Search results

 1. de carter jr

  University Admission Results 2020

  Wakuu habari, Baadhi ya vyuo vimeanza kutoa matokeo kwa waliochaguliwa kujiunga na vyuo hivyo. Mfano chuo cha NIT na CBE sijajua kwa vyuo vingine hivyo login katika website chuo kwanzia leo mpaka tar 9 vyuo vyote vitakua tayari.
 2. de carter jr

  Offline payment App!

  Habari wakuu Kwa programmer yoyote anayeweza ku develop offline payment app kama Nala au mtu yoyote anaemjua developer anaeweza kazi hio Naomba anicheki Pm awe wa android ama iOS 🙏
 3. de carter jr

  Bodi ya Mikopo (HESLB) yafunga dirisha la maombi

  BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza kufungwa kwa dirisha la maombi ya mikopo kwa njia ya mtandao kwa mwaka wa masomo 2020 ambapo hadi kufikia leo Septemba 10, 2020 imepokea na kusajili jumla ya maombi ya wanafunzi 92,947. Heslb @TZMsemajiMkuu https://t.co/kSDZ5jmTVX
 4. de carter jr

  Msaada: Divison 3 Ya 15

  Wakuu Samahani, Kama kichwa kinavyojieleza apo juu. Kuna chalii apa kapata div 3 ya 15 yani ana CEF vp anaweza pata chuo asome degree au aanzie diploma
 5. de carter jr

  Kikomo Cha Kutuma Text (Ujumbe) Whatsapp:

  Mtandao wa kijamii wa WhatsApp umenuia kuweka ukomo wa utumaji ujumbe kwa wanachama wake na sasa si zaidi ya mara tano,(5) kwa lengo la kukabiliana na kuenea kwa habari za uongo kwenye jukwaa lake. Wakati whatsApp wakichukua hatua hiyo, tayari mtandao mwingine wa kijamii wa Facebook tayari...
Top Bottom