Search results

 1. M

  Msaada

  Simu yangu iPhone 4 kutoka japani haisomi network na inaomba pin code naomba msaada
 2. M

  Naomba msaada kuhusu iPhone

  Wanajamii naomba msaada, Simu yangu iPhone 4 niliagiziwa na kaka yangu kutoka Japan shida yake ukiweka line haisomi mtandao inaomba pin code kwa yeyote anae faham anisaidie nitachangia gharama. Ahsante
 3. M

  Naomba kujua kipimo hasa cha umaskini katika familia ni kipi

  Wapendwa nisaidieni,nini kipimo cha umasikini katika familia?
 4. M

  Msaada

  Habari wanajukwaa,kama kuna mtu anafaham tarehe ya kuripoti saut mwanza anifahamishe tafadhali
 5. M

  Threatens silence saut mwanza

  Saut mwanza mnakatisha tamaa bana,achieni majina tujue cha kufanya
 6. M

  Wanafunzi waliochaguliwa saut mwanza

  Tafadhali wakubwa naomba kufaham kama majina yametoka saut mwanza
Top Bottom