Search results

 1. Replica

  Trafic wageuza JKT Mlalakuwa chanzo binafsi cha mapato kutoka kwa daladala

  Hizi centers kadri siku zinavyoenda zinaongezeka, wapo wanadai 5,000 siku hizi. Na kama zingekuwa haziwaumizi wasingekuwa wanabadili barabara sehemu wanazoweza kufanya hivyo.
 2. Replica

  Trafic wageuza JKT Mlalakuwa chanzo binafsi cha mapato kutoka kwa daladala

  Habari wakuu, wakati sakata la rushwa kwa matrafik likiendelea nimewakumbuka Trafic 'wanaotega' kabla kidogo ya daraja la JKT Mlalakuwa (Wana kibanda chao pia pembeni). Ndugu zetu hawa asubuhi huzisimamisha daladala zote zinazoelekea Kawe kupitia Old Bagamoyo na kawaida huchukua 2,000 kwa kila...
 3. Replica

  Kweli siyo Meena Ally, ni video imeokotwa kwenye mitandao ya video za ngono

  Humu nadhani haziruhusiwi, kaangalie hiyo username kwenye site husika
 4. Replica

  Kweli siyo Meena Ally, ni video imeokotwa kwenye mitandao ya video za ngono

  Pole sana Meena Ally na nimejifunza hii mitandao inaweza kukupelekea utindio wa ubongo, jana ilisambaa video inayosemwa ni mtangazaji maarufu, Meena Ally na akajaribu kujitetea siyo yeye lakini akaendelea kushikiwa bango. Leo nimegundua hamna kitu, ni video ya mdada na jamaa huko duniani na...
 5. Replica

  Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeamn Mbowe na wenzake watatu - Januari 19, 2022

  Salaam Wakuu, Leo tarehe 19/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea. Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri Mahakamani. ======= Kufahamu ilipoishia, soma hapa:Yaliyojiri mahakamani kwenye Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kesi imeahirishwa...
 6. Replica

  Dkt. Ayub Rioba akanusha vikali kuondoka TBC, awaomba Watanzania wapuuze uvumi

  Dkt. Ayub Rioba jana alipata fursa ya kuongea kwenye kipindi cha Jambo Tanzania kinachorushwa na TBC 1 na kuelezea mambo mengi yanayolihusu shirika ikiwemo kuanzisha chaneli ya kiingereza kuwakabili watu wanaoisema vibaya Tanzania huko duniani. Pia lilikuwepo swali la tetesi za yeye kuachia...
 7. Replica

  Naweza kutumia wiring ya umeme wa TANESCO kuunga solar?

  TANESCO mna nini kwani?
 8. Replica

  Zuchu nimekusikia vizuri ama?

  Washachezea huko: Wasafi yalambwa rungu jingine, watakiwa kuomba radhi na kipindi chawekwa chini ya uangalizi
 9. Replica

  Wasafi yalambwa rungu jingine, Zuchu asababisha kupewa onyo kali na kutakiwa kuomba radhi pia kipindi chawekwa chini ya uangalizi

  Wasafi wakiwa bado na kidonda cha Nabii Shilla kuudhihaki ukristo na kupigwa faini, TCRA bado wanawalia timing na leo wametakiwa kuomba radhi kutokana na interview ya Zuchu kutumia 'lugha chafu ya matusi ya nguoni isiyo na staha' kwenye kipindi cha 'Refresh'. Pia kipindi hicho kimewekwa chini ya...
 10. Replica

  Rais Samia akemea suala la siri za Serikali kuvuja mitandaoni

  Every reaction has an equal and opposite reaction CC; Kigogo
 11. Replica

  UDSM: Mwanachuo apoteza maisha kwa kujirusha Ghorofani, alifumwa anaiba laptop

  Hivi haiwezekani aliyemfuma alimsukuma dirishani kama adhabu, just thinking..
 12. Replica

  Tulia Ackson atoa msimamo wa Bunge, asema Rais ni Mkuu wa Nchi na ana mambo yote!

  Naibu Spika akiongea katika hafla ya kuwaapisha mawaziri, manaibu na viongozi wengine, amewapongeza wote walioteuliwa na kuwashauri wameteuliwa kufanya kazi za Rais nao wao wanamsaidia hivyo wazifanye kama wasaidizi wa Rais wa Jamhuri wa Muungano na si vinginevyo. Kuhusu Bunge, amesema kuna watu...
 13. Replica

  Naomba msaada jinsi ya kujua Laptop ya bei ndogo chini ya 500,000 yenye uwezo mzuri

  Bajeti yako changamoto kwa mpya, nenda Kariakoo maduka ya barabara ya Uhuru kanunue refurbished mkuu
 14. Replica

  Niuzie Azam decoder used

  Kwanini usiende kununua kipya boss? Kimahesabu ukinunua utalipia subscription.. Ukinunua kipya utapewa miezi mitatu ya 35,000 per. Kwakuwa watanzania wengi tunanunua cha 20k assume unapata 60k+140k=200k. Tofauti inakuwa 10k ila hapa unapata kipya na kinachosajiliwa kwa jina lako na namba zako.
 15. Replica

  Spika Ndugai: Rais Samia naomba unisamehe kwa sintofahamu iliyotokana na kauli yangu🙏

  Job Ndugai: Hapakuwa na lolote la kukashifu au kudharau juhudi zozote za Serikali, Serikali ni baba yetu, Serikali ni mama yetu. Tunahitaji Serikali na tunaiunga mkono na katika mazungumzo yetu niliwataka wenzangu pamoja na mamabo mengine kujiimarisha kiuchumi, pamoja na mambo mengine tulipe...
 16. Replica

  Hii akiba ya fedha za kigeni dola Bilioni 6,253 aliyosema Rais Samia kiboko, deni la Taifa lingekuwa hela ya peremende

  Sasa mkuu, kama haiwezi kuzilipia deni inawezaje kuzifanyia matumizi ya kununulia chakula?
 17. Replica

  Hii akiba ya fedha za kigeni dola Bilioni 6,253 aliyosema Rais Samia kiboko, deni la Taifa lingekuwa hela ya peremende

  Leo Rais Samia wakati akitoa hotuba ya kufunga mwaka 2021 ameitaja akiba ya fedha za kigeni dola za kimarekani bilioni 6,253. Nikajua labda lafudhi ya kizanzibari imenichanganya au kosa la usomaji. Kumbe ndivyo alivyoandikiwa kwenye hotuba yake, najiuliza mchakato wote wa maandalizi ya hotuba...
 18. Replica

  Full Text: Hotuba ya Rais Samia Suluhu ya kufunga mwaka 2021. Kirusi kipya cha Corona cha Omicron kimeshaingia Nchini Tanzania

  Rais Samia Suluhu anahutubia Taifa kuuga mwaka 2021 na ameanza na mfumuko wa bei. Rais Samia ametaja changamoto ya mfumuko wa bei ulioshuhudiwa 2021 kuwa ni zao la ongezeko la bei za mafuta kwenye soko la dunia. Aidha Rais Samia amelitaja janga la COVID19 kuwa sababu nyingine ya ongezeko la bei...
Top Bottom