Search results

 1. Ngosha255

  Toyota Camry 2013

  Nikiwa napita pita Befoward kuusitua umasikini nimekutana na hili gari likanivutia kwa mwonekano wake Wajuvi wa magari nipeni somo kidgo kuhusu hili gari, linafaa kibongo bongo ukizingatia na hizi kodi za kizalendo?! Fuel consumption, uimara na upatikanaji wa spare zake au ndio kama european...
 2. Ngosha255

  Thinkpad t470s imevujia wino wapi naweza kupata kioo chake?

  Mwenye uelewa au msaada anisaidie sehemu ambayo naweza kupata kioo cha hii laptop Ni Lenovo ThinkPad T470s touchscreen
 3. Ngosha255

  Halmashauri ya Nyang'hwale hizi kodi zenu kwa wachimbaji wadogo ni kandamizi

  Nipo kwenye kusaka maisha huku kijijini nimezamia Chimbo moja wilaya Nyang'hwale mkoani Geita Kwa hii halmashauri biashara hii ni gumu kwani imerundikiwa mzigo wakodi kila sehemu tokea mlimani njiani, mwaloni hadi Sokoni! Huu ni mlolongo wa kodi unaotozwa na halmashauri pekee Baada ya kutoa...
 4. Ngosha255

  Lenovo Thinkpand T450 core i5

  .
 5. Ngosha255

  Natafuta mshirika partner wa kufanya nae biashara

  Hello Kama heading inavyojieleza natafuta mshirika mtu ambaye ana biashara tayar iliyo halali au mwenye wazo na mtaji pia niingize kimtaji changu kidogo tufanye biashara pamoja KWANINI MSHIRIKA 1-Sina uzoefu sana wa biashara 2-Kila biashara ninayopanga nikitazama changamoto naishia kusitisha...
 6. Ngosha255

  CHADEMA tunadanganywa, tujifunze kusoma Habari kamilifu sio vichwa vya Habari

  Ukipita kwenye pages za mitandao ya kijamii hasa kwa Makamanda CDM report ya TWAWEZA imeteka headlines, "JPM anukubalika vijijini na kwa masikini wenye maisha duni!" Lakini ukweli mchungu hata mjini na kwa wasomi hakuna sehemu tuliyoongoza hata moja CCM imeshuka kweli lakini pande zote...
 7. Ngosha255

  MSAADA WA KU-UNLOCK GALAXY S5 TMOBILE

  Nahitaji msaada kwa anaeweza kunisadia au kunipa maelekezo jinsi ya kuanlock hii simu Nimeitumia kama 10 months lakini kuanzia jumapili nimeamka inaomba Network unlock code
 8. Ngosha255

  Natafuta soko la samaki Arusha/Moshi

  BIASHARA YA SAMAKI MOSHI/ARUSHA Hivi karibuni nataka nianzishe biashara ya kusafirisha samaki waliokangwa pamoja na waliobanikwa kwa pamoja kutoka ziwa viktoria(Mwanza) kwa mtaji kidogo uliopo Kiasi gani ninaweza kusafirisha inategemea na mahitaji ya wateja watakaopatikana Kama unafanya...
 9. Ngosha255

  Samsung Galaxy S4 kwa 330000/= (Arusha)

  Samsung Galaxy S4 kwa 330000/= (Arusha) Arusha 400054400054
 10. Ngosha255

  Niuzie simu isizidi laki 2

  Natafta simu ya kununua isiyozidi laki 2 Brands: Lumia, samsung, htc, and sony Tuwasiliane hapa 0756908809 / 0784678788 Location: Arusha
 11. Ngosha255

  Mwenye ujuzi na Euro truck simulator For Android

  Mwenye ujuzi na hili game anisaidie jinsi ya kulipata kwenye Tablet Natumia Samsung galaxy note 8 n5100 Msaada please
 12. Ngosha255

  Niuzie simu isiyozidi laki 250,000/=

  Nahitaji simu iwe katika hali kwa 250000 htc, samsung, sony, lg, moto, itakuwa vizuri NOTE: Kuwe na uwezo wa kuipata kwa arusha KARIBUNI CONTACT: 0756908809
 13. Ngosha255

  Pata nokia lumia 625

  Kwa 300000TZS only simu imeshatumika kwa miezi 8 Ipo kwenye hali nzuri bila mkwaruzo wowote Contact 0756908809
 14. Ngosha255

  Watalaamu wa window phone

  Naomba msaada kwa yafuatayo kwenye Lumia 625 wp8 1: Je inawezekana pokes app from another 4ne, if yes nipe procedures. 2: uki-install app eg opera mini unaambiwa not available in a store. 3: site gani Ina free app nyingi for wp8 4: Je naweza upgrade to WP 8.1? how MWENYE MAUJUZI ANAKARIBISHWA
 15. Ngosha255

  Nina1.5k kwa anayeuza simu.

  Nahitaji simu not more than 1.5k iwe android or window 4ne Tuwasiliane via 07596908809 nipo Arusha.
 16. Ngosha255

  Nina1.5k kwa anayeuza simu.

  Nahitaji simu iwe android or window 4ne Tuwasiliane via 07596908809 nipo Arusha.
 17. Ngosha255

  Website gani zinapatikana hizi nyimbo

  Mchinga Tamtam Twanga Chuchu sound Extra bongo Tot plus Anaejua site ya kudownload nyimbo za hawa jamaa anijulishe.
 18. Ngosha255

  Msaada wako hapa mtaalamu Nokia.

  Haka ka-simu asha 200 kuna kidude kinadisplay kwa juu kama ume-plug earphone hata hakuna earphones Naomba step za kukitoa pls no MAWASILIANO kabisa.
 19. Ngosha255

  Tecno l3 nyeupe mpya inauzwa 1.6k

  Hajamaliza hata wiki! bado ipo kwenye box Warant 12+1 monthy Ni emergency tu haina tatizo lolote mwenye nia piga 0684624188 Nipo arusha
 20. Ngosha255

  Tecno l3 mpya inauzwa 1.6k

  Hajamaliza hata wiki! bado ipo kwenye box Warant 12+1 monthy Ni emergency tu haina tatizo lolote mwenye nia piga 0684624188 Nipo arusha
Top Bottom