Search results

 1. G

  Tangu mwaka 2000, Japan imepitia AWAMU 11. Tanzania tunajifunza nini katika hili?

  Kwa mujibu wa katiba ya Japan kiongozi mkuu wa executive ni waziri mkuu. Tangu mwaka 2000, Japan imeongozwa na mawaziri wakuu 11, kati ya hao 8 wameongoza chini ya mwaka 1 na nusu. 1. Yoshiro Mori: 5/4/2000 - 25/4/2001 Sawa na mwaka 1 na siku 22 2. Junichiro Koizumi: 26/4/2001 -...
 2. G

  There is no free lunch. Why has Yoweri Museveni built a school for Tanzanians?

  The President of Uganda, Yoweri Museveni must be buying something out of this generosity to Tanzanians. He is definitely trying to lure our leader (Madam President Samia Suluhu Hassan) so that can get what he wants. There are so many villages in Uganda which have either poor or no school...
 3. G

  Gerson Msigwa: Ndege nyingine 5 kufika kabla ya mwaka 2023, zimelipiwa keshi

  Namsikiliza Gerson Msigwa katika kipindi cha the Big Agenda anasema serikali imetoa order ya kutengenezewa ndege nyingine tano ambapo zote zitakuwa zimewasili kabla ya mwaka 2023. Ameongeza kwa kusema zimelipiwa kabisa. My take. Hii nchi aliyeturoga kafa. Tuna midege tuliinunua haijawahi...
 4. G

  Is President Samia rebranding or debranding Tanzania?

  When addressing the editors at the state house president SSH expressed her dreams of re-branding Tanzania. "Tanzania must be rebranded so as to polish it's tainted mage to the international community and thus attract more investors" she said. But it seems her dreams will continue to be a...
 5. G

  Huyu mhalifu wa Selander alipaswa kukamatwa, siyo kuuawa

  Polisi walipaswa kumtia nguvuni huyu mtu aliyekuwa na bunduki huko Kinondoni maeneo ya Selander. Lakini kwa kukosa weledi na kwa vile polisi Wana uoga uliokithiri wakamfyatulia risasi na kumuua. Sasa watakosa taarifa muhimu kutoka kwa mhalifu huyu mfano: Ni nani? Katumwa na nani? Yuko na akina...
 6. G

  Zitto: IGP amemdhalilisha Waziri Gwajima na Rais Samia

  Zitto amesema IGP Sirro anapaswa kujiuzulu maana amekataa kutii amri ya askari wa mwamvuli wa Rais Samia Suluhu kwa kukataa kumkamata Askofu Gwajima. Na kwa kufanya hivyo Sirro amegoma kutii amri toka kwa Rais SSH. Chanzo: StarTV medani za siasa.
 7. G

  Mwambieni Shaka A Shaka atulie, kazi yake siyo kumtetea na kumsemea Rais Samia

  Shaka A. Shaka tangu amepewa nafasi hiyo amekuwa bize kujibu kila mashambulizi yanayoelekezwa ama kwa rais SSH moja kwa moja au kwa serikali yake. Jana baada ya BBC swahili kurusha maoni ya J. J . Mnyika kuhusu kauli ya rais SSH wakati akihojiwa na chombo hicho hicho mara tukaona Shaka A. Shaka...
 8. G

  Nabii wa Ishara atabiri chuki kwa utawala wa Rais Samia kama hatamwachilia Mbowe

  Nabii wa ishara Tanzania ametoa unabii na maono ya kiroho kwamba utawala wa SSH utapata laana na chuki isiyomithilika kama utaendelea kumshikilia Mbowe. Akaongeza kwa kusema hata kifo cha waziri wa ulinzi kiroho kina maana mbaya sana kwa taifa, kinamaanisha Mungu amekasirika na kuamua kuondoa...
 9. G

  Why Prof. Kabudi is shy and quiet these days?

  Where is prof. Kabudi? Not frequently seen in the media as we used to see him under Magufuli. Why is he missing even in very crucial occasions like marking the beginning of covid-19 vaccination in the country? Prof. Kabudi was the most favourite choice of the Magufuli regime. He was a brave...
 10. G

  Tanzania inapendwa sana na Mungu. Kila tunaloliomba kwake analijibu kikamilifu

  Mzee Kikwete alitulea kwa kutudekeza sana. Tukawa na uhuru uliopitiliza na kutufanya tuseme mambo yatokanayo na "ulevi wa uhuru". Tukamwomba Mungu "atupatie dikteta mzalendo". Akatujibu kwa kutupatia dikteta uchwara awamu ya tano. Tukamlilia tena Mungu kwamba huyu mtu aliyetupatia anatutesa ...
 11. G

  #COVID19 Wasioitaka chanjo ya korona Tanzania hawa hapa

  Pita sehemu mbalimbali hapa Tanzania ambako kuna ulazima wa kuvaa barakoa. Kisha angalia idadi ya watu waliovaa barakoa kwa hiari yao. Ni wachache sana. Ukiangalia makanisani, misikitini, viwanja vya michezo, masokoni, harusini, vyombo vya usafiri , minqdani, n.k watu hawana habari na barakoa...
 12. G

  Liberata Mulamula sasa unachafuka kimataifa

  Ulipokuwa ukihojiwa na ITV kwenye kipindi cha dakika 45 ulionesha jinsi ilivyokuwa ngumu kueleweka kimataifa kwenye suala la diplomasia wakati wa awamu ya tano. Na ukasema diplomasia inaanzia ndani ya nchi, namna tunavyoendesha siasa zetu. Siasa zikiwa za hovyo hata diplomasia inakuwa ya hovyo...
 13. G

  Kwa wadada waliyo tayari kuolewa. Natafuta mke

  Nahitaji mtu mke atayekuwa mwenza wa maisha. Sifa zake 1. Asiwe mpenda kujipodoa sana. Tafiti zinaonesha wanaojipodoa san asilimia kubwa ni wachepukaji. 2. Umri uwe kati ya miaka 23 na 28 3. Asiwe mtumiaji kabisa (hata kuonja) wa vilevi/madawa pamoja na sigara/bangi. 4. Awe hajawahi kuishi na...
 14. G

  Malipo ya korosho: Wakulima wanajipanga kufungua kesi Afrika Kusini ili Dreamliner ikamatwe

  Wakulima wa korosho wamepata funzo kubwa na zuri kwao toka kwa mkulima mwenzao wa Afrika Kusini. Kwahiyo nao wameanza kutafuta wanasheria wabobezi ili kuikamata Dreamliner. Wakulima wa korosho hoyeee! Mkulima wa Afrika Kusini hoyee
 15. G

  Muhimbili kuna utaalamu, dawa na vifaa tiba vya kutosha? Mbona majeruhi wengi wa moto wa lori la mafuta wanafariki?

  Inasikitisha sana kwamba manusura wa ajali ya moto wa lori la mafuta lililoanguka pale Itigi Msamvu Morogoro wanazidi kufariki pale Muhimbili. Madaktari walituhakikishia kwamba watatumia kila aina ya ujuzi wao ili kuokoa maisha. Sasa kwann vifo vinazidi kuongezeka? Je, ni utaalamu duni wa...
 16. G

  Msichana aliye tayari kuolewa anahitajika

  Nahitaji msichana ambaye tutaingia ktk mahusiano ya mume na mke. Sifa za anayehitajika -mkristo -umri asizidi miaka 25 -awe hajawahi kuzaa -awe mzuri, (mbaya wa sura na shepu atanikinai mapema). -awe mtulivu wa akili na nafsi, siyo anatamani kila kitu duniani -awe tayari kunipenda mm kama mm...
 17. G

  Too late akina dada, kumnyima utamu anayehakikisha kukuoa kisa walikutumia wakakuacha

  Hii habari ya kumnyima papuchi mtu ambaye amekuhakikishia kukuoa, eti tu kwasababu wengi waliwahi kutumia mbinu hiyo kisha wakamega na kusepa, itawakimbiza wachumba wengi. Mtaishia kuvaa sare kwenye harusi za wenzenu. As long as ulianza kwa kugawa hovyo, basi mpe hata huyu ambaye kaja sasa...
 18. G

  Baba Askofu Gwajima nina wasiwasi na wewe

  Wasiwasi wangu unatokana na utajiri wako baba: Umenunua chopa, na sasa unataka kununua treni. Baba hela ya kununua chopa na treni umeipata toka kwa waumini wako tu? Huuzi ngada? Unataka kuniambia wewe ndiye mwenye waumini wengi sana kuliko Kadinali Pengo, Malasusa, Mwingira, Lwakatare, G...
 19. G

  Ushauri kwa CHADEMA: Tumeshindwa uchaguzi, Mbowe beba mzigo

  Ni wazi kwamba CHADEMA ilianzishwa ili kuwa tofauti na CCM na vyama vingine. Tofauti hii lazima iwe dhahiri na ya kivitendo. CHADEMA iendeshwe kama vyama vya wenzetu kule Ulaya. Chama kikifanya vibaya ktk chaguzi kiongozi anawajibika. Uwajibikaji wa jumla " collective accountability". Baada...
 20. G

  CHADEMA tujirekekebishe kwa haya...

  Uchaguzi umekwisha yaliyotokea tumeyaona. Rais wa mioyo ya watanzania tunamjua na rais wa Tanzania tunamjua. Kwa kuwa siasa ni maisha hatuna budi kujipanga upya kwa uchaguzi ujao. Ili kujipanga vema tuangalie mapungufu ndani ya chama chetu na tuyafanyie kazi ili kuongeza nguvu ya ushindi ktk...
Top Bottom