Search results

 1. M

  Maswali magumu juu ya ujio wa Lowassa UKAWA

  Wadau heshima kwenu, Nitangulize kwa kusema kuwa mimi ni mdau wa ukawa na namini kuwa kwa tafiti zote zilizofanyika kabla ya uchaguzi huu kwa maana ya namba zinadhihirisha kuwa kwa ujio wa Mhe. Lowassa ushindi kwa ukawa si jambo la kuwa na mashaka kutokana na namba zilizowahi kutolewa. Maswali...
 2. M

  M4c kweli imepata kasi ya kutosha arusha

  Katika hali ambayo haikutarajiwa wanawake ambao siku zote wamekuwa wakipokea kanga na kofia kipindi hiki wamegoma na kusema hawatachukua kanga wala kofia na kuamua kuanza kuvaa mavazi yenye rangi za chadema,scarf za chadema na wamenda mbali hata rangi za kupaka kucha zao pia ni rangi ya chadema...
 3. M

  Wanajf msaada wa matibabu unahitajika kwa kijana huyu

  Heshima Kwenu wote! Kwa imani niliyonayo humu ndiko kuna waungwana na wazalendo wengi zaidi, Katika kupitia gazeti la mwananchi nimekutana na habari hii hapa chini na ikanigusa sana nikafikiria niwashirikishe na wenzangu pia na sina hakika kama kuna baadhi yetu ameileta huku na kama imefika...
 4. M

  Jeuri Ya Mwekezaji Kuzuia Kamati Ya Bunge Inatokana Na Nini?

  Wabunge wamechachama kwa kamati ya bunge kuzuiwa na mwekezaji kuingia katika Hoteli yake. 1.Nini kinampa kiburi mwekezaji kuwa na Jeuri kama hii? 2.Je kuna mapungufu kwenye mkataba aliowekeana na serikali yetu? 3. Ama ni viongozi wetu kuwa karibu na wawekezaji karibu kuliko kawaida...
 5. M

  Msekwa Atoboa siri ya Butiama

  Katika hali isiyokuwa ya kawaida Mzee Msekwa akiwa kwenye mjadala uliendeshwa na TBC1 kuhusu swala la Mwafaka wa Zanziba. Mzee Msekwa alijikuta ukweli juu ya yaliotokea Butiama ukitoka wenyewe na kama kawaida ya ukweli huwa unatabia ya kutoka wenyewe ukizuiwa kwa mda mrefu. ''Baada ya kubanwa...
 6. M

  How To Creat A Website

  Jambo wote! Napenda kuuliza namna ya creat website?
Top Bottom