Search results

 1. U

  Ditopile amshukuru Rais Samia kwa maendeleo anayoyafanya Dodoma

  MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa namna ambavyo ameendelea kuipa kipaumbele Mkoa wa Dodoma katika miradi mbalimbali ya kimaendeleo ikiwemo Sekta ya Maji, Elimu na Miundombinu huku akiwaomba wananchi wa Kata ya Handali kumchagua Mgombea...
 2. U

  Shaka azindua kampeni za CCM jimbo la Ngorongoro

  UZINDUZI WA KAMPENI JIMBO LA NGORONGORO Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi NEC, Idara ya Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka Leo Ijumaa 26 Novemba 2021, amezindua rasmi kampeni za Uchaguzi mdogo katika Jimbo la Ngorongoro, Kumnadi na kumuombea kura mgombea Ubunge...
 3. U

  Selemani Zedi: CCM haijawahi kupata Rais anayetekeleza ilani kwa kasi kama Rais Samia

  "Jimbo la Bukene Kwenye Barabara tumepokea Zaidi ya Bilioni Moja na Milioni 500 ni ongezeko kubwa la Fedha halijawahi kutokea imeonyesha kabisa Rais huyu wa sasa Samia Suluhu Hassan ana dhamira ya dhati ya Kuboresha miundombinu yetu". Mbunge wa Jimbo la Bukene Seleman Zedi. "Rais Samia...
 4. U

  Kigwangalla: Nimekuwa Mbunge miaka 11, ila Rais Samia amefanya mambo sijawahi kuona

  "Tunamshukuru Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan mwenyekiti wetu wa Chama chetu, nimekuwa Mbunge miaka 11 ila amefanya mambo sijawahi kuona, tumepokea fedha nyingi Halmashauri hii haijawahi kutokea kwa kweli anaupiga Mwingi" "Miradi ya Kimaendeleo Jimboni hapa ametuletea fedha nyingi kutatua kero...
 5. U

  Waziri Ummy: Tegemeeni makubwa ujenzi wa barabara za vijijini

  Waziri Ummy: Tegemeeni makubwa ujenzi wa barabara za vijijini. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe Ummy Mwalimu amesema dhamira ya dhati ya Serikali ya awamu ya sita ni kuhakikisha inajenga miundombinu ya barabara maeneo ya vijijini kwa kuongeza bajeti ya...
 6. U

  CCM yaipongeza TARURA Kagera

  Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi CCM Ndugu Shaka Hamdu Shaka ametembelea Mradi wa Matengenezo ya sehemu Korofi katika Barabara ya Katoro-Kyamulaile-Kashaba(Kilometa 5)na Izimbya- Katokoro(Kilometa 3.8) unaosimamiwa na Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA)...
 7. U

  Hoja hii dhidi ya Shaka ni upuuzi

  HOJA HII DHIDI YA SHAKA NI UPUUZI Na Bollen Ngetti RAIS SSH katika kukwamua uchumi uliodorora kufuatia janga la Covid-19 na matumizi ya hovyo ya Fedha za umma ametafuta na kupata 1.3 Trilioni kutoka IMF. Fedha ambayo ameelekeza kutumika hapa hapa nchini kwenye miradi ya maendeleo na hivyo...
 8. U

  Waziri Ummy atoa maelekezo kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya kusimamia miradi ya fedha zilizotolewa na IMF

  WAZIRI UMMY ATOA MAELEKEZO KWA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA KUSIMAMIA MIRADI YA FEDHA ZILIZOTOLEWA NA IMF WAZIRI wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Ummy Mwalimu,amewataka wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya kusimamia kikamilivu miradi mbalimbali kwa fedha...
 9. U

  Shaka: Ole wake atakayefuja hata senti moja katika shilingi tirioni 1.3

  Ni zile zilizo katika mkakati wa maendeleo ambao utekelezaji utawanufaisha wananchi CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeonya yeyote atakayejaribu kufuja au kuzitumia vibaya yakiwemo matumizi binafsa sh. 1.3 zilizotokwna na mkopo wa masharti nafuu, itakula nae sahani moja. Imesema fedha hizo ni...
 10. U

  Mariam Ditopile: Tegeni sikio Jumapili Rais Samia ana jambo zito sana

  TEGENI SIKIO JUMAPILI RAIS SAMIA ANA JAMBO ZITO SANA-MBUNGE DITOPILE Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile leo amejumuika na wanaCCM wenzake katika Kata ya Bulungwa kumuombea kura Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Ushetu Mkoani Shinyanga, Emmanuel Cherehani huku akiwataka...
 11. U

  Pochi la Rais Samia kujenga zahanati kila kijiji

  POCHI LA MAMA KUJENGA ZAHANATI KILA KIJIJI: Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa Mheshimiwa Ummy Mwalimu amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anakusudia kujenga zahanati kila kijiji Nchi nzima ili kuongeza huduma za Afya jirani na...
 12. U

  Wakurugenzi tumieni utu kuwapanga Wamachinga

  Wakurugenzi tumieni Utu kuwapanga Wamachinga Wakurugenzi wa halmashauri nchini wametakiwa kutekeleza agizo la Rais Samia Suluhu Hassan la kuwapanga wamachinga kutekelezwa bila kutumia mabavu. Rai hiyo imetolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Ummy...
 13. U

  Wakurugenzi Halmashauri kupimwa kwa kigezo cha ukusanyaji wa mapato

  Wakurugenzi Halmashauri kupimwa kwa kigezo cha ukusanyaji wa mapato Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Ummy Mwalimu amesema Wakurugenzi wa Halmashauri kupimwa kwa kigezo cha ukusanyaji wa mapato ya ndani na kutenga fedha kwa ajili ya kutekeleza miradi ya...
 14. U

  CCM yaitaka wizara ya afya kuacha utendaji wa mazoea

  Hayo yamesemwa leo tarehe 17 Septemba, 2021 na Katibu wa Halmashuri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka akiwa Wilayani Mtwara ikiwa ni muendelezo wa ziara ya wajumbe wa sekretariet inayoongozwa na Katibu Mkuu Ndugu Daniel Chongolo. "Wananchi hawana matarajio mengine kwa...
 15. U

  Rais Samia amfariji na kumpa pole na Mzee Wasira kwa kufiwa na mwanaye

  Jumamosi Septemba 11, 2021. Katibu Mkuu Wa Chama Cha Mapinduzi Ndg Daniel Chongolo leo ameungana na Viongozi wa serikali, vyama vya siasa wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam katika kuaga mwili wa Mtoto wa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndg Steven Masato Wasila, Marehemu Wembura Steven...
 16. U

  TAMISEMI: Tume ya Utumishi wa Walimu, fanyeni msawazo wa walimu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa ili kuweka uwiano

  Waziri Ummy - Fanyeni msawazo wa waalimu nchini Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Ummy Mwalimu ameielekeza Tume ya Utumishi wa waalimu nchini kuhakikisha wanafanya msawazo wa waalinu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa ili kuweka uwiano sawa wa waalimu...
 17. U

  TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MWALIMU MKUU

  FURSA YA AJIRA YA MWALIMU MKUU : Anahitajika Mwalimu Mkuu haraka, sifa hitajika na namna ya kutuma maombi tafadhali Soma hapa chini. maombi yote yatumwe kwa barua pepe : anneyyamungu@gmail.com, mwisho wa kutuma maombi ni Septemba 17,2021.
 18. U

  Waziri Ummy Mwalimu aagiza kata ya Kinaga Kahama kuwekwa kata za kimkakati

  Waziri Ummy Aagiza Kata ya Kinaga- Kahama kuwekwa katika Orodha ya Kata za Kimkakati itakayojengewa Kituo cha Afya Wahenga husema usiibe kabla Jua halijazama,pengine ndio kauli inayofaa kusemwa kwa Wananchi wa Kata ya Kinaga iliyopo pembezoni mwa Halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani...
 19. U

  Zanzibar: Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndugu Semeni Hamis Vuai, azikwa

  Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Husein Ali Mwinyi amewaongoza viongozi, wanachama wa CCM na wananchi mbali mbali katika Mazishi ya aliyekuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndugu Semeni Hamis Vuai leo Jumapili 29 Agosti, 2021 katika...
 20. U

  TAMISEMI yatoa orodha ya vituo vya afya 90 vitakavyojengwa kwa tozo za miamala

  Awamu ya kwanza ya Vituo vya Afya 90 kati ya 207 katika Tarafa zisizo na Vituo vya Afya, ambazo zimepokea fedha Mil. 250 kwa ajili ya ujenzi wa Jengo la kuhudumia wagonjwa wa nje (OPD), Jengo la Maabara na Kichomea Taka hii hapa.
Top Bottom