Search results

 1. C

  Mwenziyo unanikosha!

  Mpendwa mwana Fulani, Kumbuka kuna korona; Nanianzia salamu, binti mwana Fulani Ingawa nina ugumu, ungali mwangu moyoni Kwangu weye ni muhimu, hujatoka akilini Kumbuka kuna korona, utulizane nyumbani Kipindi hichi kigumu, tulia mwana fulani Utoke kama muhimu, vinginevyo kaa ndani...
 2. C

  Ushairi: Ngoma yaanza Kudunda

  Kongole wetu Malenga; Kongole wetu malenga, utunzi wako mahiri Ukweli umeulonga, na fumbo hilo la siri Wengine wamejigonga, watazama editori Ngoma sasa inadunda, twahitaji wetu manju Kongole hii ni yako, ipokee mikononi Heko nyingi ni za kwako, kwa kubakia fanini Ninalitoa tamko, fumbo...
 3. C

  Mwenziyo unanikosha!

  Mpendwa Yakuonea (Mtani), Kwako weye penzi tata, kwangu miye nimependa Nahisia hujapata, ambaye unampenda Kwangu miye siyo tata, mtani nimeshapenda Kwako weye penzi tata, kwangu miye nimependa! Mtani unanihoji, mapenzi hujajulia? Sihataji hata jaji, mpenzi kumjulia Kupenda kama kipaji...
 4. C

  Kisa cha Mzuka Bungeni

  Karibu mkuu.
 5. C

  Kisa cha kofia Bungeni

  Kisa cha kofia bungeni 1 Kisa cha sasa kofia, kimetokea bungeni Na hoja aliitoa, akilalama bungeni Kwa kina kaelezea, kadharauliwa juweni Kisa cha kweli kofia, kimetokea bungeni! 2 Kakasirika jamaa, kajieleza bungeni Heshima kamvunjia, hajaelewa kwanini? Ni vipi amemvua, baraghashia...
 6. C

  BBC Swahili ni waharibifu wa kiswahili

  Hapa tusilaumu mtu, wa kulaumiwa watu wajua kiswahili na pia wataalam wa Kiswahili kwani makosa kama haya hawayakosoi. Wanakaa kimyaa tu. Pia kuna tatizo kubwa kwa Watanzania kutotaka kujituma na kuomba kazi sehemu kama BBC na kazi nyingi za kimataifa. Mnajua majirani zetu wanajituma sana na...
 7. C

  Kisa cha Mzuka Bungeni

  Kisa cha kweli mzuka! 1 Kisa cha kweli mzuka, ulipotajwa bungeni Ilikuwa heka heka, ninawajuza juweni Walihamaki mzuka, u wapi hapa bungeni? Ni mtihani mzuka, unapotajwa bungeni! 2 Aliposema mzuka, nawajulisha bungeni Siyo uzushi mzuka...
 8. C

  Mkapa: Najuta

  Nadhani anafikiria kuwa hatutakumbuka yaliyotokea, au aloyafanya! Nakumbuka kipindi hicho kils kitu kiliuzwa bei karibu na bure. Je twaweza kuvirudisha? Baada ya hopo ndiyo nilijitoa katika kuchangia siasa humu jamii kwani nilikuwa sielewi watu bado walikuwa wanamtetea ati analeta maendeleo...
 9. C

  KUFUNGA SIFUNGI, DAKU NITAKULA.

  Mpende hivyo alivyo Kupenda kweli upofu, mpende hivyo alivyo Na tena ni usumbufu, nasema ujuwe hivyo Mpende bila ya hofu, mpende ndivyo alivyo Kupenda kama upofu, mpende hivyo alivyo Ni mke na siyo jike, naomba unielewe Ala vyako pia vyake, mnapendana wenyewe Chakula chako ni chake...
 10. C

  Ikulu kuwe nyumbani

  Ikulu siyo nyumbani; Namtafuta tabibu, mwenye kupiga ramli Awezaye kunitibu, na kunijibu maswali Anipe pia sababu, zenye uzito kamili Namtafuta tabibu, anayejua ramli Mganga au tabibu, na pia mnyenye tunguli Nijuwe yalo nisibu, nikashindwa mara mbili Nikaupata ububu, kuvurugikwa akili...
 11. C

  Ikulu kuwe nyumbani

  Nawajulisha bungeni, na ninyi wa humu ndani Kinyag'nyiro nchini, na mimi nimo kwa ndani Ninazunguka nchini, mijini na vijijini Na mimi nimo kwa ndani, kinyang'anyiro nchini Na mimi nimo njiani, Ikulu kuwe nyumbani Nishaanza kampeni, nawajulisha juweni Tena sifanyi utani, dhamira ipo moyoni...
 12. C

  Korea Kaskazini yatoa ushahidi kuwa Marekani ndiye mwanzilishi wa Ebola

  Unajua siku zote nasema wa Afrika ni wavivu wa kutafakari na kufikiria (na watanzania ni mara kumi zaidi ya mwafrika wa kawaida kwa huo uvivu)! Na huu uvivu ndyo unasaabisha nchi zetu ziwe kama kichwa cha mwendawazimu, kila taifa la njeya afrika linakujakufanya majaribio yake
 13. C

  Vigezo vitakavyotupa Rais bora 2015 (Dini, Muungano, kipato, elimu, Katiba Mpya, wafadhili)

  Elimu au shahada za viongozi wetu zimekuwa mzigo wa taifa!! Wengi wao wapo mdarakani na bado wanasoma wakitafuta PhD nk. Je kazi wanafanya saa ngapi? Angekuwa elimu inasaidi hivyo basi Tanzania ingekuwa mbali sana kwani bungeni maprofesa na ma Dr kibao na utendaji wao wa kazi ni wa mashaka mashaka!
 14. C

  Ni kweli viongozi wetu wengi ni wagonjwa?

  Nice!, well said!! Mkuu, hapo nakupa tano!
 15. C

  Usongo wangu na kiswanglishi : Watanzania hatujakomaa kilugha- 1

  Hii imejieleza vizuri siona hata cha kuongeza hapa, Ahsante kaka Macha
 16. C

  Full mass nondo

  Kutumia maneno kama haya ni uzembe wa viongozi wetu kutumia maneno ya mitaani pasipo mahali pake. Kwa kiasi kikubwa viongozi wetu wanachangia sana kuharibu kiswahili chetu kwa kutumia maneno yasiyo na maana kama haya. BAKITA nao wapo hoi, hawawezi hata kutoa tamko au kukaripia upotoshwaji wa...
 17. C

  AMRI SUDI ANDANENGA "Sauti ya kiza"

  Huyu ni gwiji ambaye sidhani kama ana mpinzani nchini na pia Afrika Mashariki nzima. Kwa karibu sana ni kama Mzee Shaaban Robert. Tanzania hatujui kuenzi wataalam etu wa jadi, mara moja moja huwa wanamtumia tu wakitaka ulaji wa aina aina hapa na pale! Najua kuwa katika miaka kumi ijayo atatokea...
 18. C

  Kikwete: Watanzania punguzeni kasi ya kuzaliana!

  Mimi huwa sikubaliani na hili swala la kuwashauri watu wawe na watoto wangapi. Pia naona kama ni kasumba na ukoloni mamboleo! Mnajua hao wazungu wanaoshikia bango nchi za afrika ziwe na watu wachache wenyewe wapo wengi; mfano Marekani, Uingereza, Ujerumani nk, Kitu ambacho hawataki ni Dunia kuwa...
 19. C

  Ninatangaza msiba,mama amenitoka

  Pokea Pole; Muumba namtajia, jinale nikianzia Ni kwake tumetokea, na kwake tutarejea Punguza kaka kulia, machozi pia futia Ni kwake tutarejea, ni kwake tumetokea Habari nimepatia, wakati naperuzia "Bize bize" mimekua, kijiwe sijapitia Ni leo nimeonea, ni mama kakuagia Ni kwake tutarejea, ni...
 20. C

  Kiswahili kitamu kutoka congo

  Uchunguzi mwingi uliofanyika wa lugha ya kiswahili ulishaonesha kuwa wa Kongo ndiyo wanazungumza kiswahili asilia, kwani huko kwao ndipo kilipoanzia. Tofauti iliyotokea ni kuwa kiswahili cha pwani baadaye kiliingiza maneno mengi ya kigeni- hususan Kiarabu, Kireno, na Kijerumani na ndiyo...
Top Bottom