Search results

 1. Wangwambo

  Nimejaribu ku upload form na 2 na 5 kwenye account yangu ya HESLB nikirudi kuview form hazionekani

  Nimejaribu ku upload form na 2 na 5 kwenye account yangu ya HESLB nikirudi kuview form hazionekani. Ni wapi nakosea? Maana hizi siku za kufanya marekebisho naona zinakimbia balaa
 2. Wangwambo

  Kugenerate ripoti ya kila mwanafuzi ili kutuma kwa wazazi

  Wataalam naomba msaada wa mawazo, nimetengeza marksheet ya matokeo ya wanafunzi na nimefanikiwa kutengeneza report card ila changamoto ninayokumbana nayo report inaonekana ya mwanafunzi mmoja tu, lengo langu nilitaka report zote nizione kwa wakati mmoja tofauti na ile ya kuanza kucliki...
 3. Wangwambo

  Natafuta heat press machine

  Naomba kujuzwa wapi naweza kupata hii machine na bei yake " heat press machine" nataka niongeze ofisi kidogo,
Top Bottom