Search results

 1. M

  Mama Rwakatare kupiga makofi bungeni kuunga mkono ya msaliti auawe kunatufundisha nini?

  wajinga ndio waliwao, ukiona MCHUNGAJI anashangilia mauaji ya binadamu, waumini wake watakuwa mazombie., hakuna mchungaji hapo.
 2. M

  Rais Magufuli, Mteue rais mstaafu Kikwete kuwa Waziri wa Mambo ya Nje akusaidie kazi kwenye Wizara hiyo

  Huyu huyu ane washwa washwa leo aache kujikuna akauzime moto? Acha JK atulie na wajukuu zake.
 3. M

  Nini hatma ya Dreamliners?

  Wale wakiamua asafiri kwenye buti ya ndege hawashindwi kumsafirisha from Dar to Chato wala si lazima aende huko.
 4. M

  Nini hatma ya Dreamliners?

  Siku zoye mimi ni mpole ndio maana nataka na mkuu wa nchi kwa hili awe mpole aache yale maujuaji ya kisukuma maana ni ya kijinga tu.
 5. M

  Nini hatma ya Dreamliners?

  Ya kwake si anasema akionda madarakani miradi YAKE itakwama.
 6. M

  Nini hatma ya Dreamliners?

  Ya kwake si anasema akionda madarakani miradi YAKE itakwama.
 7. M

  Nini hatma ya Dreamliners?

  Mungu ampe Magufuli busara ya mfalme Suleiman, amtimue Makonda afanye safari yake ya kwanza nje ya bara la Afrika aende akaombe msamaha bila hivyo kila mradi wake utabaki mashakani.
 8. M

  Bunge la Senate lapongeza zuio la Paul Makonda kuingia Marekani. Lasema huo ni mwanzo wa kuwawajibisha walioua demokrasia ya Tanzania

  Baada ya Brexit ya Uingereza na nchi za ulaya sasa Marekani wameamua kum BREXIT makonda na watanzania, inauma sie kujumlishwa kwenye makosa ya huyu FFFFF, lait meko angemskiliza gwajiboy.
 9. M

  Mh.Paul Makonda atembelea Chama Cha Wanasheria (TAWLA) wanaopambana na ukatili wa kijinsia

  Mavi yamegonga chupi mwenzio wewe unasema konki
 10. M

  Zuio la Watanzania kwenda Ng’ambo: Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani

  Askofu pengo aseme bado ana amini huyu makonda ana faa kuwa rais wa nchi hii?
 11. M

  Zuio la Watanzania kwenda Ng’ambo: Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani

  Huyu jamaa ni mpumbavu sasa anasababisha janga kwa nchi nzima, huyu jamaa ni mzito kiakili ndio maana hata kufikiri ni zero.
 12. M

  Dar es Salaam: Mwandishi wa Habari akutwa amefariki chumbani kwake

  Afadhali walivyokuwa wanawapa kesi za uhujumu, afadhali walivyokuwa *wanawateka na kuwapa kesi* kuliko hii *staili*.
 13. M

  Je, BBC siku hizi imekuwa biased broadcasting corporation?

  BBC idhaa ya swahili Salim Kikeke alitangaza hii habari.
 14. M

  Ni kosa gani ambalo haukulifanya ila ukapatikana na kitu kilichoashilia kuwa mkosaji?

  Dah! nikiwa form four mwalimu alitaka tuimbe wimbo kwenye graduation yetu, sasa akaniuliza mimi nitaimba sauti ya ngapi nikamwambia mwalimu SIJUI, aisee! ikaonekana nimemdharau nikacharazwa sana fimbo wakati ilikuwa ni kweli sikuwahi kuimba wala kujua sauti yangu ni ya ngapi lakini nilionekana...
 15. M

  Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

  Wameona wengi watafungiwa line kwa kutosajili wameamua kupandisha tozo kufidia line ambazo hazitakuwepo.
 16. M

  Salum Hamdun: Hakuna miundombinu ya reli Kilimanjaro iliyoharibiwa

  Sio usalama huyo, bali ANAJIITA, Sabaya anapenda sana KIKI, huo mpango kautengeneza mwenyewe ili aonekane anachapa kazi, hakuna maana ya kuharibu miundombinu ya hai amabyo hata haijaanza kazi waache kuhujumu miundombinu ya reli iliyo tayarai kazini na amabyo ndio njia kuu kutoka Dar to...
 17. M

  Salum Hamdun: Hakuna miundombinu ya reli Kilimanjaro iliyoharibiwa

  Sabaya ni mpuuzi tu, tangu ajibambike usalama wa taifa FAKE, kila mwenye akili alijua huyu ni TAPELI, na kwa sababu kuna mtu MMOJA tu alieamua kumpa mdaraka makubwa ili aumize wengine maana ana sifa ya ukatili amabayo kwa awamu hii ndio kigezo kikubwa cha kuwa kiongozi.
 18. M

  Baada ya Tanzania kutajwa miongoni mwa nchi zitakazowekewa vikwazo na Marekani, Serikali yasema haijapokea waraka wowote wa Kidiplomasia

  Wasiweke vikwazo, waje tu huku warudishe hii nchi iwe koloni lao maana uingereza walitupa uhuru mapema sana, tunahitaji kutawaliwa.
 19. M

  Kungwi wa Arusha, Irene Mbowe afiwa na mumewe

  R.I.P SEBAH, aisee! Pole sana Irene.
Top Bottom