Search results

 1. M

  Tanzania tuna noti ya million moja?

  naona sija eleweka vizuri kwenye uzi.point yangu ni kuwa 1000 ya tanzania ki mahesabu hii ni elfu moja au million moja??....kama ni million moja mbona nchi nyingine kama rsa,zambia,malawi nk 100 wanaiita laki moja?na kwanini sisi tz,kenya na ug 100000 ndio tunaita laki??...au hela yetu ni elfu
 2. M

  Msaada nataka kuingia kwenye biashara ya magari

  Habari wana jukwaa Nina partiner wangu yupo Japan anaishi south Africa ni car dealer....ameniambia nisajili custom bond ware house na kampuni commission agent company.amedai nikifanya hivyo atakuwa ananipa mzigo wa magari niwe namuuzia kwa commission. Kupitia hili ndugu zangu wana jukwaa...
 3. M

  Tanzania tuna noti ya million moja?

  Habari wana j.f naomba watalam wa maswala ya fedha mni saidie.nimezunguka nchi nyingi utaratibu wa fedha upo hivi kuna sent 1,2,5 na10 na 50 baada ya hapo kuna 1 mfn 1usd,1kwacha,1rand au 1tsh ambayk kwa tanzania kwa sasa hatuna.na ikitoka hiyo inafwata 2,5,10,50 na 100. na mfano ni southa...
 4. M

  Nikikaa kwenye biashara ya mtu, siku hiyo lazima wateja wawe wengi. Nini siri ya hii hali?

  Habari wana great thinker Nina hii hali, nikikaa kwenye biashara ya mtu mfano duka siku hiyo lazima wateja wawe wengi. Hi hali huwa ina nitokea hata nikiwa bar. Hata kama bar hiyo haina wateja lakini siku nikichukua muda na kukaa sehemu hiyo hata kama sinunulii mtu kinywaji lazima wateja...
 5. M

  Msaada wa kununua mali ya serikali

  Nishukuru nitalifanyia kazi.
 6. M

  Msaada wa kununua mali ya serikali

  Nimesikia kuna njia ya kununua bila mnada kutangazwa
 7. M

  Msaada wa kununua mali ya serikali

  Habari wana jukwaa. Naomba kufahamishwa utaratibu wa kufwata kununua/kujimilikisha mali ya serikali.kuna magari mabovu yapo kwenye ofisi za harimashauri nataka niyanunue kama chuma chakavu. Natanguliza shukrani.
 8. M

  Naomba utaratibu wa kufungua kampuni ya kuuza magari/yard

  Habari wanajukwaa. naomba utaratibu wa kufungua kampuni ya kuuza magari/yard kwa raia wa kigeni na naomba kwa yeyote atakaye kuwa na baadhi na document za bonded ware house na permit. Natanguliza shukurani. Namba yangu ya whatsapp +255747998638
 9. M

  Natafuta Jina la Kituo cha mafuta

  Automotive filling station,auto network f'station,trans network f'staion...nk.
Top Bottom