Search results

  1. P

    Mwenye kazi yoyote au connection anipe hapa Dar, aliyenileta nimeachana nae Kwa kutaka anishawishi niingie QNET

    Salaam wakuu! Mimi ni mwanachama mpya hapa JF! Nimekuja hapa kwenu kuomba msaada kama kuna mwenye kazi au connection popote anipe wakuu! Nina elimu ya darasa la Saba! Sikutegemea kuwa hapa Ila kilichonileta ni hiki hapa nakisimulia japo itaweza kuwa ndefu na pia pengine sitaipangilia vizuri...
  2. P

    Nafurahi Sana kuwa miongoni mwa wanafamilia wa hili jukwaa!

    Wasalaam wanajukwaa! Nimekuwa msomaji mkubwa katika hili jukwaa, Ila nimeona ni vema nikawa Mwanafamilia mwenzenu Rasmi. Naombeni ushirikiano. Natanguliza shukurani!!
Top Bottom