Search results

 1. S

  Ombi kwa Rais Mwinyi: Wakumbuke Masheikh wa Uamsho ambao wanateseka huku familia zao zikiishi kwa shida

  Nchi hii inayo mahakama everyone is innocent till proven guilty by the court of low sio bla bla
 2. S

  Wapiga debe 30 wakamatwa stendi ya Magufuli

  Ukitaka kutawala milele jenga jamii ya watu wajinga na masikini. Kupiga vita umasikini ni kuongeza Wigo wa ajira. Kuongeza umasikini ni kubana mianya ya ajira. Baada ya wauza change kwenye daladala na wapiga debe Kifuatacho ni nini? Sisi tunasema sio Mitano tena ni milele kabisa tafadhali.
 3. S

  Rais Magufuli aagiza wastaafu Polisi kulipwa, asema wanaowacheleweshea haki ni wakubwa wao wanaokaa kwenye viyoyozi

  Sio Mitano tena ni milele kabisa tafadhali. Uchumi wa kati.... Nchi hii ni tajiri sana.... Au nasema uongo ndugu zanguuuuu.... Unayajua mavieitee wewe... Sisi tunatembelea mavieitee... Wakati wanaumuza wapinzani walitegemea nini??? Mimi naona wasilipwe kabisa maana mapolisi Ndio wamewaweka hao...
 4. S

  Majibizano kati ya Askofu Mwamakula na Profesa Lwaitama

  Mkuu masheikh wengi wamekamatwa kipindi hiki kuliko hao wa uamsho Na wale wa uamsho walikamatwa na SMZ kabla lakini sio JMT Na kesi zao zilikua zinaendelea jamaa alivyoingia amelazimisha kesi zisimame ili wafie jela Hakuna mtu anataka waachiwe Bali tunataka shauri Lao lirudishwe kortini Ndio...
 5. S

  Majibizano kati ya Askofu Mwamakula na Profesa Lwaitama

  Kuna masheikh walifungwa wakati wa nyerere. Wakati wa mwinyi. Wakati wa mkapa. Hakuna wakati wa kikwete isipokua wale wa uamsho lakini walikamatwa na SMZ sio JMT NA Kwa sasa Ndio masheikh wengi sana wanakamatwa wakati wa utawala huu wa Magufuli halafu hakuna tena kesi kusomwa mahakamani Wakati...
 6. S

  Majibizano kati ya Askofu Mwamakula na Profesa Lwaitama

  Heri wao waseme ingekuwa ni mashekh hadi sasa wangekua jela kwa kosa la ugaidi.
 7. S

  Ombi kwa Rais Mwinyi: Wakumbuke Masheikh wa Uamsho ambao wanateseka huku familia zao zikiishi kwa shida

  Mkuu waliletwa bara kwa ajili ya kusikilizwa tuhuma zingine za kubambikuzwa na walikua wanaripoti mahakamani na kulikua kuna dalili za kushinda kesi zote Lakini join alipoingia akaamrisha kesi zisiendelee kwa sababu ya chuki yake kwa waislamu Mpaka leo Hakuna mtu anasema waachiwe Bali tunataka...
 8. S

  Ombi kwa Rais Mwinyi: Wakumbuke Masheikh wa Uamsho ambao wanateseka huku familia zao zikiishi kwa shida

  Hata Kama kuna beberu aliuawa tunataka ushahidi sio eti kwa sababu wale ni masheikh na ni viongozi wa kiislamu Ndio itumike dini yao kuwatesa Kweli walikamatwa na SMZ kabla lakini walikua wakupelekwa mahakamani na kesi zao zilikua zipo kwenye hatua ya hukumu lakini aliposhika haramu mtu mwenye...
 9. S

  Ombi kwa Rais Mwinyi: Wakumbuke Masheikh wa Uamsho ambao wanateseka huku familia zao zikiishi kwa shida

  Nimesema sana wapo waliokamatwa kabla ya yeye kua Rais Lakini walikua wakupelekwa mahakamani na hukumu yao ilikua inakaribia Lakini alivyo shika haramu na kutokana na chuki alivyokua nayo kwa waislamu na uislamu akaamrisha hizo kesi zisimame na wafie mahabusu Hivi karibuni viongozi wakuu...
 10. S

  Vita dhidi ya ugaidi inavyotumika kudhulumu Waislamu

  Sio waislamu wote wanampenda wala sio wakristo wote wanamchukia mfano kule Korea kaskazini kwa sababu ya uadui wao na Marekani wengi wanamuona kama shujaa Hapa Tanzania pia kuna wakristo wanampenda Osama Kwa hio hili ni jambo la mtazamo binafsi
 11. S

  Tanzania Kwenye Vyombo Mbalimbali Duniani

  Tatizo limeanza tangu tuingie Uhuru wa kati nchi nyingi zinatuonea Gere haswa mabeberu Sisi tunasema Sio Mitano tena ni milele kabisa tafadhali.... Uchumi wa kati..... Nchi hii ni tajiri sana.... Au nasema uongo ndugu zanguuuuu... Hivi mabeberu Wanayajua mavieitee???? Sisi tunatembelea...
 12. S

  Wanafunzi Shule ya Msingi Namalombe wasomea chini ya mkorosho

  Sio Mitano tena ni milele kabisa tafadhali.... Nchi hii ni tajiri sana.... Uchumi wa kati.... Au nasema uongo ndugu zanguuuuu.... Hapa kazi tu.... Unaijua vieite wewe?? Sisi tunatembelea mavieitee!!!
 13. S

  Ombi kwa Rais Mwinyi: Wakumbuke Masheikh wa Uamsho ambao wanateseka huku familia zao zikiishi kwa shida

  Hakuna padre kauawa ni uongo kama ni kweli mbona walishindwa kuthibitisha mahakamani?
 14. S

  Wananchi Mikoa ya Kusini wapo hoi bin taaban kiuchumi. Ni baada ya uporaji wa KOROSHO zao 2017

  Sio Mitano tena ni milele kabisa tafadhali.... Hapa kazi tu.... Uchumi wa kati..... Nchi hii ni tajiri sana.... Au nasema uongo ndugu zanguuuuu.... Unaijua vieite wewe... Sisi tunatembelea mavieitee
 15. S

  Vita dhidi ya ugaidi inavyotumika kudhulumu Waislamu

  Hata farao kuna watu wanampenda Huyo Osama kama kweli alikua gaidi au la hamna uhakika September 11 kuna wataalamu wa Kimarekani wanasema ilikua ni inside job Jaribu kusoma makala ya September 11 conspiracy
 16. S

  Ombi kwa Rais Mwinyi: Wakumbuke Masheikh wa Uamsho ambao wanateseka huku familia zao zikiishi kwa shida

  Kwani kanisa ni6nini Ni mtu au kiongozi mwenye roho ya ki Shetani au mtu ambae anapinga watu wa dini
 17. S

  Ombi kwa Rais Mwinyi: Wakumbuke Masheikh wa Uamsho ambao wanateseka huku familia zao zikiishi kwa shida

  Je ni muislamu? Mbona Vatican kuna Misikiti Wazungu wengi siku hizi hawaendi tena kanisani wala hawana dini Chuki za kidini na kikabila mtabaki nazo nyie
Top Bottom