Search results

 1. P

  Mikataba mibovu ya gesi asilia nini wajibu wa Bunge letu?

  Majuzi nilisoma uzi wa ndugu yetu Mayala Pascal unaoelezea namna tulivyoingia mikataba ya hovyo kabisa ya Gas yetu ya Mtwara kwa wageni kijinga kabisa. Nimejiuliza sana haya; 1. Nini kilitokea hadi wabunge wakapitisha mikataba ile kwa 'hati ya dharura'? 2. Kwanini wabunge wa upinzani walikataa...
 2. P

  Mafao ya wastaafu kukatwa kodi

  Leo nimeskia ktk magazeti kuwa chama cha wanasheria Tz (TLS) wameandika barua kwa kamati ya Bunge kutopitisha sheria ya kukata kodi ktk mafao ya wastaafu. Ikumbukwe kuwa ktk contribution za wafanyakazi zinazokwenda ktk mifuko hii ya jamii inakuwa tyr imekatwa kodi. sasa inakuwaje tena waje...
 3. P

  Ili tuendelee tunahitaji vitu 4, hebu tujipime tulipo

  Hayati Mwalimu Julius Nyerere aliwahi kusema kuwa ili tuendelee tunahitaji vitu vinne (4) navyo ni; Watu Ardhi Siasa safi na Uongozi bora. Binafsi sina tatizo na vitu viwili vya mwanzo BALI viwili vya mwisho, naomba wana JF tuchangie kidogo kuhusu vitu 2 vya mwisho na tuone kama vinaweza...
 4. P

  Mikataba mibovu ya gas inayopitiwa upya ilipitishwa na nani?

  Wana JF, majuzi kabla ya Spika hajaaihirisha bunge ziliundwa kamati mbili, mojawapo ni kupitia upya mikataba mibovu ya gas. Ninakumbuka mikataba hii mibovu na ya kipuuzi ilipitishwa kwa hati ya dharura na bunge letu tena kwa mbwembwe kuwa ina maslahi mapana kwa taifa. Nini kimetokea hadi...
 5. P

  Wajumbe wa kamati za kudumu za bunge zimulikwe

  Kamati za kudumu za Bunge ni kamati ambazo zinatakiwa zisimamie miswada mbalimbali kwa manufaa ya taifa badala ya kutetea maslahi ya wachache. Wiki liyopita kulikuwa na miswada mbalimbali ya sheria, mfano ni kupiga marufuku mifuko ya plastic ifikapo jan.2017 na mswada ya kuiwezesha Sumatra...
 6. P

  Rais atoa la moyoni kuhusu TPA

  Jana nilimsikia Raisi wetu Akitoa ya moyoni kwa rais wa DRC Mh. Kabila kuwa UOZO alioukuta bandari ya DSM ulikuwa mkubwa na wa kutisha! Alisema ilifikia mahali hadi meli zilizokuja Tanzania, meli 60 zilipotea na taarifa za mizigo ilienda wapi ikawa dilemma! Alimhakikishia Kabila kuwa sasa mambo...
 7. P

  Mifuko ya hifadhi ya Jamii ya NSSF na PPF ichunguzwe

  Wadau, Naleta hii mada kwenu ili muweze kuchangia maoni yenu hasa tulio wanachama wa mifuko hii kwa wizi, udhalimu na manyanyaso ya mifuko hii hasa matumizi maovu ya pesa zetu wanachama. Kwa miaka mingi tumeona namna mifuko hii inavyotumia mabilioni ya fedha za wanachama kuwekeza katika miradi...
 8. P

  Wabunge wengine hawajui kabisa dunia inakokwenda

  Jana jioni Mjini Ddoma niliamua kwenda ktk Hoteli ya Mh. Shabiby iitwayo Morena kwa ajili ya kuonana na rafiki yangu ambae amefikia hapo. Kilichonishangaza ni mazungumzo yakliyokuwa yakiendelea ya watu flani waliokuwa wakilalamika serikali inataka kupoteza fedha ku-invest ktk reli! Niliamua...
 9. P

  Raisi gani mstaafu anafaa kuwa baba wa taifa?

  Tangu kufariki kwa baba wa taifa mwalimu Nyerere ambae alikuwa na nguvu, ushujaa, weledi na ushawishi wa mambo mengi ya kisiasa kiasi cha kuogopwa na watawala sijui ni raisi gani mstaafu anaweza 'kuvaa' viatu' hivyo. Kumekuwepo na sitofahamu kubwa nchini hasa suala la Zanzibar ambalo dalili...
 10. P

  Sera za Mgombea Uraisi Mzee Wasira ni za kizamani sana.

  Nimekuwa nafuatilia sera za wanaotia nia kwa tiketi ya CCM ila haya aliyoongea Mzee wasira nimeshindwa kabisa kumuelewa. Nimeanza kumsikia wasira tangu nikiwa mdogo akiwa ni waziri ktk awamu ya kwanza na ameendelea kuwa waziri tena mwandamizi ktk awamu mbalimbali. Cha kushangaza juzi alitoa...
 11. P

  CCM sasa ni wakati wa kuwatosa Mafisadi na wezi wa mali ya za umma

  Kwa muda mrefu nimekuwa nawaza na kujiuliza mno kwanini CCM tusianze utaratibu wa kuwatosa mafisadi na wezi hasa ndani ya Chama chetu badala ya kuwatetea. Kinachiniuma zaidi ni kuwa hata wale wanaotetea hawa wezi wao hawakushiriki kabisa bali ile dhana ya kulindana. nawakikishia kuwa wananchi...
 12. P

  Kwanini CCM wanalinda mafisadi na wauza unga?

  Ninayo masikitiko makubwa kwa namna nchi inavyokwenda hasa CCM kuwalinda kwa NGUVU zote wauza unga na mafisadi. Waliapa kuwashughulikia Mafisadi hasa walifocha fedha nje lakini majuzi nimesikia mkuu mmoja akisema hawana fedha za kwenda Uswiswi kufuatilia fedha zilizofichwa huko! Alipotakiwa...
Top Bottom