Search results

  1. C

    Shukrani na ombi kwa HESLB

    Kwanza kabisa niwasalimu kwa jina la Jamhuri, Natoa shukrani kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania - Samia Suluhu Hassan kwa kutambua mzigo wa deni ya wanufaika wa mkopo wa elimu ya juu uliotokana na VRF na kusitisha makato hayo. Nipongeze bodi ya mikopo na wizara husika kutekeleza...
Top Bottom