania kwa masikitiko makubwa wiki hii imekuwa ni wiki mbaya sana hili lipo wazi baada ya taarifa ya CAG kuwa tabled bungeni na Assad kuelezea mambo jinsi yalivo. Baada ya yote nikawa najiuliza hivi sisi watanzania ni kizazi cha namna gani kila mtanzania ni...
 16. kitokololoo

  Taifa stars heko watanzania

  Leo ni siku pekee wanaume wa mikoani wanatamani kuwa wanaume wa dar Haha nusu bei ya pombe Sent using Jamii Forums mobile app
 17. kitokololoo

  Wakuu tuwe makini na wanawake wa humu

  Wakuru wanaume wenzangu kuna nyuzi humu zinaandikwa sijui natafuta mume wakuu wengi wao ni wanaume yani wangese sana yani mwanaume unaandika nyuzi ya namna hyo unatogozwa na mwanaume mwenzako ase hii ikoje??? Mimi nimelizwa mpunga japo si mkubwa lakini mimi ni mnyamwezi ntakukogesha aibu kila...
 18. kitokololoo

  Wakuu nimeanza mwaka kwa kupata jembe

  Poleni wana jamii forum na majukum ya kitaifa.Leo ninafuraha sana mke wangu kipenzi kajifungua.Wakati ananipa taarifa kajifungua nilishituka sana maana nilikuwa na shauku sana ya kujua ni mtoto wa jinsia gani ase mwili ulipigwa ganzi ghafla. Nikasikia wife anasema mtoto wa kiume ase nashukuru...
 19. kitokololoo

  Msaada nahitaji kwenu wakuu

  Nahitaji nipate vyeti vya vifo vya wazazi wangu( death certificate) kibaya sina taarifa zozote za hospital za kuhusu hili suala pia nipo mkoa wa mbali kidogo si nyumbani. Msaada je nikienda ofisi ya vizazi na vifo naweza pata msaada ili niweze kupata hivi vyeti? Nahitaji tu ushauri je...
 20. kitokololoo

  Je mafanikio yako yanaendana na Umri wako

  Mimi binafsi nina miaka 30 lakini dah nachomiliki ni hii smartphone nikiwaona vijana wenzangu wengi wapo chini ya umri wangu na wengine wameshatoboa sina assets yoyote kama kiwanja n.k kibarua nilichonacho kinanifanya asubuhi niweze pata hela ya kura makande ya mia tano mchana ugari maharage...
Top Bottom