Search results

 1. P

  Tatizo la LUKU limerudi tena

  Ni siku ya pili sasa kuna tatizo kubwa ya Luku. either kwa kununua kwa njia ya mitandao ama kwa wakala wao. Waziri mpya tulijua umeingia kuongeza kasi kumbe mambo ni yale yale...
 2. P

  Baada ya uteuzi wa Stagomena Tax, ni wazi Prof. Kitila Mkumbo anaenda na Maji

  Wizara ya Viwanda na Biashara apart from Dr. Abdalla Kigoda, Na Dr. Chami ni wazi haijapata mtu sahihi. Hasa awamu ya tano na sita. Kwa awamu ya tano, Mh. Mwijage zile kelele zake za kuanziasha viwanda alionekana bora. ila baada ya hapo wizara haijapata mtu sahihi na makini kabisa. Prof...
 3. P

  Kwa utendaji huu ukimlinganisha na Hayati Magufuli, ni busara Rais Samia asigombee 2025

  Labda wengine mnajua, ila binafsi tunashindwa kuelewa nchi inaelekea wapi. To be honest, licha ya mapungufu yake kama Rais JPM nchi ilikuwa na direction. JPM alifanikiwa kuweka direction ya nchi ikiwa ni pamoja na mkazo katika sector kadhaa ambazo alizisimamia ipasavyo. Ila sasa sijui nchi...
 4. P

  Uteuzi wa Wakurugenzi unafanyika lini? Mambo mengi yamesimama Wilayani

  Ni muda sasa mkeka wa Ma-DED unasubiriwa ili mambo yaende huku Wilayani na kwenye Halmashauri. Kila kitu almost kimesimama. Wengi wao hawana uhakika, hivyo hawashindi vituoni bali wanaenda Dodoma kila mara. Nilikuja kufatilia mambo fulani katika moja ya Wilaya "Mkoa kanda ya ziwa" ni wiki ya 3...
 5. P

  Wanaotajwa kurithi mikoba ya Katibu Mkuu UVCCM Taifa Raymond Mangwala

  WANAOTAJWA KURITHI MIKOBA YA Katibu Mkuu UVCCM TAIFA (SG) Raymond Mangwala Baada ya uteuzi wa viongozi wakuu wa UVCCM - Taifa kupewa UDC. Chombo hicho kimebaki bila uongozi wa juu. Ukiachilia suala la Mwenyekiti wake Kheri James ambaye alichaguliwa kwa kura kupitia Mkutano mkuu, UVCCM kwa sasa...
 6. P

  Rais Samia Mulika DAWASA, CEO wao hana uwezo, Wakandarasi na Wazabuni muda mrefu hatujalipwa

  Moja ya shirika linalohitaji reshufle kubwa sana ni DAWASA. watendaji wamezoea kufanya kazi kwa mazoea. CEO wao ndio usiseme. Hana uwezo, anaishi kwa mazoea ya awamu ya tano.... kisa he was favorite Zaidi ya wakandarasi 20. Wazabuni 14 wanaidai shirika hilo toka December mwaka Jana. na wengne...
 7. P

  Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu, Dkt. Bashiru Ally unasumbuka sana. Rais Samia tarehe 30, Aprili atashinda kwa asilimia 100%

  Dr. Bashiru juhudi zako unazofanya za chuki na hasira dhidi ya Rais wetu mpemdwa tukwambie tu unasumbuka sana. CCM ni chama chetu, Tumekulia ndani ya CCM, tunazijua tamaduni zetu, tunazijua saisa za rough na nzuri za CCM. Tunakuhakikishia tu kuwa Rais Mama Samia Suluhu tunaenda kumpa Uenyekiti...
 8. P

  Waziri Mkuu, kuwa Makini sana na Waziri Mwambe

  WAZIRI MKUU MAJALIWA, KUWA MAKINI ZAIDI NA WAZIRI MWAMBE. AMEJAA KIBURI, CHUKI, NA MPENDA RUSHWA Katika mabadiliko madogo aliyoyafanya Rais wa JMT Mh. Samia Suluhu Hassan alimtoa Mwambe kwenye wizara ya Viwanda na Biashara na kumbadilisha na Prof. Kitila Mkumbo, ambapo Mwambe akahamishiwa...
 9. P

  Askofu Shoo (KKKT): Viongozi wote waliokuwa VIFUTU kipindi cha Magufuli basi wajiandae kuondolewa

  #HABARI Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Frederick Shoo amesema wale wote waliokuwa wanajifanya vifutu, kwa sasa chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, wakae mguu sawa, wakae tayari. NB: Kwa kusaidia niwataje tu vifutu ili kumraisishia Rais wetu kazi...
 10. P

  Kuhusu walinzi wa Hayati Magufuli, Ombi kwako Rais Mama Samia Suluhu

  Hawa Walinzi wa Aliyekuwa Rais wa JMT Hayati John Pombe Magufuli wamefanya kazi ya kutukuka. Wamefanya kazi kwa ueledi na ufanisi Mkubwa. Leo mpendwa wao na boss wao katutoka... Kwa namna walivyofanya kazi tunaomba uendelee nao ama waende kwa Makamu wa Rais ajaye. Tuwape fursa zaidi kwa kazi...
 11. P

  Kuelekea 2025, Hii ndio safu Mpya tunaypoitaka CCM baada ya Dkt. Bashiru kuondoka

  Kwa siasa za sasa ni dhahiri tunahitaji Katibu Mkuu anayekijua Chama from the scratch. Aliyekulia ndani ya Chama na aliyepikwa ndani ya Chama. Tumeona madhara ya kuchukua watu juu kwa juu. Ndio maana sasa tunatumia jukwaa hili kushauri namna mpya ya kusuka Chama Cha Mapinduzi. Kwa kuteuwa watu...
 12. P

  Bora Katuachia Chama Chetu, Aliumiza watu wengi sana na alizidisha matamko yasiokuwa na Tija

  CCM mara zote ina tamaduni zake. Usipojua tamaduni hizo basi utaishia kuwa mtu wa matamko tu. Katika Makatibu Wakuu waliopita wa CCM Dr. Bashiru ndio naweza kusema ame-underperform. Kwake yeye alifikiri kuumiza wanachama na viongozi ndio kuperform. Kaumiza watu sana, alizidisha matamko yasio ya...
 13. P

  Baraza la Mawaziri Rais Magufuli liunde haraka, huna muda kama awamu ya kwanza, umebakiza miaka 4 tu

  Rais wangu mpendwa naomba ukiona inafaa nikupenyezee ushauri wangu. Yawezekana wasaidizi wako wanaogopa kukushauri.... Kama mwananchi na mdau wa maendeleo kuna mambo mengi sana yanekwama huku katika wizara since July mchakato wa kura za ndani CCM ilivyoanza basi mawaziri wakawa vey much busy...
 14. P

  Uchaguzi 2020 Nchi imeamka ikiwa na huzuni kubwa sana, Kwamba wabunge wote Bara 100% wameshinda wa CCM

  This is too much. Hata sisi wana-CCM hatujafurahia. Level ya ubunge ngoma ingeachwa fair at least tukawapata wabunge cream kutoka na upinzani. Ambao kwa ukweli wamekuwa na mchango mkubwa sana sana toka 1992. Leo hii tunaingia kwenye bunge ambalo wabunge wote ni CCM 100%kutoka bara. Labda wa ACT...
 15. P

  Uchaguzi 2020 Nchi imelipuka, kila kona, kila sehemu naona ni Tundu Lissu

  Zikiwa zimebaki siku 3 kabla hatujaingia tarehe 28.10.2020 siku ya kufanyika kwa uchaguzi Mkuu Tanzania, nadiriki kusema kuwa nchi naona inamtaka Lisu. Nimezunguka Mikoa 25 ya Bara na 3 ya Zanzibar, nimepita kila pembe ya nchi. Nimezunguka vijijini sana na kila kona ya nchi hii kwa shughuli za...
 16. P

  Uchaguzi 2020 Rais Magufuli 28/10 tutakupa kura. Kama haya hayatafanyiwa kazi tutakutana tena 2025

  Kampeni za Lisu zimekushtua na zimeishutua CCM kuwa wananchi wengi hawakuridhika na namna ulivyoongoza katika kipindi hiki cha awamu ya kwanza. Tumekaa na kufikiria tumeona tukupe kura as the last warning kwa CCM. Kama haya hayatafanyiwa kazi basi 2025 CCM isihangaike hata kuweka mgombea. 1...
 17. P

  Alhaji Sheikh Ponda: Game Changer kwa kura za Waislamu

  Nidiriki kusema mchezo umeisha na CCM tumeliwa hadaharani.... Ingizo la Sheh Ponda katika kampeni za Lisu ni total disaster kwetu CCM.... Kwa ratiba ya Lisu niliona jana ataenda huu ukanda wa Kibiti, Rufiji, Lindi, Mtwara na Ruvuma pia.... Huko kwa Waislamu Sheh Ponda ananguvu kama ya Tsunami...
 18. P

  Uchaguzi 2020 CCM Halisi, tarehe 28 Oktoba tukaoneshe kwamba hatukupendezwa na wahamiaji ku-control Chama

  CCM kwa nje tunaonekana tuko wamoja na wenye upendo na Wagombea wetu. But ukweli ni kwamba moyoni mwetu tuna mambo ambayo tumeyaweka. Kwa hiki kipindi miwili hatukuridhika namna Chama kilivyoendeshwa. Wageni kama Katibu Mkuu na Polepole wamekuja na kukivuruga Chama kabisa. Wakamdanganya Bwana...
 19. P

  Uchaguzi 2020 Amani Golugwa na Ally Bananga wameonesha umahiri mkubwa kwenye kampeni

  Mpaka sasa CHADEMA na team mzima ya Lissu imeonyesha umahiri mkubwa katika cordination na organization ya kampeni yao. Golungwa na Ally Bananga kama Ma-kampeni Manager wameonyesha uwezo mkubwa sana! Wako well calculated, organization yao iko very perfect, na Cordination yao is much super. This...
 20. P

  Uchaguzi 2020 Kufa kwa Sekta Binafsi na Makampuni ya Ujenzi ya ndani ndio kunanifanya nimpe kura Lissu

  Mpaka 2015 private sectors zilikuwa zinashamiri. Jakaya aliacha mazingira mazuri na bora kabisa kwa sekta binafsi kukua na kuboreka. Ila tokea 2016 makampuni ambayo idadi yake haijulikani yamefungwa katika nchi hii, na bado yanaendelea kufungwa. Vijana lukuki wamepoteza ajira katika makampuni...
Top Bottom