Search results

 1. Source07

  Wa Kenya nisaidieni katika hili lakutuma pesa Tanzania kutoka Safaricom Kenya

  Assalam Kama kichwa Cha habari kinavyosema nahitaji msaada wenu kwenye kuweza kutuma pesa kupitia Mpesa Safaricom kwenda Mpesa Vodacom Tanzania maana kwenye menu hiyo service haipo hivyo kumfanya sender(yupo Arabuni lakin anatumia Safaricom)kushindwa kukamilisha transaction hivyo msaada wenu...
 2. Source07

  CCM mmeridhika sasa? Bodi ya ligi ya tanganza kuufunga uwanja wa BMW kwa muda usiojulikana!

  Leo hii bodi ya ligi nchini(TPBL)imetangaza kufungia UWANJA wa Benjamin Mkapa kwa muda USIOJULIKANA hadi hapo matengenezo yatakapo kamilika..hivyo mechi zote za msimu2020/21 zilizopangwa kuchezewa hapo zimehamishiwa UWANJA wa UHURU "Shamba la Bibi"...Aidha pia bodi imeufungia UWANJA wa JAMHURI...
 3. Source07

  Tafadhali kwenye hili neno kwa kingereza litakua linaitwaje?

  Naombeni kujuzwa hivi Mtendaji wa Kijiji anaitwa nani kwa kingereza
 4. Source07

  Wazee na wanamichezo njooni tulizungumzie hili kidogo

  Heshima kwenu wapenzi wafatiliaji wamichezo na wanamichezo kwa ujumla! Moja kwa Moja niende kwenye hoja yangu. Hivi karibuni kama wiki3 zilizopita tulishuhudia kuona uliyokua uwanja wa Taifa ukibadilishwa jina kwa ajili ya kumuenzi Hayati BMW kwa Amri ya Mh. Rais hivyo uwanja huo ukaitwa...
 5. Source07

  Naombeni ufafanuzi juu hili swala kuhusu ULTRASOUND!

  Habari zenu wanabodi! Mojakwamoja niende kwenye jambo langu linalonitatiza mpaka nikaona bora nililete kwenu kwa maana nina amini kwenye msemo unaosema "problem shared problem solved"! Hivyo basi wanabodi ningependa kujua machache kuhusu hii mashine ya ULTRASOUND kwenye ufanyaji kazi yake ikiwa...
 6. Source07

  Makocha waliojijengea "image"na Timu zao kwa muda wote!

  Kwenu wanamichezo...kunawakati hufika ukiwa unamiliki kitu basi kile huenda na kubeba taswira yako..kiasi hata mtu mwingine akikiuona maramoja huona image yako..na ndipo unaposikia mtu akisema hichi kimefanana na ww..iwe gari,viatu au hata simu.. Hivyo hali hiyo hiyo imejijenga ktk timu mbali...
 7. Source07

  Conbell yamfungia Messi miaka 2!

  Kufutia "comments" alizozitoa mshambuliaji wa FC Barcelona na Timu ya Taifa ya Argentina, Lionel Messi,kwenye mchezo uliowakutanisha Argentina na Brasil Kwenye mashindano ya COPA AMERICA chama cha soka kinachosimamia mashindano hayo kimemfungia Messi kuchezi mashindano yote yanayoshirikisha...
 8. Source07

  Taifa stars Yakabidhiwa JOSEPH OMOGI!

  Baada ya Tff kuachana na Ammunike kama kocha mkuu wa Timu ya Taifa,kocha wa muda amepatikana nasasa aliyewahi kua kocha wa Azam fc na Simba Sc, raia wa Cameroon, Joseph Omogi amekabidhiwa jukumu lakuinoa Timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa stars! Omogi ataanza rasmi kuionea timu hiyo mwezi huu,huku...
 9. Source07

  TFF yamtupia virago kocha wa Taifa Stars!

  Taarifa za kuaminika zinasema kua kufatia matokeo mabaya walio yapata Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars katika Fainali za Afcon,zimetosha kua sababu za kumfuta kazi kocha Emmanuel Ammunike..Sababu zingine zakumfuta kazi kocha huyo zikiwa nikutafuta kocha atakae weza kuifanya Stars kuweza...
 10. Source07

  Naombeni ufafanuzi juu ya "Citation" ya hizi Case!

  Habari kwenu wasomi na wabwebwezi wa sheria! Moja kwa moja niende kwenye shida yangu..nimekua nikifahamu makosa au case za jinai zinaendeshwa na Jamuhuri hivyo zinakua ktk mtindo huu..MF:Juma V/s R..lakin basi nimekua nachangamoto ya kuelewa nikatika mazingira gani case zinaweza kua na citation...
 11. Source07

  Ukweli ni mchungu na Ukweli ni usemwe...

  Kwenu wanabodi! Tangu Rais avunje mkataba wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo kwa kile kinachodaiwa kuwa ni mkataba mbovu ambao tungeishia kuona tunaliuza Taifa kwa wachina basipo kujua Lakin basi kuna ukweli ambao unafichwa,unafichwa kwa kile kinachoitwa Uzalendo wa Mh.Rais! Hapana huu ukweli...
 12. Source07

  YANGA ifike wakati iwaheshimu SIMBA!..

  Yanga msimu ujao watashiriki mashindano ya kimataifa na hii inatokana na SIMBA kufanya vizuri hivyo kuweza kuipatia nafasi yakushiriki Yanga.. Yanga ili kushiriki mashindano ya kimataifa ilikua ni kupitia kushinda kombe la shirikisho na ambalo leo wametolewa hivyo kwanjia hiyo haiwezekani...
 13. Source07

  Muandamo wa Mwezi

  Assalam Aleykum. Ningependa kuwafikishieni Waislam na Waumin wote kua Mwezi umeandama na kuonekana huko Kenya ktk Kaunti ya LAMU maeneo ya Hola,Mikinduni..na kuthibitishwa na Kadhi mkuu wa Kenya,hivyo basi kesho Insha Allah ni swaum ya kwanza ya Mwezi mtukufu wa Ramadan Wabbillahi Tawfiq...
 14. Source07

  Jinsi ya kufika Magoroto Forest

  Kwa Wale waenyeji wa Mkoa wa Tanga ningependa kunijulisha nawezaje kufika Magareto Forest mimi sikuwahi kufika Tanga na ninaelekea huko kwa Semina ya Wiki 2. Natanguliza shukrani zangu za dhati
 15. Source07

  Harmonize x Jah Prezah-Ndoenda..

  Harmonize ameachia hit song amefanya vizuri kwambali inaonekana ile chemistry yakuapamoja na international Artist hapa nikimaanisha Jah Prezah..Huyu jamaa alifanya Collabo na Mondi-Watora Mari.. Harmo amefanya vizuri ila ukiisiliza hii nyimbo utagundua vinanda vilivyotumika vimekua pasted kutoka...
 16. Source07

  Msaada wa Kisheria

  Mimi ni entrepreneur nimeanzisha mradi wangu wa ufagaji na uzalishaji wa kuku kwamaana nafuga kuku na kwa wale wanaohotaji vifaranga nawazalishia pia..Ila nimepatwa na changamoto moja nimepata watu ambao wanahitaji wajiunge wawe kama washirika(Partners) ktk huu mradi wangu lakin sujui jinsi...
Top Bottom