Search results

 1. X

  Top 10 most-streamed songs on Spotify

  1️⃣ "Shape Of You" - Ed Sheeran (2,468 BILLION Streams) 2️⃣ "Rockstar" - Post Malone ft 21 Savage (1,874 BILLION Streams) 3️⃣ "One Dance" - Drake ft Wizkid & Kyla (1,837 BILLION Streams) 4️⃣ "Closer" - The Chainsmokers ft Halsey (1,752 BILLION Streams) 5️⃣ "Thinking Out Loud" - Ed Sheeran (1,516...
 2. X

  Drake Vs Kendrick Lamar

  Nani zaidi kati ya Drake na Kendrick Lamar katika Hip Hop??
 3. X

  Kendrick Lamar vs Drake

  Moja kati ya Rapa hatari USA na ulimwenguni kote ni Drake pia Kendrick Lamar. Drake aliwahi kutamba sana na album kama Views, Scorpion n.k Anafanya vizuri pia kwenye mitandao kama Spotify, Youtube nk. Ngoma zake zinafikisha views mpaka Billion 1. Moja kati ya album hatari ya Kendrick Lamar ni...
 4. X

  Kendrick Lamar

  Kendrick Lamar anafaa kuwa mmoja kati ya Marapa bora America na Duniani kote?
 5. X

  Hip Hop ya Young Lunya ni hatari

  Nilisha wasikiliza sana Fid Q, Joh Makini, Chid Benzi, Songa, Jay Mo, Afande Sele, Niki wa pili, Stamina, Roma n.k Baadae katika Hip Hop tunaona ujio wa vijana kama kina Country Boy, Young Killer N.k Lakini huyu Mtu wa kuitwa Young Lunga na Hip Hop anayofanya ni hatari sana. Ni kama...
 6. X

  Hip Hop: Kendrick Lamar vs J. Cole

  Kati ya Kendrick Lamar na J.Cole yupi hatari kwenye Hip Hop? Yupi unamkubali zaidi?
 7. X

  Unazikubali nyimbo zipi kati ya wasanii hawa?

  Ngoma za Burna Boy au Tecno zipi unazikubali zaidi.
 8. X

  Nani mkali wa Hip Hop kati ya wasanii hawa?

  Kati ya KENDRICK LAMAR na DRAKE unamkubali nani zaidi katika Hip Hop?
 9. X

  Hivi yupo wapi msanii Tekno wa kipindi cha nyuma

  Siku ya kwanza nasikia ngoma inaitwa Duro kutoka kwa Tekno nikasema hii ni hit haiitaji maelezo. Hakuishia hapo zilifuata ngoma zilizonamba Afrika na zikavuka boda mastaa kibao wa Mamtoni walijirekodi wakicheza. Hivi yupo wapi Tekno wa kipindi cha nyuma.. Tekno ya Duro, Wash, Diana, Pana...
 10. X

  Wafahamu wakali watakaoibuka katika muziki wa Nigeria

  Achana na Wizkid,Davido,BurnaBoy,Tecon,Yemi Alade,Tiwa Savage N.k Mashine 3 zinazokuja ku-Save Mziki wa Nigeria. 1.Joeboy Ukimsikiliza vizuri kama unamuona Tecno ndani yake hitmaker wa ngoma kama Baby,Beginning,Dont call me back. Moja kati ya chipukizi hatari. 2.Rema Kutoka Mavin Records...
 11. X

  August Alsina

  August Alsina sijajua saivi yupo wapi huyu jamaa Anajua RnB si mchezo. Nliwahi kumskia kwenye Ngoma nyiki kalii mno Na Sauti yake ni yakipee. Labda azidiwe kidogo na The Weeknd yule Mkanada. Alifunika kwenye No Love ft Nick Minaj,kuna Benediction ft Rick Rose,Song Cry,I Luv This Shit,Dont...
 12. X

  Mwanamziki Simi

  Achana na Yemi Alade,Tiwa Savage katika mziki wa Nigeria na Afrika kwa ujumla. Lakini huyu mdada Wa kuitwa Simi. Moja kati ya msani Anayejua sana. Kwenye Sauti hao kina Yemi,Tiwa wote wanasubiri. Kwenye ngoma zake anauwa sana. Joromi ni mfano. Akishirikishwa ndio kabisa... Falz alimpa shavu...
 13. X

  Jinsi ya kupakua Album

  Wakuu habari zenu. Hivi nawezaje kuDownload Album full ya muziki. Kuna App,Au Website gani Ambayo naweza kupakua fullAlbum. Msaada kidogo
 14. X

  Burna Boy ni zaidi ya Wizkid na Davido kwa sasa?

  Ni juzi tu ametoka kuorodheshwa katika tuzo za Grammys 2020 akiwa na album yake ya AfricanGiant. Kwa sasa anafanya vizuri sana. Namzungumzia Burna Boy kutokea pande za Nigeria. Ngoma zake zinaenda sana. Je Burna Boy ni zaidi ya Wizkid na Davido kwa sasa? Au tusubiri.
 15. X

  Nandy na Maua Sama nani mkali?

  Kati ya Nandy na Mauwa Sama unadhani nani zaidi ya mwenzake kwenye mziki wetu wa Bongofleva hapa nchini.
 16. X

  Nani zaidi: Taylor Swift vs Beyonce

  Hivi kati ya huyu Taylor Swift na huyu Beyonce nani zaidi? Moja nyimbo za Beyonce Moja ya nyimbo za Tyler Swift
 17. X

  Nyimbo kali alizoshirikishwa Chris Brown

  COLLABO 10 KALI ALIZOWAHI KUSHIRiKISHWA CHRIS BROWN NA ZIKAWA MOTO HASWA. 1.NICK MINAJ FT CHRIS BROWN__RIGHT BY SIDE 2.RITA ORA FT CHRIS BROWN__BODY ON ME. 3.RICK ROSE FT CHRIS BROWN__SORRY 4.DJ KHALID FT CHRIS BROWN,FUTURE,AUGUST ALSIN__HOLD YOU DAWN 5.MEEK MILL FT NICK MINAJ,CHRIS...
 18. X

  Zayn Malik

  YOU AND I. moja kati ya hitsong kali sana kutoka kwa jamaa flani hivi walikuwa wakijiita ONE DIRECTION Kutoka Uingereza Kundi likiwa na vichwa vi5 vinavyojua mziki kweli kweli. Ni Zayn Malik,Louis Tomlinson,Harry Styles,Niall Horan. wamefanya mziki mkubwa saana..Saana! Achana na One...
 19. X

  Bruno Mars vs The Weeknd

  Mmoja anaitwa Bruno Mars, moja kati ya wataalamu wa muziki wa R&B na Pop. Ana uwezo mkubwa wa kuimba na kuandika mashairi na ngoma zilizoshiba kama The Lazy Song, Marry You, Just the Way You Are, 24 Magic, Finesse, Grenade,Versace on the Floor, Talking to the Moon. Ukiachana na Bruno Mars, kuna...
 20. X

  Mashabiki wa Ed Sheeran tujumuike hapa

  Ed Sheeran__Shape of you Ed Sheeran__Perfect Ed Sheeran__Thinking out loud Ed Sheeran__Photograph Ed Sheeran__How would you feel Ed Sheeran ft Khalid_Beutiful people Ed Sheeran__Give me love Ed Sheeran__Divide Ed Sheeran__Happier Ed Sheeran_Lego house Ed Sheeran__I see fire Ed...
Top Bottom