Search results

 1. L

  Ni wakati sasa Rais Magufuli kurudia mchakato wa katiba uliokwamishwa makusudi na CCM

  Saalam jf! Mods uacheni Uzi wangu tena msiunganishe na mwingine wowote please. WE DARE TO TALK OPENLY. Toka mwanzo wa kuingia madarakani Rais magufuli amekuwa akitamka Mara nyingi kuwa, 1. Mtetezi wa wanyonge na mlinzi wa raslimali za watanzania. 2 Tanzania ni tajiri,anataka iwe donor...
 2. L

  Rais Magufuli wembe uliotumbua rafiki yako Kitwanga,ugeuze upande wa pili umtumbue mkuu wa mkoa wa Morogoro

  Habari familia ya jf. Mh Rais,watu wa Kilosa watafurahi sana kama WEMBE ule uliotumia kumtumbua jipu KITWANGA ugeuze upande wa pili umtupumbu jipu mkuu wa mkoa wa morogoro Steven kebwe. RC huyu ni jipu linafurumia halihitaji WEMBE mkali maana liguswa hata na WEMBE ulotumika linapasuka Hivi...
 3. L

  Serikali ianzishe bima ya kilimo.

  Wana bodi saalam! Sekta ya kilimo ni muhimu sana kwa uchumi wa nchi yetu,lakini kwa bahati MBAYA sana serikali ya Tanzania imeitupilia mbali. Panahitaji mageuzi ya dhati na makubwa ktk sekta hii ili kilimo niwe na mkulima mmoja mmoja hadi taifa. Serikali inataki unatakiwa kufanya mambo matatu...
 4. L

  Lengo la kuanzishwa mabasi ya mwendokasi

  Wana bodi saalam! Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi,juu ya mradi huu wa mabasi ya mwendokasi bila kupata majibu sahihi. 1.serikali ilikusudi kuondoa foleni jijini DSM ili kuharakisha safari kwa wananchi,au kwa viongozi na wanaomiliki usafiri binafsi? 2. Kuondoa kero ya kujazana kweli...
 5. L

  Usafiri wa mwendokasi hauna tofauti na usafirishaji wa ng'ombe toka mikoani

  Habari wana jf! Adha wanayopata wasafiri jijini D'saalam kwakutumia usafiri wa mabasi ya mwando kasi,hauna tofauti sana na magari ya Ng'ombe toka mikoani. Kama afya mgogoro utakaa sana kituoni,na ukibahatika kuingia utapumua kwa kazi kubwa kwaajili ya mbanano. Kituoni unaweza subiri SAA nzima...
 6. L

  Siasa michezoni: Nchi za Afrika Mashariki karibu zote zimefuzu AFCON 2019. Je, kiwango cha soka ktk ukanda wetu kimeimarika au kuna kubebana?

  Wana jamvi saalam, ama baada ya saalam naomba tuyatafakari haya yafuatayo : Kabla ya mechi ya Jana kuna watanzania walibeza sana kamati ya kuhamasisha ushindi kwa mdai kwamba imekaa kisiasa badala yake kamati hiyo ingekuwa ya wanafamila ya mpira wa miguu,na hasa wachezaji wa zamani na wadau...
 7. L

  TMA yatumia kimbunga cha Msumbiji kuelezea hali ya hewa nchini

  Inafikirisha sana hii mamlaka ya hali ya hewa nchini. Ukame January hali ya mvua siyo nzuri, mamlaka haikutoa taarifa. Baadae walitoa taarifa kuwa mvua za masika zitaanza wiki ya kwanza March lakini leo imefika tarehe 22 bila mvua na bila taarifa ya TMA. Wiki moja baada ya kimbunga Msumbiji...
 8. L

  Kama Serikali haijali kilimo, kuna haja gani ya kuwa na Wizara ya Kilimo?

  Rais Magufuli, Rais wa wanyonge, watu tuna maswali mengi juu ya serikali yako. Kama serikali haijali sekta ya kilimo ambayo imeajiri wanyonge kwa 75% kuna haja gani ya kuwepo Wizara ya kilimo na umwagiliji? Tanzania tuna mito inayotiririsha maji mwaka mzima na mingine wakati wa masika. Wizara...
 9. L

  Uwepo wa mamlaka ya hali ya hewa (TMA)hakuisaidii nchi

  Wana jf saalam! Ningekuwa nikifuatilia utendaji wa mamlaka hii,sioni tija yake kwa taifa,ni heri ikafutwa ili kuokoa pesa za uma wa watanzani. Taarifa za hali ya hewa inazotoa haziendi sawa,wakulima nchini wanayumba. Hawajui wakati gani wafanye nini! Hivi sasa mamlaka hiyo IPO kimya kabisa...
 10. L

  Rais Magufuli, ni Serikali na chama chako ni tetezi kwa wanyonge na sikivu, au ni wewe mwenyewe tena peke yako?

  Jambo wote! Mods naomba nyuzi zinazoeleza matatizo ya watanzania, ni vema zikadumu humu kuliko kuzifuta au zikakaa kwa muda mfupi. Swali langu aweza jibu yeyote pia,ila yule mwenye uelewa mpana. Tunapozunguzia serikali ni lazima itokane na chama kilichoshinda uchaguzi mkuu. Toka ccm ishinde...
 11. L

  Sijawahi sikia Mkuu wa Majeshi akitoa tamko kwa mambo ya ndani ya nchi

  Mimi naamini kuwa WIZARA ya mambo ya ndani kupitia jeshi la Polisi ni chombo madhubuti kabisa kuhakikisha inakomesha uhalifu wowote utakaotoke ndani ya nchi yetu. Imenishangaza,Leo kusikia tamko la mkuu huyo huko njombe,nikajiuliza. 1, Jeshi la Polisi nimefika mahali limezidiwa na wahalifu...
 12. L

  Baraza la madiwani wilayani kilosa lapinga agizo la serikali la kukifuta kijiji cha mabwegere.

  Familia ya jf hamjambo? Toka nimeanza kuzifahamu siasa za Nchi yetu sijawahi sikia baraza la madiwani kupingana na serikali kuu ktk utekelezaji wa Majukumu yake isipokuwa madiwani wa Kilosa. Tarehe01/10/2018, Mh, Lukuvi alifika wilayani humo na kusoma maamuzi juu ya mgogoro wa vijiji vya...
 13. L

  Nimetega sikio kusikia mahojiano ya kamati ya Bunge iliyomuhoji Prof. Assad bila mafanikio

  Habari wana jf! Wakati CAG ameitwa kuhojiwa,tuliona jinsi CAG alivyokuwa akingia viwanja vya bunge,na jinsi alivyokuwa akivikwepa vyombo vya habari. Tukatazamia kuwa,atapotoka atatuambia kilichojiri, ikawa tofauti na tulivyotegemea badala yake alitupa boady language. Uso wake ulituambia jinsi...
 14. L

  Uchaguzi unakaribia: Watanzania tuwalinde wanetu; wanasiasa wameanza kufanya kafara

  Ni matumaini yangu familia ya jf hamjambo! Kila tunapokaribia uchaguzi nchi huingia kwenye Lindi la mauaji makubwa ya albino,watoto na umri mbalimbali. Unapokwisha uchaguzi na mauaji hukoma. Hii inatoa tafsiri kuwa wanasiasa wanao kwenda kugombea ni wahusika wakubwa wa mauajibhayo. Hivyo...
 15. L

  Baada ya kete zote kuliwa,kete ya mwisho iliyoingia king imeliwa hapo Ikulu

  Habari zenu wana jamvi! Katika kufuatilia kwangu siasa ya nchi yetu nimezifananisha na mchezo wa Draft. 2015 baada ya uchaguzi,watanzania tulitazamia kipaumbele cha kwanza cha mteule niMCHAKATO WA KATIBA MPYA ULIOISHIA NJIANI. Kwakuwa tulijua aliyeingia ni mpenda Sheria,maana tulimuona kwenye...
 16. L

  Nini kinawakuta wanaoitwa kwenye kamati ya maadiri na madaraka ya Bunge,yanayopita huko nayo ni siri za Serikali?

  Nimekuwa nikijiuliza hivi,hawa wanaoitwa kwenye hiyo kamati nini huwakuta huko? Maana wanapotoka mle ndani hubadirika sura na kuonekana hawana amani. Je tendo lile na yanayopita mle ni siri za serikali pia kama zilivyo siri za baraza la mawaziri na hulishwa kiapo wasiseme? Kwanini iwe...
 17. L

  Je, hii ni sahihi Waziri au Naibu Waziri anapofanya ziara?

  Hii inatokea maeneo mbali mbali ya nchi yetu, waziri au Naibu Waziri wanapofanya ziara za kikazi siku hiyo viongozi wote kuanzia ngazi ya chini mpaka mkoa,kwenda kumpokea. Wana acha maofisi na kazi siku hiyo zinafungwa. Kama haitoshi utakuta waziri ana mradi fulani mahali, katka kutekekeza mradi...
 18. L

  Mayai kutototolewa kwa kiwango mikubwa. Tatizo laweza kuwa ni Mayai au Incubator?

  Nimenunua incubator ya kutengeneza hapa ndani. Tarehe10/12/2018,niliweka Mayai tray 20 kwa Mara ya kwanza. Mwisho wa siku vimetoka vifaranga30 tu. Wajuzi nisaidieni,hapo tatizo ni Mashine au Mayai? Karibuni Sent using Jamii Forums mobile app
 19. L

  Waziri wa uchukuzi tafutia ufumbuzi tatizo la usafiri wa mabasi ya mwendokasi

  Heri ya mwaka upya2019. Wakati inajengwa miundombinu ya mwendokasi,tulitegemea kuondokana na kero ya usafiri kwenye jiji la Dars s msaalam. Serikali ikazuwia daladala kupita na kufika baadhi ya maeneo. Tofauti na tulivyotegemea,sasa hivi usafiri wa mwendokasi umekuwa kero mpaka wakazi wa Dar...
 20. L

  Rais Magufuli, kitendo cha kuminya Uhuru wa vyombo vya habari,Taifa linabomolewa bila wewe kujua

  Habari zenu wana jamvi! Mheshimiwa Rais, nchi hii toka Uhuru haikujengwa na Nyerere,Mwinyi,Mkapa na Kikwete peke yao. Ilijengwa na wananchi wote wakiongozwa na hao niliowataja hapo juu na Jwtz,jkt,Polisi,usalama wa taifa. Wahandisi,wakulima na wana habari,nk. Hawa wana habari walitoa mchango...
Top Bottom