Search results

 1. M

  Wababa/wakaka tusitelekeze watoto so sad

  Naomba Unipostie Nimechanganyikiwa vibaya mnooo Nilihama Mkoa kikazi Hivyo Nikaingia Kwenye Mahusiano Na Mwanaume Mmoja hivi Aliniambia anatoka mkoa naotoka Lakini yeye Amekaa huku dar Toka mdogo Sana Pindi tu mama yake alipoachana na baba yake.. Naomba Mnielewe Hivi viatu so size Yangu. Basi...
 2. M

  Wazazi walio na mawazo ya kuwekeza kwa watoto wao

  Wapendwa habarini za kazi, nipende kwenda kwenye hoja yangu, wazazi wengi huwa wanasomesha watoto kama ni sehemu ya uwekezaji wao ili baadaye mtoto akipata kazi amtegemee kwa kila kitu. Binafsi hii hali inanikera sana, tukiwa kama wazazi tusijefanya hivo ni mawazo finyu kabisa, mzazi ni wajibu...
 3. M

  Nimepoteza hamu ya tendo la ndoa, sijajua shida ni nini

  Wapendwa nawasalimu kwa upendo wa Mwenyezi Mungu, Mungu katujalia mtoto mwezi wa nane mwishoni but, kwasasa nimepoteza hamu ya tendo la ndoa, sijajua shida ni nini. Naomba ushauri wenu wadau hasa walio katika ndoa kama hii hali imewahi wapata na wakatatua kwa njia gani? Thanks in advance Sent...
 4. M

  Nisaidieni, upendo unapungua kwa mume wangu

  Wapendwa poleni na majukumu ya kujenga taifa.Niende kwenye hoja yangu ,Mimi ni mdada/mama mwenye mtoto 1,nimeolewa na ndoa ya kanisani Mume wangu alifiwa na wazazi wote wawili kitambo sana,sasa upendo kwangu haupo najitahidi sana nimletee vizawadi nikitoka kazini,amekuwa ni mtu wa kulalamika...
 5. M

  Msaada wa kazi

  Habarini za kazi wakuu,ninaomba msaada wa kazi ,Nina wadogo zangu wamemaliza Udsm tangu 2014,coz ya mazingira na Education ,please hata kazi zozote za vibarua anawezafanya ,lengo atafute mtaji wa biashara ,Ahsanteni kwa niaba ,Natanguliza shukrani zangu za dhati
Top Bottom