Search results

 1. C

  Kisa cha kofia Bungeni

  Kisa cha kofia bungeni 1 Kisa cha sasa kofia, kimetokea bungeni Na hoja aliitoa, akilalama bungeni Kwa kina kaelezea, kadharauliwa juweni Kisa cha kweli kofia, kimetokea bungeni! 2 Kakasirika jamaa, kajieleza bungeni Heshima kamvunjia, hajaelewa kwanini? Ni vipi amemvua, baraghashia...
 2. C

  Kisa cha Mzuka Bungeni

  Kisa cha kweli mzuka! 1 Kisa cha kweli mzuka, ulipotajwa bungeni Ilikuwa heka heka, ninawajuza juweni Walihamaki mzuka, u wapi hapa bungeni? Ni mtihani mzuka, unapotajwa bungeni! 2 Aliposema mzuka, nawajulisha bungeni Siyo uzushi mzuka...
 3. C

  Ikulu kuwe nyumbani

  Nawajulisha bungeni, na ninyi wa humu ndani Kinyag'nyiro nchini, na mimi nimo kwa ndani Ninazunguka nchini, mijini na vijijini Na mimi nimo kwa ndani, kinyang'anyiro nchini Na mimi nimo njiani, Ikulu kuwe nyumbani Nishaanza kampeni, nawajulisha juweni Tena sifanyi utani, dhamira ipo moyoni...
 4. C

  Shairi: "Kafata Nini Nchini?"

  "Kafata Nini Nchini?" Nawauliza wajuzi, myajuayo ya ndani Alipofika majuzi, akenda hadi chumbani Kama vile paka jizi, akivizia machoni Kafata nini nchini, kichaka huyo mwajua? Nawauliza magamba, kichaka kafata nini? Kafika huku atamba, akipepesa machoni Kakenua kama mamba, udenda u mdomoni...
 5. C

  Ukatili Huu; Apigwa kikatili na mume kisa ndama kufariki

  Nimeisoma hii habari imeniacha hoi!, ukatili kama huu sijui utaisha lini Tanzania, inasikitisha sana na wala haijapewa uzito unaostahili kwenye vyombo vyetu vya habari!!!:angry: "....Aliporudi tu kutoka katika pombe zake kitu cha kwanza kuniuliza ilikuwa ni wapi alipo ng’ombe wake, nikamwambia...
 6. C

  Kampeni Za Uchaguzi: Nasubiria

  Kampeni za manyanga, nesema zinanikera Wenyewe munazipanga, nasisi tunawachora! Mfano wenu wajinga, mwaonekana uchwara! Nasema munanikera, kwa vyenu vyote vimbwenga! Nasubiria novemba, ambapo zitapotea Mujitangaze umwamba, na suti kujivalia Kwa sasa mwaficha pamba, suti zenu asilia Najua...
 7. C

  Wenzio hao wahuni!

  Bwana Muro kaa sawa, wenzio hao wahuni Ndugu Jerry ota mbwawa, wajuwe uwa mjini! Dogo Muro watauwa, ingia zako mitini! Wenzio hao wahuni, tulia au ishia! Tena punguza jazba, tumia mbongo kichwani Utabebeshwa viroba, vya ushahidi makini Halafu ije dhoruba, uje ishia jelani Wenzio hao wahuni...
 8. C

  "Nataka niwe Fisadi!!!"

  Matamanio yangu (kuwa fisadi) Natamani, natamani, na mimi niwe fisadi Natamani, natamani, na mimi niwe zaidi Natamani, natamani, na mimi niwe kaidi Fisadi ama kaidi, nitawaliza wandugu! Kwa kuwaliza wabongo, nataka niwe fisadi Nije wapiga madongo, yaliyo ya kigaidi! Hata mkila udongo, majani...
 9. C

  Barack OBAMA

  Obama Barack mwana Obama, ushindi nakutakia Na pia uwe salama, hilo nasisitizia Najua si lelemama, kwa Mungu nakuombea Ushindi twakutakia, Barack mwana Obama Ushinde hiyo Novemba, wabaki wakishangaa Uingie kwenye nyumba, nyeupe ukipepea Najua utaukumba, ushindi kuunyakua Ushindi...
 10. C

  Amani nawatakia (wana JF)

  Wana Jambo Forum; Salama nawatakia, wenzangu wa humu ndani Nadhani mtapokea, salamu zenye amani Choveki naulizia, wenzangu mu hali gani? Amani nawatakia, wenzangu jambo foramu Nizitoazo muhimu, salamu toka moyoni Muondokewe magumu, moyoni pia vichwani Nasema pia mdumu, wenzangu...
 11. C

  Mwenziyo unanikosha!

  Mpendwa, Salamu natuma kwako, naomba uzipokee Nauliza hali yako, nataka nikujulie Barua hii ni yako, ujumbe uusikie Kwa pozi na maumbile, mwenziyo unanikosha! Binti Msemaovyo, mwenziyo unanikosha Siropoki hovyohovyo, na hilo nakujulisha Nasema ujue hivyo, sikwamba nimechemsha Kwa...
 12. C

  On Tarnishing Tanzania;- A US student Sexual harassment

  Baada ya kusoma ile ishu ya mmarekani chuo cha sanaa nimeona nipost hii inayohusu University of Dar es Salaam na sexual harassment ati wazipatazo wanadada: Sijui kama kuna ukweli au vipi, ila huyu mwanadada mmarekani anasema kweli yamemtokea. Kwa kifupi tu soma hapa; "....When Rachel...
Top Bottom