Search results

 1. K

  Hii haikuwa hutuba ya Rais bali historia ya nchi tokea tupate Uhuru......

  Kwa kweli sikutarajia kuisikiliza ila redio yangu pendwa ndio imeniponza...nilikuwa nasubiria kipindi cha sports xtra wakaunganisha juu kwa juu nikajikuta inaingia masikioni ...Aisee nimeumia saana aisee kwa niliyokuwa nasikiliza...bora wasingeifanyia promo vile
 2. K

  Hii haikuwa hutuba ya Rais bali historia ya nchi tokea tupate Uhuru......

  Nimefuatilia hutuba ya Mh. Rais aliyoitoa leo na kufadhaishwa saana na aina hutuba aliyoitoa . Hakika hii imekuwa ni historia ya nchi yetu na sio hutuba. Nashauri atafutiwe washauri na waandaaji weredi wa hotuba za Marais...Kwa kifupi Hutuba ya Rais uzungumzia "current issues vis a vis mambo...
 3. K

  News Alert: Hotuba ya Rais Samia Suluhu kwa Taifa Desemba 8, 2021 kuelekea miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika

  ANAZUNGUMZIA HISTORIA YA NCHI...TUMEONGEZA SHULE...HUKO NYUMA MIAKA KUMI ILIYOPITA DAKTARI MMOJA ALIKUWA AWAHUDUMIA WANANCHI 25,000 KWA HIVI SASA DAKTARI MMOJA ANAHUDUMIA WANANCHI 20,000.....SASA HAPA UNAPIMA VIPI MAENDELEO?JAMANI!!! WENZETU HAPO KENYA TU DAKTARI MMOJA ANAHUDUMIA WANANCHI 10,000...
 4. K

  Tuhuma za ufisadi zinazodaiwa kumpelekea Dkt. Ryoba kubwaga manyanga

  Asante saana wafanyakazi wa TBC kwa taarifa hii...inaonekana jamaa aliwabana saana mpaka mmeamua kumwaga radhi....hii ndio tabu ya kufanya kazi vyombo vya habari...siku yakikukuta watu wanamwaga kila kitu hadharani ...hii taarifa inaonekana wazi imeandaliwa na one of the senior Staff wa TBC na...
 5. K

  Maswali magumu: Utetezi wa Jakaya Kikwete dhidi ya tuhuma za chuki binafsi dhidi ya Hayati Magufuli msibani

  nilivyoona jina lako tu nikaishia kutoandika lolote....hongereni wakati ni weu mazuzu
 6. K

  Cambiasso nao sijui GSM kawapa shingapi ili waikamie Simba?

  Wachezaji wa Simba wanawakilsha timu zao za Taifa...cambiaso alicheza na kikosi B chenye baadhi ya wachezaji wachache wa SImba A...Simba wakiamua kucheza mechi za kirafiki hawatafuti wala urojo wataenda Zambia ama nchi nyingine kubwa kubwa katika soka la Africa
 7. K

  Rais Samia, tueleze kwanini ulimtumbua Dkt. Kalemani na kutuletea Makamba!?

  Aondoke tu manake tumemmiss saana Kigogo....
 8. K

  Spika Ndugai: Nampa onyo kali Jenerali Ulimwengu kuchunga ulimi wake, haipendezi mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyo ovyo

  KWA KAULI HII YA SUPIKA NANI ANAWEZA KUSIMAMA AKABISHANA TENA NA KAULI YA PROF. ASSAD KUWE BUNGE LETU NI LA MAZUZU? YAANI UNAPOTEZA MDA WA BUNGE KWA KUENDEZA MANENO YA KWENYE KANGA? WEWE NANI USIKOSOLOWE?
 9. K

  Ukistaajabu ya Musa utaona ya Bunge kuoneshwa LIVE leo bila uwepo wa wapinzani bungeni

  Nimeona kwenye mitandao mbalimbali watu wakianza kusifia serikali ya awamu hii kuruhusu bunge live kama njia moja wapo ya kusahihisha makosa yaliyokuwa yanafanywa na serikali ya "Mwendazake". Jambo ambalo pengine hao wasifiaji wanatakiwa kuelewa kama kweli "hawajatumwa" kuwa kilichosababisha...
 10. K

  Kama January Makamba ana mpango wa kugombea Urais 2030, namshauri akabatizwe kwa maji mengi mapema

  Hujui unaloliongelea wewe...hivi unamjua Kigogo alikuwa nani?...umesikia tena Kelele za Kigogo baada ya Mwendazake kuondoka?
 11. K

  Kauli ya Manara ifanyiwe kazi; kwanini Yanga & Simba hawezi shinda bila kubebwa kwa penati na kadi nyekundu kwa wapinzani wao?

  Nilikuwa naangalia mechi baina ya Yanga na Ruvu na mpira ulikuwa umebalance huku Ruvu wakimiliki mchezo vyema hadi pale referee kwa mapenzi binafsi alipoamua kuharibu mpira kwa kuwazawadia Yanga penati ya bure bila kufuata kanuni 17 za mpira wa miguu achilia mbali kumtoa nje mchezaji wa Ruvu...
 12. K

  Yanga sc 3-1 Ruvu shooting | ligi kuu | Benjamin Mkapa

  Nilikuwa naangalia mechi baina ya Yanga na Ruvu na mpira ulikuwa umebalance huku Ruvu wakimiliki mchezo vyema hadi pale refaree kwa mapenzi binafsi alipoamua kuharibu mpira kwa kuwazawadia Yanga penati ya bure bila kufuata kanuni 17 za mpira wa miguu achilia mbali kumtoa nje mchezaji wa Ruvu...
 13. K

  Yanga sc 3-1 Ruvu shooting | ligi kuu | Benjamin Mkapa

  Kauli ya Manara ifanyiwe kazi ..kwanini Yanga & Simba hawawezi shinda bila kubebwa kwa Penati na kadi nyekundu kwa timu pinzani?....
 14. K

  Simba SC mtaendelea kupata mnachostahili mpaka mkubali timu yenu kwa sasa ni maji maji iliyochangamka

  Tatizo ni viongozi kuingilia benchi la ufundi.. Wanajua wazi wachezaji wengi wakigeni wa mwaka huu "wametupiga"" ila wanalazimisha wacheze. Asante Mungu leo kawaumbua kwa kuumia Kanoute,Mmeona mambo waliyoyafanya Muhilu,Mkude na Morrison. Kuanzia sasa kikosii tunapanga sisi wanachama mpaka...
 15. K

  Ni wakati sasa kuondokana na viongozi "wachuuzi wa mpira wa miguu" kwenye vilabu vyetu

  Baada ya Simba kufungwa jana na wabotswana tumeona kauli za haraka haraka kutoka kwa viongozi wa Simba kuandika mambo ambayo mimi naweza sema ni upuuzi. Kwa kuangalia comments za wapenzi wa soka wakijaribu kujaribu viongozi kwa ujinga walioandika (nimeweka baadhi hapo chini) nadhani ni wakati...
 16. K

  Muhamasishaji wa Simba Mwijaku

  KAma haji aliweza atashindwa huyu woote ni sawa tu tumpe muda
 17. K

  Yanga wagomea kuvaa jezi zenye nembo ya mdhamini wa ligi NBC mechi ya KMC

  Katika mechi yao leo na KMC. Yanga wamevaa jezi isiyokuwa na nembo ya ya mdhamini tofauti na timu nyingine kama tulivyoona katika mechi nyingine zilichezwa leo. Wadau wengi wa soka tunasubiri kusikia kauli ya TFF. Kwani hili ni tukio kubwa saana kwa mustakabari wa soka letu. Kuna mtu kaniuma...
Top Bottom