Search results

 1. KIGWANYA

  Ushauri wa Research kwa watu binafsi na walio vyuoni

  Tunatoa ushauri wa research pia kufundisha jinsi ya kufanya analysis kwa kutumia:- SPSS STATA EPI-INFO R Karibu: mawasiliano ni: rijaabeid@yahoo.co.uk
 2. KIGWANYA

  Ushauri kuhusu research

 3. KIGWANYA

  Ushauri wa propasal na research

 4. KIGWANYA

  Yupo wapi Makamu Mwenyekiti wa BAVICHA Ole Sosopi?

  Kijana huyu wa Bavicha hajasikika kabisa tangu alikua amekamatwa na polisi kwa uchochezi wakutaka kuzuiya mikutano ya CCM kule Dodoma. Na mbwembwe zake zote sasa hivi Kimyaaaaaa! kweli JPM amewakata pabaya Bavicha na CDM yao kama hawapoo! wamebaki wachochezi wachache mitandaoni. Mungu jalia hata...
 5. KIGWANYA

  CUF Mtwara na Lindi: Mbowe asiingilie mambo yetu

  Wajumbe wa Kamati Kuu CUF Kanda ya Kusini mikoa ya Lindi na Mtwara, wamemtaka Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kutoingilia mgogoro wa chama hicho kwani wakati CHADEMA ikiwa na migogoro CUF huwa hawaingilii. Video hii hapa. My take: Mbowe acha Lipumba ajenge CUF yake wewe kweny CDM huingiliwi.
 6. KIGWANYA

  Tetesi: CUF Bara kugomea mkutano wa Tanga

  Hizi ni habar za uhakika na sababu yake ni kuwa haujaitishwa na mwenyekiti halali wa chama ambaye ni Prof. Ibrahim Lipumba. Aidha wameenda mbali zaidi na kutaka polisi izuwiye mkutano huu. Tangazo lenyewe la mkutano huo hili hapa; The Civic United Front-CUF Chama cha Wananchi Wilaya ya Tanga...
 7. KIGWANYA

  Baada ya kudhibiti ofisi: Sasa ni Ruzuku, Maalim atanyooka tu

  Wadau habari. Baada ya Prof. Kuthibiti ofisi ya CUF kilichobaki sasa nikuithibiti ruzuku ya chama hicho ili ajihakikishie umiliki halali wa uenyekiti. Wale wanaobeza uwenyekiti wake wasubiri pale atakapokua na nguvu kamili ya kuthibiti hela za chama watataka usuluhishi wenyewe vinginevo...
 8. KIGWANYA

  Sababu 3 za CUF kuchukiwa na dola na sio CHADEMA

  anaandika Ali Mohammed, Kwenye sauti ya Mzanzibar. Hivyo katika upinzani wa Tanzania, CCM inaiangalia CUF kuwa ndiye adui wake wa karibu na hatarishi zaidi kuliko chama chengine chochote kile. Hata pale UKAWA ilipojaribu kutaka kutengeneza adui wa pili, kwa mfano, pale walipokubaliana kuachia...
 9. KIGWANYA

  Usaidizi wa Research

  We help in:- Proposal development, Questionnaire designing, Data analysis, Data presentation and Report writing We also help in teaching different database and analysis software such as:- MS EXCEL MS ACCESS EPI-DATA EPI-INFO SPSS STATA R Welcome Contact: Mob - 0765-751 003 E-mail...
 10. KIGWANYA

  Lipumba: Mimi bado ni Mwenyekiti wa CUF, sitambui kikao cha Zanzibar

  Jamani, ngoma sasa inogile. Prof. leo kakomaa hataki kabisa kuambiwa amesimamishwa uanachama. Hii safi sana maana maalim anaendesha chama kama mali yake. =========== Akihojiwa na mtangazaji Spencer Lamerk wa ITV usiku huu, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba amesema kuwa yeye bado ni Mwenyekiti...
 11. KIGWANYA

  Lowasa ana kwa ana na magufuli

  Leo hii mhe. Lowasa amekutana ana kwa ana na Rais Magufuli na huenda ameambiwa awashawishi wafuasi wa chadema wasiandamane ifikapo tar 1. Hii ni dalili nzuri kwamba wale walopanga uhuni wameshindwa
 12. KIGWANYA

  Mkuu wa mkoa wa Arusha Felix Ntibenda atumbuliwa

  Habari za hivi punde zinasema, uteuzi wa mkuu wa mkoa wa Arusha umetenguliwa na nafasi yake kuchukuliwa na Mrisho Gambo. Inaelezwa kuwa Ntibenda atapangiwa kazi nyingine. Je huku si kumtumbua taratibu? ni kweli atapangiwa kazi nyingine? tusubir tuone
 13. KIGWANYA

  Yuwapi Mansoor Yusuf Himid?

  habari wanabodi Huyu bwana tangu kutemwa CCM na baadae kujiunga na CUF amekua akionekana kwa nadra sana. Alionekana sanasana wakati wa kampeni kabla ya uchaguzi 2015 lakini baada ya hapo hayupo active. Au CUF wanambania? naona sana walio active kwenye CUF ni akina Jussa, Mazrui na wengine ila...
 14. KIGWANYA

  Maalim Seif ajibu tuhuma za kumsaliti Abdu Jumbe

  wanabodi, hakika wapuuzeni wote wanaodai kwamba maalim seif alimsaliti Abdu Jumbe kwani ukweli kamili huu hapa. Mwaka 1984, Rais wa Zanzibar, Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, na Makamo wa Pili wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Aboud Jumbe Mwinyi, alilazimishwa kujiuzulu katika...
 15. KIGWANYA

  Mtikila mpya afufuka ndani ya tundu lisu

  wanajanvi habari. Baada ya vituko na mikasa aliyokuwa akiifanya mchungaji mtikila ni dhahiri kwamba mikoba yake ameirithi tundu lissu. Tundu lissu ni mtu asiyetumia hekima hasa katika kuheshim mamlaka zilizopo amekuwa akifanya vituko ili tu ajinge jina lake bila kujua anajiaabisha mwenyewe...
 16. KIGWANYA

  Rais I an Khama, atangazwa kuwa mfano bora wa maRais duniani

  Hii, imetolewa na united nation world economic and social council. Kwa habari zaidi ingia hapa Botswana's Ian Khama Announced as World's Best President hii inasemekana kumpa nafasi kubwa kuwania ukatibu mkuu wa umoja wa mataifa baada ya ban ikiwa yeye mwenyewe atataka. Mytake; tungekuwa na ma...
 17. KIGWANYA

  Ukikosa cha maana usikae bungeni

  Inakuaje mtu ambaye umetumwa na wapiga kura wako unaingia bungeni na kuanza kutoa matusi na dharau badala ya kuchangia hoja. hivi ukawa nani hasa kawaroga? kaeni bungeni leteni hoja ili muisaidie nchi hii, kelele na dharau hazifai na hatuwezi kufikia lengo la tanzania ya viwanda na wachapakazi...
 18. KIGWANYA

  Kura ya kujiondoa EU ya Uingereza iwe funzo kwa Tanzania

  Habari wa jamii, Leo hii Uingereza imepiga kura ya kujitoa kwenye Jumuia ya Umoja wa Ulaya. Hii iwe funzo kwa nchi yetu tanzania kwenye hili linaloitwa Jumuiya ya Africa Mashariki. Nakumbuka kulipokuwepo na matatizo kati ya Tanzania na Rwanda nchi za Kenya, Uganda na Rwanda waliamua kufanya...
 19. KIGWANYA

  Mtanzania matatani kwa "kuselfie" na flight attendant

  Hivi ni ushambaa au kutokujua maadili ya watu wengine hebu soma hapa. Jamani tuache tutamani ma flight attendant tunaposafiri. ======= Dubai. A Tanzanian (name withheld), travelling on an Emirates Airline flight from Dar es Salaam to Dubai, was charged at a Dubai court today after he pulled a...
 20. KIGWANYA

  Baada ya Marekani Maalim Seif sasa atinga Canada

  Leo Maalim Seif amekamilisha ziara yake marekani na sasa anaelekea canada. Ziara hiyo ina nia pia ya kupeleka ujumbe kwa jumuiya za kimataifa kuhusu hali ya democrasia zanzibar na tanzania kwa ujumla hasa hasa uchaguzi uliofanywa octoba mwaka jana ambapo anadai kuporwa ushindi wake. Swali ni je...
Top Bottom