Search results

 1. Thefreedom

  Je, kuna game kali lingine kama hili#Cover strike?

  Noma sana NOVA 3 near orbit vanguard alliance
 2. Thefreedom

  Je, kuna game kali lingine kama hili#Cover strike?

  Unajua bro kwann nimesema NOVA3 ni kali ?? Pubg lina constant mission yani unajua kabisa nikifika sehmu fulan kuna adui au kuna kitu fulan Ila hio haipo kwa nova 3 yani hilo game kama ulipita jana ukakuta sehmu fulan labda kuna snippers wa kiarabu kesho huwakuti yani unawinda na una windwa...
 3. Thefreedom

  Je, kuna game kali lingine kama hili#Cover strike?

  Wewe game kali na zinachallange ziko nyingi sana Umecheza NOVA 3 orbit version Hilo game ni kaliii yani kama muvie vile ! Kiukwel nalipenda kwasabab mission ziko nyingi na challenge za kutosha , snipers na nk Watch demo hapa
 4. Thefreedom

  iPhone ni kama gereza la kifahari. Ni kwajili ya fasheni tu, hutaweza kufanya vitu muhimu vifuatavyo...

  Uzuriii naipenda kwasabb naweza pia nika access vps server zangu zote
 5. Thefreedom

  iPhone ni kama gereza la kifahari. Ni kwajili ya fasheni tu, hutaweza kufanya vitu muhimu vifuatavyo...

  Me huwaga natumia Document na download takataka zoteeee then nazimove kwneye itune music
 6. Thefreedom

  iPhone ni kama gereza la kifahari. Ni kwajili ya fasheni tu, hutaweza kufanya vitu muhimu vifuatavyo...

  Hahahahaha umeongea vizr !!!! Na ni ukwelii me natumia iphone sijaona kitu ambacho nilikuwa nafanya kwenye android nikashindwa services zangu ziko vile vile .... sema th ndo nafurahi hii platform yao na mfumo endesha ios 13 na 14 ziko poa sana very smooth
 7. Thefreedom

  TTCL wameondoa kifurushi cha usiku

  Hahahahhaa kiukwl sijawahi pata upuuuzi kama niliokuwa nauona kwenye tigoooo na halotel wako vzr sana speed ni [emoji91]
 8. Thefreedom

  TTCL wameondoa kifurushi cha usiku

  Nimehama halolel nw niko zantel yani mpaka najiona falaa kwann sikuhamia zantel mda wote natumia halotel Zantel wako vzr sana kuanzia bando mpka speeed yao
 9. Thefreedom

  Apple: Wameshindwa au hawajui hii weakness kwenye simu zao

  Wewe jamaaa bana unajua lazima useme au uweke madhara ndo uje useme kama hizo issue mbili ni hatar kwa users Toa kwanza effects!!!! Hao apple wenyewe wanajua sana ilo swala ila wameona huwez fanya lolote la kutibua data za user. Na sio apple tu hadi androids nyingi wameweka hio kitu
 10. Thefreedom

  Powerful encryption, every hacker, pentestER, researchers must know (bypass all antivirus)

  Sijakaaataaaa ila sasa anaglia kejeli za kwanza alizokuja nazo .... mtu kama kwenye uandishi kakosea unamwambia bana sehemu sio andika hivoo lakn yeye kaja kwa style ambayo ni wazi ni kucrash uzi mzima .... unajua umu kuna begginer wengi sasa watajifunza nn kwenye uzi kama wewe umeucrush ...
 11. Thefreedom

  Powerful encryption, every hacker, pentestER, researchers must know (bypass all antivirus)

  Mjinga huyo ... achana naye . Yani as computer security crash mtu alafu toa yako wewe valid .... usiwe mdomo mwingi
 12. Thefreedom

  Powerful encryption, every hacker, pentestER, researchers must know (bypass all antivirus)

  Yani ungekuwa wa maaana mda unaotumia kukejerii hapa ungetuma hizo assumptions zako kwamba hiki hakiwezekan fanya hiki watu wengine wapate manufaaa sio unakuja unakurupuka mcrash mtu kwa facts sio maneno mdogo wangu
 13. Thefreedom

  Powerful encryption, every hacker, pentestER, researchers must know (bypass all antivirus)

  Weee jamaaaa unachekeshaa sana ...... nmekupa like unyamaze maaana unaongea snaa Alafu umesema umeniblock sasa umerud kufanya nn Hahaha hizo cryptcrrncs ndo unahisi umemaliza hapo !!? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Mzeeee weee endelea tu mambo yako ... NIMEKUBALI NITARUD...
Top Bottom