Search results

  1. manndungu

    Injinia Hersi Said: Timu za Simba na Yanga zinaendeshwa kwa hasara miaka mingi

    ''Timu hizi zinajiendesha kwa hasara kwa miaka mingi ndio maana zimekwama. Ukisema hivi mtu anaweza asikuelewe lakini ukitazama mapato ya klabu na matumizi ndio utajua kwanini zinajiendesha kwa hasara'' - Eng. Hersi Said Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM. #KipengaXtra
Top Bottom