Search results

  1. Makala josee

    Tusipotezeane muda! Ukweli ni kwamba 'Ulidanganywa' na 'Wanafiki' kuhusu Kabudi na Lukuvi, ila sasa 'Unatuzuga' na 'Kujikosha' tu Kwao

    Unaenda mbali sana mbona Malima yuko Tanga au Dr Mahenge ni mkuu wa mkoa, ajabu ni nini hapo?
  2. Makala josee

    Tusipotezeane muda! Ukweli ni kwamba 'Ulidanganywa' na 'Wanafiki' kuhusu Kabudi na Lukuvi, ila sasa 'Unatuzuga' na 'Kujikosha' tu Kwao

    Katika kiapo hupigwa vita ukanda, udini na Ukabila, lakini ajabu ni kuwa Dodoma imetoa mawaziri wa nne, pwani watano Tanga watatu hali ya kuwa mikoa mingine haina hata waziri mmoja huu ni mfano mbaya sana si wakuigwa, Rais anamfurahisha Lukuvi na kabudi kwa kodi zetu upande wa pili anasema...
  3. Makala josee

    Mfahamu Samia Suluhu Hassan; Maisha na Kazi

    Hivi kamanda Mbowe wakati anagombea Urais mwaka 2005 alikuwa Ana elimu kiwango gani mkuu?
  4. Makala josee

    Mkoa wa Pwani watoa Mawaziri watano kwenye baraza jipya; ni bahati mbaya au ndiyo tuseme sasa zamu ya watu wa Pwani?

    Kwani nyinyi Dodoma si mna Mavunde, Kijaji na Ndejembi Haikuwatosha? Kabudi alieamua kuasi ubabani bora wamemuengua
  5. Makala josee

    Mkoa wa Pwani watoa Mawaziri watano kwenye baraza jipya; ni bahati mbaya au ndiyo tuseme sasa zamu ya watu wa Pwani?

    Mwl JKN aliasisis hilo muambie huyo, hakuwepo kipindi mwalimu akisagana na vichwa punde tu baada ya Uhuru kiasi cha kuwabambika wengine uhaini, hawa wa sasa wanaenzi tu, Dotto James mpwa wa JPM alipewa funguo za hazina, kisha yule cha pombe kitwanga akapewa wizara bahati mbaya akasaliti...
  6. Makala josee

    Ushauri: Wabunge wamchague Spika asiyetokana na chama

    Ili iweje? Hawa Wabunge ambao baadhi yao wamo bungeni kwa hadaa? Au wale wapasao kuhakikisha mashirikiano ya mihimili?
  7. Makala josee

    Mkoa wa Pwani watoa Mawaziri watano kwenye baraza jipya; ni bahati mbaya au ndiyo tuseme sasa zamu ya watu wa Pwani?

    Masopakyindi masopakyindi huu utelezi umetokana na Ubinafsi wa kima kundi, wamesahau kwamba Baraza la mawaziri ni zaidi ya hayo makundi yao, wewe umesema mikoa ya pwani sijajua kwanini Tanga hukuiweka, hizi siasa za maccm zitatupeleka pabaya sana na Huyu mama Itakuja kumgharimu siku moja Kwani...
  8. Makala josee

    Mkoa wa Pwani watoa Mawaziri watano kwenye baraza jipya; ni bahati mbaya au ndiyo tuseme sasa zamu ya watu wa Pwani?

    Kabla ya kustaajabu Tanga kuwepo Makamba Aweso Ummy 👆 Ajabu na kweli Pascal Mayalla
  9. Makala josee

    Rais Samia atangaza mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu

    Hana lolote ndio wafu walewale ni kwasababu wewe Hukumjua huyo Lukuvi wako, sasa wewe mbona Naibu Waziri unamtukana sababu ya baba yake?
  10. Makala josee

    Rais Samia atangaza mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu

    Vipi kama kabudi akiwa spika? Haitawapendeza wana CCM
  11. Makala josee

    Msameheni bure Job Ndugai, amechanganyikiwa baada ya kuomba msamaha batilifu uliokataliwa! Barua yake ya Kujiuzulu nayo pia ni batilifu!

    Kwamba spika Ndugai kaamka vizuri Leo baada ya miaka yake yote katika kiti? Au ni msaka Tonge? Hizi fallacies of ethos zinapofusha
  12. Makala josee

    Msameheni bure Job Ndugai, amechanganyikiwa baada ya kuomba msamaha batilifu uliokataliwa! Barua yake ya Kujiuzulu nayo pia ni batilifu!

    Nachelea kusema alitumia njia batili kutoa tamko batili, Katika ile speech ya Job Ndugai katika kile kikao cha Saccos ya Wagogo alijitanabaisha kwa Ugogo zaidi kuliko UTanzania, kuna mahali akiwaeleza wagogo wenzie namna Alivyo tafiti kupia CDA kwa misingi ya Ukabila(kwasababu alimtaja mgogo...
  13. Makala josee

    Tundu Lissu: Rais wetu ni Rais wa Kifalme, hawajibiki kisheria mahali popote, anawajibika kwa Mungu wake tu

    Umevunjwa nguvu kivipi? Sio kwamba ndugai kuyapeleka masuala muhimu kama yale kwenye Saccos ya wagogo ni khiyana na uchochezi uliopelekea hilo? Ajabu sana kupata spika asiyejua Mamlaka aliyonayo!
  14. Makala josee

    Tawasifu kwa ufupi ya spika aliejiuzuru JYN

    MH. JOB NDUGAI: MTANZANIA ATOKAE FAMILIA ILIYOGUBIKWA NA LINDI LA UFUKARA NA UMASKINI ULIOKITHIRI AWA SPIKA WA KWANZA TANZANIA KUBWAGA MANYANGA !!! _______________________________________ Januari 6, 2022 Na Mzee wa Atikali ✍️ ✍️✍️ "Mimi nimetokea Kongwa, Dodoma eneo lenye ukame sana...
Top Bottom